Search results

  1. Dangire

    Nazunguka hapa JNIA, sijaona mkusanyiko wa aina yoyote

    Alichosem Lema ni sahihi kwa 100%... mchawi akikutendea mema, jiulize mara 100%! siyo kufurahi tu...ukweli ni kwamba akili ya Police TZ ni ile iliyosambazwa siku ya Jumamosi - Kuzuia 'mkusanyiko' pale JNIA kwa gharama zozote ili kumfurahisha bwana mkubwa! nadhani walipewa ushauri 'wa kiwango cha...
  2. Dangire

    Tundu Lissu awajibu Polisi waliomfukuza kwenye mazishi ya Mzee Mkapa: Sisi si wachawi

    our game changer! kazi wanayo mataga mwaka huu. mpaka waombe po!
  3. Dangire

    Mzee Kikwete aweka rekodi sawa, Uchumi wa Kati waliopanga na Mkapa ni wastani wa dola 3,000 kila Mtanzania

    Kiongozi wa sasa asingependa kusikia hili ila ndiyo ukweli. wenzie waliotangulia walifanya kazi kubwa kuifikisha tanzania hapa ilipo. tatizo ni kuwa Jiwe anajitafutia na kujijengea sifa 'zilizotukuka' ili ionekane kuwa amewa 'outperform' wenzake wote! huu nao ni ushirikina.
  4. Dangire

    CHADEMA Kanda ya Victoria imetengua uteuzi wa Mbunge wa Viti Maalum Susanne Maselle kwa kukaidi amri ya kutohudhuria Bunge

    soma vizuri ujumbe. hajatenguliwa ubunge wake bali nafasi za uongozi ngazi ya kanda.
  5. Dangire

    RC Chalamila: Ningekuwa Spika ningewacharaza bakora wabunge wa upinzani walioacha kuhudhuria Bunge, wana hoja za kitoto

    Hawa wakishakula na kushiba ndio wanakuja kutucheulia ushuzi tu.....kwani wamekuwa bungeni kwa muda gani toka bunge hili lianze? mbona kipindi hicho chote bunge halikujadili hiyo bajeti?
  6. Dangire

    Kwa hatua zilizochukuliwa, Corona ingekuepo Watanzania tungekufa tuishe

    1. Takwimu tunazopewa zina maswali mengi. 2. Ni mapema sana kufikia hitimisho hili. 3. Tuendelee kuomba Mungu na kuchukua hatua za kujikinga. COVID19 is real.
  7. Dangire

    Spika Ndugai: Wabunge watoro warejeshe fedha zote walizolipwa kuanzia Mei 1-17 jumla ya Tsh. Milioni 110

    Hao wa CCM hata kama hawapo sio shida. Tatizo ni hawa wapinzani
  8. Dangire

    Spika Ndugai: Wabunge watoro warejeshe fedha zote walizolipwa kuanzia Mei 1-17 jumla ya Tsh. Milioni 110

    Bunge linateseka sana na Chadema! acha warudishe tu. uhai wao ni zaidi ya kiasi chochote cha pesa.
  9. Dangire

    Hata mimi ningefanya kama Rais Magufuli

    *Nimekusoma vema. Ntapita kwa haraka tu kupitia hoja zako!* 1. nimemsikiliza kwa makini sana Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli, na nimeendelea kukujua kwamba ni *kiongozi anaeujua uhalisia wa wananchi anaowaongoza.* *Ok. Nadhani unamaanisha uhalisia wa kiuchumi. Well. Vipi kuhusu uhalisia...
  10. Dangire

    Rais wetu Magufuli, Watanzania tunakuhitaji sana zingatia afya yako

    Mungu amlinde mh. Rais wetu. apokee ushauri huu kwa afya yake.
  11. Dangire

    Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

    Alitoka. Amerejea. Kila la kheri.
  12. Dangire

    NEC, hili ni bao la mkono?

    Katika magazeti ya leo Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) amenukuliwa akisema kuwa: 1. jumla ya vituo vya kupigia kura ni 64,736 2. Kila kituo kitakuwa na wapigakura 450. 3. jumla ya wapiga kura waliothibitishwa ni 23,254,485 (22,751,292 (Bara), 503,193 (Zanzibar) Ukokotoaji: 1...
  13. Dangire

    Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

    Rais wetu amejikakamua kujibu swali la Tundu lisu alilouliza juzi kutaka amtaje mmiliki/mhusika wa Richmond. amesema kuwa ni yule anayeongozana na Lisu kila siku kumnadi (ENL). Ninafurahi kuwa sasa mh, rais anaweza kujibu maswali ya wanasiasa na wananchi pale anapotakiwa kufanya hivyo...
  14. Dangire

    Je, huu ni ubakaji?

    KWELI HUU NI UBAKAJI! itakuwa karudia kama mara 5 hivi...its unfair...
  15. Dangire

    TCRA mchukulieni hatua Balali wa Twitter

    Katika mtandao wa tweeter kuna mtu anajiita daudi balali, mtu huyu amekuwa anatweet sana mambo mengi yanayohusu serikali, vyama/taasisi na watu binafsi. Amekuwa akitutukana watanzania sana...amekuwa akitoa kashfa nyingi zinazohusu taasisi hizi...hivi tiss na vyombo vya dola kwani hamjui...
  16. Dangire

    Maaskofu, wananchi ‘wamchanachana’ Slaa

    ETI KAENDA USA leo, kwani kule kuna mihogo? atakula nini? au basi kabeba ya kula huko...
  17. Dangire

    Tanzania inadai taraka toka kwa CCM

    Nchi hii inalilia mabadiliko! ni kama mwanandoa aliyemchoka mwenzi wake kwa vituko vyake na sasa anadai TARAKA. Kapata 'mchepuko' wa uhakika. yuko tayari kuolewa huko.
Back
Top Bottom