Search results

  1. Bwegemsela

    Je, ni sahihi kufanya maamuzi haya kwa hali ninayoipitia kwa sasa?

    asiye na dhambi na awe wa kwanza kurusha jiwe Usinihukum nipe ushauri Asante kwa ushauri wako ila mm napima kila wiki sasa tangia nimekutana na huyo mwwnamke
  2. Bwegemsela

    Je, ni sahihi kufanya maamuzi haya kwa hali ninayoipitia kwa sasa?

    asiye na dhambi na awe wa kwanza kurusha jiwe Usinihukum nipe ushauri
  3. Bwegemsela

    Je, ni sahihi kufanya maamuzi haya kwa hali ninayoipitia kwa sasa?

    Swali ambalo lipo kichwani je! huko mtaani wapo ambao sio wasaliti??? au wamepishana viwango tu
  4. Bwegemsela

    Je, ni sahihi kufanya maamuzi haya kwa hali ninayoipitia kwa sasa?

    Kwakweli hapo swala la kukili mbele ya mwanamke ni ngumu sana kwa upande wangu na ni udhaifu wa hali ya juu
  5. Bwegemsela

    Je, ni sahihi kufanya maamuzi haya kwa hali ninayoipitia kwa sasa?

    Shure but kila punda anauwezo wake wa kubeba mzigo
  6. Bwegemsela

    Natafuta mwenza

    Kila la kheri mwajiliwa
  7. Bwegemsela

    Je, ni sahihi kufanya maamuzi haya kwa hali ninayoipitia kwa sasa?

    Brother kwangu limekuwa zito sana ndio maana nikaona nililete hapa maana sijamshirikisha mtu yoyote kwa kuogopa fedheha
  8. Bwegemsela

    Je, ni sahihi kufanya maamuzi haya kwa hali ninayoipitia kwa sasa?

    Mkuu kwa mwanaume haikwepeki lakini pia hata kwa mwanamke kufikia hatua ya kukili ni dharau na yuko tayari kwa lolote
  9. Bwegemsela

    Je, ni sahihi kufanya maamuzi haya kwa hali ninayoipitia kwa sasa?

    Habari za wakati huu wanajamvi Naomba nitoe utambulisho kwa kifupi tu,,,, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 35 nina mke na watoto kadhaa ni mfanya biashara hivyo hulazimika kusafiri mara kwa mara hali hiyo imekuwa inaniladhimu kuwa mbali na mama watoto. Katika kusafiri kwangu hivi karibuni...
  10. Bwegemsela

    Pendekezo: Wakuu wapya wa Mikoa na Wilaya

    Sahihisha kauli yako ww sio mhanga bali ni mnufaika kwahiyo lengo lako ni kulipa fadhili kwa jema alilo kutendea
  11. Bwegemsela

    House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

    Mkuu hii bado inapatikana au penye sifa za kufanana na sifa tajwa
  12. Bwegemsela

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Naomba wajuzi mnijuze faida ya kununua bidhaa mtandaoni kwa mm mjasiliamali ambaye nahitaji kuboresha biashara yangu ya umachinga yaani duka bila flem wala leseni ya biashara zaidi ya kitambulisho cha mh
  13. Bwegemsela

    INAUZWA Nauza canon powershot 540

    Chukua 180k chap boss
  14. Bwegemsela

    Kwa kilichotokea Morogoro, nimetambua kuwa duniani hakuna viumbe wanafiki kama Watanzania

    Huo msaada wa Abood wa kutoa basi kwa shughuli za mazishi ni mdogo sana ambayo ni chini ya 10% kwa wahitaji kwahiyo usishangae watu kushangilia inawezekana wapo pia ambao walihuzunika lakini kwa uchache wao ndio maana hawakuonekana
  15. Bwegemsela

    Kahama: Rais Magufuli amsamehe Mkurugenzi wa Halmashauri aliyenunua gari kinyume na utaratibu. Kahama yapandishwa hadhi kuwa Manispaa

    Hakuna kufa kizembe kama wao wamekubali kuvua basi watakuwa wamejihakikishia usalama wao
  16. Bwegemsela

    Kahama: Rais Magufuli amsamehe Mkurugenzi wa Halmashauri aliyenunua gari kinyume na utaratibu. Kahama yapandishwa hadhi kuwa Manispaa

    Kwani vip kuhusu Bariadi nayo ni Manispaa maana ndio makao makuu ya Mkoa wa Simiu
  17. Bwegemsela

    Kahama: Rais Magufuli amsamehe Mkurugenzi wa Halmashauri aliyenunua gari kinyume na utaratibu. Kahama yapandishwa hadhi kuwa Manispaa

    Mstakabali wa Corona unao ww na familia yako,,Serikali imeshatimiza wajibu wake kitambo kukuambia uendelee kuchukua tahadhali kazi kwako
  18. Bwegemsela

    Shule binafsi kulazimisha darasa la 4&7 kulala bweni

    Kweli ishu sio kipato lakini jambo hilo mpaka limepitishwa inamaana kuna hatua za kuwashirikisha wazazi zimefikiwa ama wakati wakujiunga na hiyo shule kuna maelekezo kama hayo kwahiyo ni hiari yako mzazi kukubali ama kukataa kwa maana ya kumhamisha mtoto
Back
Top Bottom