Serikali ndio yenye jukumu la kutunza wazee, kazi ya watoto ni kufanya kazi na kulipa kodi ili serikali itunze hao wazee. Hii itasaidia hata wale wazazi ambao hawa kupata watoto watunzwe
Mimi ninavyo jua hapo kwenye posho pia kuna kuwa na fedha ya malazi, inamaana mheshiwa rais na mke wake watalala chumba tofauti, na kama kimoja vipi kuhusu riceipt ya kurejesha malipo, huo nao ni ufisadi ulio jificha
Sasa kitanda kimoja kinapata posho mara mbili, tena za kiwango cha juu, imefika muda hilo nalo liangaliwe, mtu au kiongozi akisafiri na mke wake swala la posho litaangaliwa vipi?
WAMA, shule ambayo ipo chini ya huyo mama Salma, imekwenda kutembeza bakuli kule USA, kuomba msaada wa vitabu, wakati wao wana beba mpaka mnyosha nguo za mume wake kazi ambayo yeye angeweza kuifanya kama angebeba pasi, sababu hana kazi yoyote ya maana katika hiyo ziara, kisha hizo fedha...
Lakini changes zinaletwa na visionary leaders, sio watanzania as a group peke yao, na hao viongozi wenye vision CCM kwa sasa hawapo, wamebaki akina Lusinde ambao sijui wame watoa wapi. Kama CCM wange kuwa makini, huwezi kumpeleka mtu kama huyo kwenye uchaguzi, Mgamba bado wame lala.
Sasa hao majaji na mahakimu wa bongo, si waanze tu kuvaa magwanda ya kijani, wanasubiri nini, na huko Arusha mpelekeeni huyo jaji zawadi ya gwanda la kijani, ili afurahi zaidi.
CCM inabidi waanze kuangalia upya vigezo vya watu wa kuwapeleka kwenye kampeni zao, huyu jamaa ni zero, hivi aliongea nini huko jimboni kwake mpaka akapata ubunge? Vitu anavyo ongea not relevant na kampeni za ubunge.
Kwanza huyu Jusa arekebishe maongezi yake katika ile hutuba, Shell ni ya Waholanzi na si ya Waingereza, hiyo inaonyesha jinsi gani asivyo jua mambo, anapayuka tu.
Hodi wana JF, ndio kwanza naingia, lakini nimesha fuatilia hii glob kwa muda wa miaka mitatu sasa, kwa hiyo karibu wote humu ndani nawajua. Nimefurahishawa na michango yenu, hasa habari za Bongo, sababu nipo mbali kidogo na Bongo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.