Search results

  1. MR. DRY

    Muendelezo wa maamuzi ya FDL

    Wadau Hivi leo ndo nasikia maamuzi ya mbivu na mbichi juu ya nani anapanda ligi kuu. Mwenye taarifa weka kwenye jamvi
  2. MR. DRY

    Naomba kufahamishwa

    Wana bodi Kwanini D$TV wanaweka watermark ya glass hasa mimi ninaeangalia mipira bar. Je na wale wanaotumia manyumbani iko hivyo. Napenda kufahamu.
  3. MR. DRY

    Azam Tv acheni makwazo!

    Jamaa kashusha OB nyingine
  4. MR. DRY

    Sumsung note 3

    Mkuu iko safi sio ya kichina,but kama haina fresh. Thanks
  5. MR. DRY

    Sumsung note 3

    Wanabodi Simu yangu ya note 3 inashida ya flash kwenye front camera, ukipiga haiwaki,msaada kwa hili.
  6. MR. DRY

    Kisheria na kiuhalisia: ZEC wanakwamisha Tanzania nzima

    Signature inajieleza mbona....... 1. sababu ya karatasi kufutwa namba na kuandikwa nyingine......!!!!!!! 2. Kura zimeharibika tu Pemba........!!!!!!!! Kali ya kufungia mwaka.....
  7. MR. DRY

    Shafii Dauda ni mropokaji

    Hayo yote ni pumba.....TFF na wajanja wao wote wanaangalia matumbo yao na jinsi gani ya kupiga chapaa....
  8. MR. DRY

    Naomba msaada wa kupata Need 4 speed ll PC game

    File linalokuja halijakamilika.....
  9. MR. DRY

    Naomba msaada wa kupata Need 4 speed ll PC game

    Wanabodi Naomba mnisaidie file la setting kwa game hilo kwan kila nikidownload inagoma kuwa na setting. Naomba msaada wa zip file. Ahsante
  10. MR. DRY

    Wimbo wa Yanga

    Wana kandanda. Naomba mwenye ule wimbo wa ''Naipenda yanga mimi shabiki wadamu" Naomba link au faili . Ahsante
  11. MR. DRY

    Dennis Kitambi mchambuzi bora kuliko wote wa mpira

    Mkuu utakuwa umekosea hasa,kati ya watu waliokataa ufigisu ni Kitambi, alifukuzwa kwa kutumia waandishi wa habari ile picha wakipita porini..... Hata hao walikuwa wataalamu wametokea huku hakuna aliyezaliwa na kujua kitu bila kujifunza....... dhamini cha kwako.... mcheza kwako hutunzwa....
  12. MR. DRY

    Njia rahisi ya ku-root smartphone yoyote

    Asa faida ya kuroot simu ni zipi Halafu na apps au data zilizopo kwenye simu zitakuwa safe au ndo zinapotea na kuweka upya? Ahsante
  13. MR. DRY

    Unayotakiwa kuyajua kuhusu battery, chaja za simu na tablet

    Mimi naomba msaada wa kuondoa starter up tone muda wa kuwasha na kuzima,jamaa yangu anatumia tecno P5 msaada wenu inapiga sana kelele. chief-mkwawa
  14. MR. DRY

    Tecno mobile Mega Thread

    Mimi naomba msaada wa kuondoa starterup tone muda wa kuwasha na kuzima,jamaa yangu anatumia tecno P5 msaada wenu inapiga sana kelele.
  15. MR. DRY

    Msaada wa kupata apps za notes

    Wanabodi Msaada kwa mtu mwenye kujua apps ambayo inahusika na kutoa notes kwa mfumo wa pdf au kama ilivyo biblia, kwa fani ya uhasibu na managements. Nitashukuru sana. Ahsante
  16. MR. DRY

    Msaada wa printer hp 1018

    Wanabodi Nina printer aina ya hp 1018 ambayo nikiprint page ninayotaka huwa inaprint page ambayo mimi sijaprint, huwa inajirudi mara kwa mara.nimeambatanisha aina ya page ambayo huwa inajiprint. Naomba namna ya kustopisha page hii. Ahsante.
  17. MR. DRY

    Ram ya huawei y300

    Naomba njia ya kufanya stop baadhi ya app nisimamishe
  18. MR. DRY

    Koromeo langu

    Nashukuru sana maana hadi kwenye tumbo nalisikia kama linakwangua halafu nahisi kama ninakiungulia Ahsanteni tena.
Back
Top Bottom