Search results

  1. PMWAKA

    Ma Dr na watu wa Afya Mje mniokoe😭

    Kama mada ilivohapo juu, nilianza kuumwa siku kama na nikaenda kupima majibu yakaja nina Malaria, lakini kadri nikinywa dawa nilizopewa ma kumeza ,mala mdomo na mate vikawa tasteless kila food nakiona kibaya, mwili ukaanza kuishiwa nguvu hadi sasa siwezi simama hata kwa takika 5 hivyo nikastop...
  2. PMWAKA

    kuwashwa juu ya kifua na vipele vidogo

    Habari wakuu na madaktari wa hili jukwaa. Nimepata changamoto ambayo imebidi nije wajuzi mniambie what could be wrong. Few month ago kama miezi miwili hivi nilianza kuwasha juu ya ngozi kifuani hasa usiku nikiwa nimekaa tu, najikuna kifuani but nikawa naona kawaida tu but sasa vimetokea vipele...
  3. PMWAKA

    Usipite bila kusema shukurani hizi kwa Mungu / Allah kwa mwaka 2020

    Should we thank GOD/ ALLAH ?! Mungu vinywa vyetu vimejawa na maneno ya Shukrani. Tunashukuru kwa ajili ya 2020, umekua nasi January mpaka December. Asante kwa yale ambayo umekwisha kuyafanya, asante kwa yale ambayo bado hujayafanya, asante kwa yale ambayo umefanya kwa sehemu tuu, Tunaomba...
  4. PMWAKA

    INAUZWA Waters Dispenser For sale

    .....
  5. PMWAKA

    Hand sanitiser Zimekufikia

    Pata hand sanitizer kwa gharama nafuu, unaletewa popote ulipo ndani ya Dar. Mikoani tunatuma pia Prices ni kama unavoona kwenye jedwali. Contact me Direct : 0674535975 Order as many as you want and get a discount. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. PMWAKA

    Nina milioni 2 natafuta gari ndogo iliyotumika ili niifanyie kazi zangu

    Hello! Habari wakuu, Niende direct kwenye mada, kutokana na shughuli zangu ninazozifanya kwa sasa, nalazimika kutafuta usafiri wowote mdogo wa gari (gari ndogo) ili kurahisisha kazi yangu na kuwafikia watu wengi zaidi pamoja na kufanikisha delivery zangu za kila siku, pia sababu natumia pesa...
  7. PMWAKA

    Jipatie vitu used kwa bei rahisi kabisa (magari, vifaa vya nyumbani na ofisini, electronics)

    Habari wakuu, karibuni sana muweze kuniunga mkono kwenye biashara yangu. Hapa takua napost na kuuza vitu used na vipya pia. Ukiona kitu ukakipenda tafadhari wasiliana nami kwa maongezi zaidi, of course discount na bargaining itakuwepo. Pia kama unauza kitu chako chochote iwe gari, iwe nyumba...
  8. PMWAKA

    Kama unatafuta gari ya bei ndogo basi ingia hapa

    Toyota Harrier new model Reg DES Cc 2360 Ya mwaka 2007 Good condition Full paid Full documents Bei Kama Bure ml 16,500,000/ Maongezi yapo kwa serious customer. Contact : 0764320475 NB: Gari haina tatizo lolote kila kitu kipo sawa INA full documents na vibali vyote. Inauzwa kwa dharura tu...
  9. PMWAKA

    Kwa mwenye gari ambayo hatumii aniuzie kwa makubaliano ya malipo ya kila mwezi

    Hello Habari Wakuu. Nahitaji mtu ambae ana gari yake ndogo ndogo mfamo Vitz, IST, wish, spacial nk namba C ambayo amepaki tu nyumbani haitumii aweze kuniuzia kwa makubaliano ya malipo kila mwezi. Nina uwezo wa kulipa laki 4 kila mwezi kwa miezi tutayokubaliana kutokana na bei ya gari...
  10. PMWAKA

    Hata hili litapita

    Basi nimekaa hapa leo with sad face, thinking too much and try to figure out why the World is not fair. And at the first time Mimi kijana wa 24years old nilievumilia mengi na ku-struggle too much in my life NIMELIA KWA UCHUNGU. My young sister wants to go to collage na sina pesa , My mother...
Back
Top Bottom