Search results

  1. L

    Ushauri: Biashara ya kusafirisha abiria kwa kutumia Noah (Dar au Pwani)

    Wasalaam ndugu zangu. Kijana mwenzenu nimejichanga nina kiasi kama cha mil. 16, nimefikiria nimeona ninunue Noah ili nifanye biashara ya kubeba abiria walau nami nijiajiri maana nimechoka purukushani za kuajiriwa. Hivyo basi nilikua naomba mwongozo kuhusu maeneo ambayo biashara hii inafanya...
  2. L

    Ushauri: Biashara ya kuuza mabegi

    Salaam waungwana, ndugu zangu nina wazo la kutaka kufungua biashara ya kuuza mabegi aina zote yaani mabegi makubwa ya nguo, saizi ya kati, ya mgongoni na hand bags za wadada. naomba mnisaidie mawazo kwenye mambo yafuatayo:- - Chimbo la kupata mabegi makubwa yale ya nguo kwa jumla hapa dar...
  3. L

    Msaada: Maumivu ya mgongo na nguvu za kiume

    Ndugu zangu, yapata miezi 5 sasa nasumbuliwa na tatizo la kuumwa sana kwa mgongo ( kwenye maungio kati ya uti wa mgongo na nyonga) chakushangaza nikiwa na hayo maumivu, mashine inakua ya baridi mnoo na nikiwa kwa bed na shemeji yenu baada ya round ya kwanza nachelewa sana kurudia yaweza kuchukua...
  4. L

    nifunzeni

    wakuu naomba mnipe darasa jinsi ya 'kurecover' msg au picha nilizofuta kwenye simu yangu kwa muda mrefu bila kutumia computer.
Back
Top Bottom