Search results

  1. Puppy

    Kasuku anauzwa

    Wana Ndugu Husika na kichwa cha habari hapo juu. Kasuku mwenye umri wa karibia Miaka 2. Mpaka sasa anauwezo wa kuongeza kwa mluzi tu. Ila akilishwa pilipili kwa muda wa miezi miwili mpaka mitatu ataweza kuongea kabisa. Vyakula vyake ni Alizeti, Karanga Mbichi, Miwa na Pilipili Kali Bei ya...
  2. Puppy

    MSAADA: Natafuta ' Glucosamine with HCL 1500mg and MSM 1500mg'

    Ndugu Zangu. Zingatia kichwa hapo juu. Nina mgonjwa wa mguu kwa muda sasa na tumejaribu matibabu mengi sana bila nafuu. Wiki kadhaa nyuma akapata mtu alie na vidonge vya dawa tajwa hapo juu. Kwa maelezo yake mwenyewe (mgonjwa) alihisi utofauti na matumaini. Hata sisi tunaomuuguza tuliona...
  3. Puppy

    Natafuta Karatasi za Busines Cards for Epson P50

    Wanajamii Kichwa cha habari kinahusika. Natafuta karatasi za busines cards kwa ajili ya Epson P50 1. 350 milligrams au 2. 300 milligrams Nazihitaji Arusha, zikipatikana kwingibe pia ntashukuru. Nahitaji kabla ya jumanne wiki ijayo. Natanguliza shukrani
  4. Puppy

    Wagombea wa uenyeviti wa vitongoji kata ya Usa-River, Arumeru mashariki

    HAWA NDIO WAGOMBEA WA UENYEVITI WA VITONGOJI KATA YA USA-RIVER, ARUMERU MASHARIKI KWA TIKETI YA CHADEMA. Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu na muhabarishaji wangu. mgombea mmoja picha yake haikupatikana lakini jina lake ni SANTRUMINI PHILLIPO KIMARIO na anagombea kitongoji cha mlimasioni.
  5. Puppy

    HELP: AppError 200 ya BB Curve 8900

    Habari Wanajamvi. Naombeni msaada namna ya kutatua tatizo hili. Nikiwasha Blackberry Curve 8900 inaleta White screen with the message "AppError 200" na chini yake inanipa option ya "Reset". Na-click reset lakini after a while inarudia vile vile. Thanks
  6. Puppy

    MAANDAMANO ARUSHA: Wanafunzi Wa Sekondari Iliboru Wanaandamana.

    Wanafunzi wa sekondari ya Iliboru wanaandamana. Wametoka shuleni mpaka ofisi za mkuu wa mkoa Arusha mjini. Wamefukuzwa na Polisi wamerudi mpaka geti Kuu la Kuingia AICC na kuna polisi wakutosha. Na polisi wengine wanaongezeka. Madai yao sijaweza kujua ni nini haswa lakini mabango yote...
  7. Puppy

    M4C Leo Arumeru Mashariki Na Maeneo Jirani.

    Kutoka KIA, Kingori, Kibaoni, Kikatiti, Maroroni, Njia Ng'ombe, Maji Ya Chai, Kwa Alois, Kambini, Momela Usa-River na Leganga. Na Kutoka Arusha mjini, December, Ngalimi, Mianzi, Sanawari, Phillips, Kimandolu, Ngulelo, Kwa Mrefu, Madukani, Shangarai, Chama, Kwa Pole, Sang'si, Tengeru, Kwa...
  8. Puppy

    Kwenu Waandishi wa Habari na Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania...

    Kwanza kwa Masikitiko makubwa natoa salamu zangu za Rambirambi kwa familia ya Marehemu Bwanaa Daudi Mwangosi, Channel Ten, Waandishi Wa Habari na Wapenda maendeleo wote. Mungu aipumzishe roho ya marehem mahali pema peponi. Naanza kwa kuwaambia wanataaluma ya habari, Ni Heri umfadhili Punda...
  9. Puppy

    Masaa Zaidi ya 36 Bila Internet. (tiGO)

    Habari za asubuhi wanajamvi. Tokea juzi usiku (jumamosi) saa tano internet connection ya tigo ilipotea kabisa mpaka sasa hivi navyopost (jumatatu 7.35am) bila ya taarifa yoyote ile. Hili tatizo sio kwangu tu bali kwa watu wengi maeneo ya arusha. Hawapokei simu za wateja. Fanyeni jitiada ninyi...
  10. Puppy

    Tangazo kwa wananchi wa Arumeru mashariki. M4c is here.

    CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA KATA YA USA-RIVER KINAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHI WOTE WA USA RIVER NA VITONGOJI VYAKE NA MAENEO YOTE YA JIRANI KUWA KUTAKUWA NA MKUTANO WA HADHARA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 11-08-2012. KATIKA KIWANJA CHA SOKONI MAGADIRISHO KUANZIA SAA SABA...
  11. Puppy

    Mgomo Wa Daladala Moshi Na Ma-Bus Moshi To Arusha

    Kwa Siku Mbili Au Zaidi Daladala za mji wa Moshi zimegoma kufanya kazi ya kusafirisha watu. Sababu yao kubwa ni Ushuru mkubwa wanaotozwa kila waingizapo magari Stand kubwa. Mfano daladala zinazo-operate Route ya Rau-Mjini nauli kubwa ni 300 ama 250 kwa abiria, na kila aingi*po gari stand...
  12. Puppy

    Watuhumiwa Wa Mauaji Wa Mwenyekiti Wa CDM Kata Ya Usa-River Mikononi Mwa Polisi

    Jana Mitaa ya Leganga ilijaa watu wenye mchanganyiko wa hasira na furaha mida ya Jioni baada ya mtuhumiwa wa mauaji kuletwa Leganga. Wananchi waliomba wapewe japo dakika mbili nae wapoze hasira zao, ilikuwa ni purukushani sana kiasi ilikasoro kidogo sana gari alimowekwa kupinduliwa na wananchi...
  13. Puppy

    Hawa Nao Ni Vijana Wa Kisasa Wapenda Mabadiliko

    Hawa Nao Wanapenda Mabadiliko Au Wanakwepa Njaa?
  14. Puppy

    Ajali Nyingine Tena Arumeru Mashariki Kuamkia Leo

    Ukiwa unaelekea Mjini Ukikaribia Chama. Upande wa Kulia Kuna Lori limewaka moto kichwa chake chote. Mizigo imesalimika haijaungua. Huu ni mfululizo wa Ajali za ajabu ndani ya wiki mbili hizi, ikumbukwe jana lori lingine liliparamia daladala na kuua pale Kilala
  15. Puppy

    Ajali Mbaya Kilala - Arumeru Mashariki

    Habari Jamvi. Leo hii kama mida ya saa Kumi Na Nusu hivi kumetokea ajali mbaya sana iloshirikisha daladala na Lori la mizigo maarufu kama semitrela ama kontena. Lori hili kampuni ya Bansal lenye usajili namba T472 APG lilikosa brakes na kuanza kuwasha taa na kupiga honi tokea sawmill...
  16. Puppy

    CCM Mnawafahamu Hawa, John Ayo na Mrs.Kirilo??

    John Ayo alikuwa kada mtiifu wa CCM kwa muda mrefu saaana na diwani, lakini Sasa ameukubali ukweli na kusimamisha Bendera ya CHADEMA nyumbani kwake, na Kadi ya CHADEMA mfukoni. Pia ni mhamasishaji mkubwa wa Chagua Nassari maeneo ya Nkoaranga. CCM fungueni macho muone na mjiulize kwanini...
  17. Puppy

    Ya Igunga Yatokea Arumeru Mashariki, Omary Apotea

    Katika Hali Ya Kusikitisha Na Kushangaza Mkereketwa Na Mpenzi Wa Chadema Omary Amepotea hajulikani alipo kwa kwa muda sasa. Kwa walioko Arumeru Mashariki Omary ni yule kijana anaevaaga Kanzu ya Chadema katika mikutano mingi ya. Kampeni. Hope atapatikana soon akiwa mzzima.
  18. Puppy

    JUST NOW: Kampeni Za CCM Shangarai Zadoda

    Nimepita hapa Shangarai nikaona mkutano wa kampeni wa CCM ukiwa na wasikilizaji wasiozidi (eight to be exact). Wako na magari yao tu
  19. Puppy

    Arumeru Mashariki Juzi Jumamosi

    Uwanja wa michezo wa ngarasero ulijaa mbwembwe hizi
  20. Puppy

    CCM Wanagawa Bendera Na Pesa Arumeru

    Leo Mida hii ya saa nne katika mitaa ya Leganga na Usa-River chama cha ccm kinagawa bendera na pesa kwa waendesha Toyo(pikipiki) na mikokoteni. Bendera moja unagaiwa na shilingi elfu tano mpaka sabini kutokana Uongeaji wako. Wanafanya hivi ili kuongeza idadi ya watu kwenye mikutano yao ya...
Back
Top Bottom