Search results

  1. N

    Ntamjuaje kama ananipenda kweli

    Jaribu kumpima kwa kutumia weakness zako anahandle vp then utajua kiasi cha upendo ila chonde unaweza jaribu ndo ukaharibu kabisaaa
  2. N

    Msaada kwa mama wa kambo

    Asante kwa mawazo ila mawasiliano ninayoulizia hapa ni juu ya biological mama kuulizia mwanae anaendeleaje huku ugenini amuulize mzazi mwenzie yaani baba watoto au mama wa kambo?
  3. N

    Msaada kwa mama wa kambo

    Habari zenu wana jf,naomba kujuzwa unapolea mtoto wa mwanamme mawasiliano ya maendeleo ya huyu mtoto yawe yanapitia kwa huyu mama wa kambo au wawasiliane wenyewe?
  4. N

    Natafuta mchumba

    Mchumba hatafutwi hivi kazania masomo kwanza kila jambo na wakati wake
  5. N

    Natafuta mchumba

    Mchumba hatafutwi hivi kazana kusoma kwanza kila jambo lina mpango wake
  6. N

    sina mapenzi

    Kuna historia yoyote ya kutisha uliyowahi kuiona au kusikia ikakuumiza moyo?yupo aliyeumbwa kwa ajili yako punguza mawazo
  7. N

    Picha za mpenzi (au wapenzi) wako wa zamani..

    Unazichoma moto kabisa otherwise kama una mpango wowote naye
Back
Top Bottom