Search results

  1. Yohimbe bark

    Emma siku hizi umekuwa mvivu sana, kimoja kweli?

    Leo nimepanda daladala naenda mjini kwenye mishe mishe, seat ya mbele alikaa mdada mmoja hivi alikuwa busy anachat kama mnavyojua macho hayana pazia nikabahatika kusoma ujumbe mmoja nanukuu" Emma siku hizi umekuwa mzembe sana yani kimoja kweli? Siridhiki ujue" asee nilijisikia vibaya kinoma...
  2. Yohimbe bark

    Nahisi sina bahati na biashara

    Habari wakuu, nipo kwenye kisiwa cha maisome kilichopo Sengerema, nina mwezi sasa nafanya biashara ya uchuuzi wa samaki aina ya sato natoa huku napeleka Mwanza ila faida sipati kwasababu nilikuwa nachukua kwa walanguzi sio direct kutoka kwa wavuvi so faida ilikuwa inaishia kwenye malazi na...
  3. Yohimbe bark

    Ulipo bei ya dagaa sh ngapi?

    Habari wakuu, Kwa wale wapambanaji wenye interest na biashara ya dagaa tunaweza kufanya biashara mimi sasa nipo kisiwa cha GOZIBA bei ya dagaa kwa sasa kwa gunia la dumu kumi ni 180000 mpaka 190000 leo zilifika mpaka 200k kwa gunia. Dagaa ni nzuri sana sasa hivi mimi nauzia mwanza, kwa wale...
  4. Yohimbe bark

    Msaada: Nifanye biashara gani kukuza mtaji wangu? Nipo Chunya Makongorosi

    Habari wakuu, ni week sasa nipo chunya makongolosi kuchungulia fursa. Kipindi natoka mbeya kuja huku nilipanda gari moja na mdada mmoja tulikaa seat za upande mmoja nikaanza kumdadisi anafanya shughuli gani huku Makongolosi akaniambia hua anaenda Soko la Mwanjelwa (anajumua) ndio lugha...
  5. Yohimbe bark

    Nimekutana na changamoto hii nikifuatilia passport, naombeni ushauri

    Habari magreat thinkers, Last week nilienda immigration kufatilia passport nikiwa na kila kitu wanachotaka kama cheti cha kuzaliwa, affidavit ya mzazi na barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa. Nimefanya process zote vizuri tu ile nimeenda kwa afisa wa mwisho akawa anakagua form zangu...
  6. Yohimbe bark

    Wahudumu wa bar kweli njaa kali

    Wiki mbili zilizopita nimefika mwanza nimetulia zangu kwa ndugu the whole day nawatch tv tuu, imefika jion nikaona sio kesi kutoka at least nikapige ata Serengeti zangu 6 ili nikirud nipige usingizi muruaaa, faster nikatoka piga kona mbili tatu mara bar io apo nikaingia faster namuita muhudumu...
Back
Top Bottom