Search results

  1. M

    Zao la mchikichi, dhahabu mpya shambani, mbegu ya kisasa na mazao mengi zaidi

    Zao la mchikichi, dhahabu mpya shambani Note ; uzi developed Kihiga uwanja mpya wa maboresho, mbegu za kisasa hadi magerezani TANZANIA inatumia mabilioni ya fedha kila mwaka takribani bilioni 600 kuagiza mafuta ya kula kutoka nje kwa vile kiwango cha bidhaa hiyo kinachozalishwa nchini hakikidhi...
  2. M

    Msaada wa Dawa ya usingizi [ugonjwa wa usingizi]

    Wakuu habari za mida Mimi ni kijana wa 20' age . Nimepatwa na ugonjwa [matatizo] ya usingizi uliopitiliza, nimekuwa mtu wa kulala Mara kwa Mara pasipo kuchoka, mawazo, depression zozote. Nikikaa tu kwa kiti, sofa au sehemu yoyote tulivu [Mara chache kwenye kelele] baada ya dakika zisizozidi 2...
  3. M

    Karibuni wazee wa kutake risk na kujilipua

    HABARI WAKUU Hopefully wote tupo njema tukiendelea kupambana na hali zetu. Kutokana na hali ya tz kubana sana kumekua na harakati mbali mbali za raia kujaribu kupeperuka na kusaka maisha sehemu tofauti tofauti (Nje ya nchi). Risk takers, Wazee wa kujilipua na watafutaji njooni tukutane hapa...
Back
Top Bottom