Search results

  1. BMC

    Huyu Faizafoxy atakuwa ni mmama, mdada au mbibi? Navutiwa naye sana!

    hata mimi nampendaga balaa! nahisi ni mama mmoja chibonge, akipita minyama tuu! halafu atakuwa na sauti fulani kaka mama Samia Suluhu!
  2. BMC

    Uchaguzi 2020 Mwaka 2020 Naenda na Rais Magufuli nani yuko pamoja nami

    Nani yuko pamoja nami anasema ataenda na JPM 2020? . - SHETANI
  3. BMC

    Tamko la kumpongeza Rais Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa SADC kutolewa Bungeni leo.

    kuna kila sababu ya kumpongeza mwenyekiti kwa kufikia muda wake wa kupokea kiti, maana anaishi kwa mashaka sana, tusipompongeza tunamuongezea mashaka
  4. BMC

    Mawakili wa Serikali wadai ndege inayoshikiliwa Afrika Kusini ni ndege inayotumiwa na Rais Magufuli

    huyo advocate Nkwashu ashtakiwe kwa kuhujumu nchi waziwazi!
  5. BMC

    Mawakili wa Serikali wadai ndege inayoshikiliwa Afrika Kusini ni ndege inayotumiwa na Rais Magufuli

    tena wawakumbushe, mwenyekiti wa sadeki aliwaahidi wanambeya kuwa hii ndege itabeba maoarachichi kwenda uraya, hata kama wao wenyewe hawatapandapo. sasa wanakwamisha juhudi za biashara ndani ya member state wa sadeki
  6. BMC

    Mawakili wa Serikali wadai ndege inayoshikiliwa Afrika Kusini ni ndege inayotumiwa na Rais Magufuli

    kweli kabisa mkuu, wanamkwamisha mwenyekiti wa sadeki kutimiza majukumu yake ndani ya nchi za sadeki, halafu wanaomkwamisha ni wanasadeki wenzetu
  7. BMC

    Hilo la kuondoa mihula miwili ya Urais tunapaswa tulipinge kwa nguvu zote

    Jaji Lubuva alaaniwe kwa nguvu zote! na ninaomba alipwe hapa hapa duniani- yeye na tume yake yote! maana ile IT team ya Masaki naona imeshaanza kupata malipo yake, sasa naomba na jaji lubuva na tume yake wapokee malipo yao!
  8. BMC

    Tanzia: General Alfred Mbowe afariki Dunia, Msiba upo Salasala Dar Es Salaam

    Ulimwengu ni Jenerali mkuu< siyo General!
  9. BMC

    Mh Rais unachoniboa ni kujilimbikizia madaraka tuu

    wewe lazima utakuwa na vinasaba vya jalalani! hivi shuleni huwa mnaendaga kusomea ujinga?? (in FaizaFoxy s voice). haiwezekani mawazo ya takataka kama haya yakatoka kwenye mtu mwenye akili timamu! lazima utakuwa umelogwa wewe! full stop
  10. BMC

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Sina uhakika ni washirika Tanzania stars au Tancut almas- wimbo unaitwa penzi la kusuasua! Mwemye nao chonde chonde!
  11. BMC

    Wafanyakazi Sahara Media Group wamuandikia Rais Magufuli barua ya wazi

    kila mtenda wema atakumbukwa kwa wema wake..... naimba tuu....... tena nafunga na kuomba Mwenyeezi Mungu awachome zaidi hapa hapa ulimwenguni ............
  12. BMC

    Korogwe: Wakuu wa idara wasiova suti kwenye vikao Kutolewa Nje

    ngonyani- nadhani asili yake ni kule wanakocheza ngoma na suti
  13. BMC

    Polisi watanda kwa Mo Dewji

    watakuwa wanaulinda mdomo wake ili ubaki uko closed! usije ukafunguka!
  14. BMC

    Maswali tata kuhusu utekwaji na upatikanaji wa Mohamed Dewji MO

    nasikia hilo tairi walitumia kuelea nalo mpaka kwao nchi jirani,
  15. BMC

    Maswali tata kuhusu utekwaji na upatikanaji wa Mohamed Dewji MO

    Mlishakatazwa kuhoji jamani, hamsikii?? mwenzenu hakulala siku kadhaa kutengeneza hii sinema, halafu bado mnahoji tuu??? halafu mwingine anauliza kuhusu simu, mara kwa nini hakureport polisi salenda maana ni njia ya kutoka gymkana kwenda kwao uzunguni, mara kwa nini hivi, mara vile, eeh...
  16. BMC

    Rais Magufuli kupokea mabilioni kama Gawio kutoka Taasisi, Kampuni na Mashirika ya Umma 47

    mbona zile nyingine mnafanya siri?? chenji yetu ya makinikia mboa mmepokea kimya kimya?? au hamjapokea bado??
Back
Top Bottom