Search results

  1. Kobe_mzee

    Ripoti ya CAG kwa mwaka ulioishia 30 Juni, 2017 imejaa madudu

    Tuna tatizo la kimfumo na kitaasisi katika uzuiaji mianya ya upotevu wa fedha za umma. Tutafanikiwa tu, endapo tutafanya maboresho ya kitaasisi (Institutional Reforms).
  2. Kobe_mzee

    Maji ni Mtego wa Umasikini (poverty trap)

    Kongole Ndg. ZZK kwa kuchokoza mada hii nyeti. Kwa maoni yangu, naona tatizo kubwa lipo kwenye mifumo yetu ya kiutendaji na aina ya wananchi tulionao. Mtu asiyejua kuwa ni wajibu wake na viongozi wake kuhakikisha anapata huduma msingi, ni kawaida sana kwake kuomba badala ya kudai serikali...
  3. Kobe_mzee

    Katika safari yangu, nilichokiona maeneo ya Pwani kinasikitisha

    Una hoja. Ila umesahau kuwa mazao hutofautiana kulingana na tamaduni. Pia mazao tofauti hulimwa kwa misimu tofauti, hivyo usitaraji kuona watu wakilima kwa msimu mmoja.
  4. Kobe_mzee

    Rais Magufuli: Tunataka Tanzania ianze kutoa misaada hata kwa nchi za Ulaya

    Kujitegemea kunahitaji mikakati madhubuti, hivyo kwa mwenendo wetu wa sasa bado tunahitaji kurudi mwanzo na kusuka mipango upya. Kinyume na hivyo, tutangoja sana.
  5. Kobe_mzee

    Spika Ndugai: Nimwambie Zitto, nina uwezo kumzuia kutozungumza Bungeni chochote miaka yote ya Bunge

    Siasa zetu ni za katoto kweli, shindandeni hoja...
  6. Kobe_mzee

    Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

    Tutayasikia mengi sana. Ila mwishowe ukweli tumeshaujua. Tatizo kubwa ya Serikali zetu za dunia ya tatu ni kukosekana kwa uwazi 'transparency'
  7. Kobe_mzee

    Big Brother Africa: What a waste!

    Huu ni ubidhaishaji 'commodification' wa mwili. Hapa mwili unatumika kama bidhaa ya kujipatia pesa.. Huu ni ubepari mkongwe...
  8. Kobe_mzee

    Mtanzania, Alphonce Simbu ashika nafasi ya tatu Marathon IAAF LONDON

    Simbu ni mtu wa kupigiwa mfano. Japo vyama vya michezo na serikali zinamwangusha katika support. Zimamoto zinatuppnza
  9. Kobe_mzee

    Waziri Charles Mwijage amuomba rais Magufuli radhi kwa kumkwaza, aahidi kufanyia kazi maelekezo yake

    Nilibahatika kuangalia (ma)tukio yote ya uzinduzi na kwa amoni yangu Waziri Mwijage alikuwa sahihi kuomba msamaha. Huwezi elezwa kitu na mkuu wako (hata mzazi wako) chenye manufaa kwako na familia kwa ujumla na usitekeleze bila sababu za msingi. I stand to be corrected
  10. Kobe_mzee

    Majadiliano ya kamati iliyoundwa na Rais kuhusu biashara ya madini na migodi yameanza leo 31/7/2017

    Hatua nzuri. Kwa hili lazima tuunge mkono juhudi za JPM. Kudos
  11. Kobe_mzee

    Rais Magufuli ni Nyerere wa pili

    Time will tell
  12. Kobe_mzee

    Mtoto wa JK aula Etihad Airways

    Good achievement
  13. Kobe_mzee

    Why Magufuli administration misses the point on Government splurge

    H.E. JPM has his own style of governance and I think we should give him more time. However, he should seriously observe the separation of power. We have been witnessing cynical bureaucrats and politicians fearing to advise and/or tell HE truth. Things must change
  14. Kobe_mzee

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Tanzania my country, I love her
Back
Top Bottom