Search results

  1. B

    Askofu Malasusa na Waraka wa Leo

    Kanisa limeingiliwa
  2. B

    ACACIA: We declare everything of commercial value that we produce and pay all appropriate taxes

    Huu ndo wakati pekee wa kurudisha migodi kwenye umiriki wa umma. imetosha
  3. B

    Social Media Reactions: Nape, Zitto, Tundu Lissu na wengine wampongeza Rais John Magufuli

    Nampongeza Rais na Tume kazi imefanyika sasa utekelezaji wa mapendekezo ya kamati utekelezwe hrk ili Matokeo ya badiili maisha ya mtanzania
  4. B

    Tetesi: Prof. Lipumba kuhamia ACT Wazalendo muda wowote

    Huko kutawaka moto wote wanataka kugombea urais muda utaamua tusubiri mtifuano mwingine
  5. B

    MwanaKJJ Ijumaa: CHADEMA kwenye UKUTA Waachwe Waandamane...

    Si hivo tu, Kuandamana na kufanya mikutano ni Haki ya vyama vya siasa. unawezaje kuhoji Haki ya Kikatiba?
  6. B

    Uchaguzi wa Mwenyekiti CUF, Juma Duni Haji ndani, Lipumba atupwa nje!

    Uandishi mwingine ni kichefuchefu . kwani Lipumba alijaza fomu ya kuomba kugombea? ni lini cuf walikaa na kuchambua majina ya waombaji? unanukuu habari toka Clouds?
  7. B

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Nimewaona madaktari bingwa pale muhimbili lakini bado sijapata Tiba. Kama unamawasiliano na madokta nje ya nchi wanaoweza kumsaidia Mwanangu naomba unisaidie plz
  8. B

    Rais Magufuli: Mimi sijaribiwi, wasije kunijaribu. Atakayeleta vurugu atashughulikiwa bila huruma!

    Anaedhani hili yeye halimuhusu anaiongopea nafsi yake. wakati utatuambia
  9. B

    Hatma ya James Lembeli imeshaonekana

    Lembeli alihama ccm kabla ya Lowasa.
  10. B

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Dr Naomba majibu ya swali langu la mtoto wa miaka minne kushindwa kuongea plz
  11. B

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Dr nina mtoto ana miaka 4 kufikia mwezi Novemba mwaka huu. tatizo lake hasemi mpaka sasa, ni mara chache anaweza kusema baba au mama basi, anasikia vizuri, Nilimpeleka muhimbili Dr kasema tumpeleke shule ya awali ajichanganye na wenzake na kwamba hana tatizo lolote la kumzuia asiongee...
  12. B

    Kodi ya Asilimia 10: Kwa kila Tshs 1,000 ya kwenye Miamala, tshs 280 ni za TRA kuanzia Julai mosi

    sema ukweli ni upi! kusema tu Zitto kaongopa hakuleti maana
  13. B

    Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

    Kiukweli leo kama Kuna msiba vile
  14. B

    John Magufuli ni mweupe kwelikweli, sijui huo urais aliwaza nini kugombea!

    Haina ubishi Magufuli hafai. Kua Rais ni mtu wa jaziba na kuropoka na ni mtu wa kukurupuka na hatambui mihimili mingine atatuletea maafa na machafuko makubwa
  15. B

    TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

    Mungu wa Ibrahim Hadhihakiwi wala kuchelewa. R. I. P Mtikila
  16. B

    Kauli ya Magufuli Dodoma, Je sio Dhihaka kwa Rais Kikwete?

    Nina hakika anashangaa pia akiitwa mwenyekiti wa chama cha upinzani ccm
  17. B

    Magufuli apoteza mwelekeo

    kukurupuka huku kwa Magufuli ni bomu baya zaidi ya bomu la atomic hasa karne hii ya kistarabu. Ambapo ubabe udikteta na uropokaji haupewi nafasi kabisa. Hatufai huyu atatumaliza na mijaziba yake
  18. B

    Nini maoni yako" specificaly" kuhusu kauli hii ya Nape?

    Ni ujinga zaidi kujadili ujinga
  19. B

    Hii Magufuli sasa unapitiliza watu watakujudge vingine!

    Ni ujinga ulio pitiliza kusema hapakazitu umeme hakuna. Watu wanakufa na wengine wengi wakiugua kipindupindu. Ni ujinga zaidi kwa wale wasio na kazi nao kushiriki ujinga huo eti hapakazitu!
  20. B

    Elections 2015 Magufuli amshushia tuhuma Job Ndugai, amtahadharisha kuunga mkono kauli za Lowassa

    Sipati picha huyu. Magufuli akipewa nchi hawa aliowatangazia vita itakuaje na hao ndo wamempigia kura! Watakomaje!
Back
Top Bottom