Search results

  1. B

    Uhuru wa Tanganyika chimbuko lake ni waislamu

    Miadhala yote ni ya kuchambua bibilia.je hiyo miadhala na huo mda ungekua unatumika kuchambua tufanyaje kuzuia elimu isiendelee kushuka.Tuisaidiaje serikali ili iweze kuwalipa madaktali na sekta nyingine ili wasigome na kuathili walala hoi ingekua vyema zaidi.
  2. B

    Juma Shabani Mgoo ateuliwa kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS)

    Nimtu makini ataisaidia sana wizara na ni mtendaji mzuri mwenye msimamo anaejua nini anafanya.Sifa nyingine kubwa aliyo nayo hapendi kubuluzwa katika utendaji wake wa kazi.
  3. B

    Haki ya kuchagua na kuchaguliwa

    Nijuavyo mimi kwa mujibu wa katiba ya jamuhuri ya mungano wa Tanzania,ni haki ya msingi ya MTANZANI ailefikisha miaka 18 kushiriki katika chaguzi za udiwani na ubunge,kugombea,kuchagua au kuchaguliwa. Hilo hata baba wa TAIFA MWL JK NYERERE aliliona na aliwahi litolea tamko katika sherehe za...
  4. B

    Hodiiiiiiii

    Naomba mnikaribisha kwa ukarimu katika familia hii
  5. B

    Salamaa

    Kwakua ni mara yangu ya kwanza kujiunga nanyi,natanguliza salamu kwa wote wanachama naomba ushirikiano wenu katika kuchangia hoja mbali mbali
Back
Top Bottom