Search results

  1. N

    Dawa ya upungufu wa nguvu za kiume jamani

    Kula dona la kutosha...ukimaliza kapige mzigo
  2. N

    Makengeza huitwaje kwa Kiingereza?

    Si kweli
  3. N

    Makengeza huitwaje kwa Kiingereza?

    Left eyesm
  4. N

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    akaunt inasoma salio 8,524.afu chini kiasi kilichopo ni 5,205.mbn sijawaelewa hapo?
  5. N

    Kipindi cha jahazi clouds fm,the people's station

    Wote hamna mpya•mambulula wote
  6. N

    Mishahara ya walimu juu

    Nimefuatilia katika halmashauri hakuna huo waraka!Wewe umetoa wapi huo waraka?Hata wizarani nasikia wametoa taarifa walimu wasihadaike na huo waraka feki.Weka link ndo tutakuelewa vizuri! Angalia usije ukatolewa kuxha shauri yako.
  7. N

    MISHAHARA YA WALIMU ITAKUWA SH NGAPI, anaejua plz

    chapa kazi kijana.utalipwa mbinguni.
  8. N

    Top Richest People in Tanzania

    kijana wa mjomba yuko juu.
  9. N

    Jinsi CCM Itakavyomtumia Zitto Kushinda Urais 2015

    Eeeeeeeeh,mungu saidia watu wako!
  10. N

    Mgomo wa Walimu Tanzania: Ripoti toka Maeneo mbalimbali ya nchi

    Hali hii itaendelea hadi kesho,mimi sikubali hadi kieleweke.haiwezekani mwanafunzi wangu niliemfundisha mwaka 2005 alimaliza standard seven,leo hii ni dereva analipwa mshahara wa Tshs 420000 wakati mimi nbdo kwanza nimepata promosheni napokea Tshs 176000 baada ya makato yote.hii ni haki kweli...
  11. N

    CWT yaanza kusambaza ujumbe wa simu (sms) za mgomo kwa walimu nchi nzima

    yaani mimi ni mwalimu,ni bora nikakae kwetu na kufanya shughuli nyingine kuliko kuwa mwalimu.hebu niambieni jamani,nina mwanfunzi wangu alimaliza std seven 2005,asa ivi ni dereva hata hajasoma kokote.analipwa mshahara 350,000 kwa mwezi na kapewa nyumba ya kuishi.mimi hapa nilipo hata promoshen...
  12. N

    Bikira ndo inakuwa hivi??????????

    mimi bado mtoto,sijazoea mambo hayo..........
  13. N

    Ushahidi wa serikali yetu kufilisika huu hapa

    kweli itafikia kipindi watu tutaichoka hii serikali,leo tarehe 5 novemba sijapata mshahara.ina maana nimeikopesha serikali? na kama nimeikopesha basi tuandikiane mkataba ili serikali inilipe na RIBA basi.mwezi uliopita nilipokea mshahara tarehe 9.leo hii tena hamna kitu.kuna nini huko kwenye...
  14. N

    Hongera Kipanya kwa katuni zako hasa siku hizi za mgao wa umeme........

    hii nimeipenda sana.hapa nilipo ninalo gazeti la mwananchi.cha kwanza nilichokifuata ni KIPANYA.bib up Masoud Kipanya.
  15. N

    How to use JamiiForums effectively

    jamani,inawezekaneje mtu ufanye kazi siku 30 bila kulipwa mshahara tena niendelee kukopesha hadi leo tarehe 5 october,kweli watanzania waungwana.
Back
Top Bottom