Search results

  1. M

    Ufisadi hasa ni nini?

    Napenda alivyo mkweli huyu mzee! Hana tofauti na prof Mwesiga Baregu! Wakweli japo ukweli wao mara nyingi unawaponza.Laiti kama serikali yetu ingependa kupata na kufuata ushauri wa wasomi kama hawa tungekuwab mbali sana.
  2. M

    CHADEMA waamua kuchimba visima 11 Igunga na Kafumu haonekani tena Igunga!

    nampongeza "fisadi" sabodo kwa uamuzi wake huo.lakini naona pesa angewapelekea walengwa kabisa.....maaana hata ndani ya chadema hawawezi kukosa nondo wachache watakaotafuna pesa kidogo na kufanya msaada huo usiwafikie walengwa!
  3. M

    Nini maama ya vidole viwili (The 'V' sign)?

    Jamani tuache kupoteza maana,umuhimu na uzuri wa jambo.Alama za freemasons zipo nyingi mno,hata kwenye pesa (noti na sarafu )nyingine zina alama za freemason,mwanzisha topic inawezekana ana nia njema ila namshauri ajaribu kufanya uchunguzi wa mambo zaidi kwamba asifanye alama ya V kuipunguzia...
  4. M

    Baada ya Igunga kazi ipo Monduli

    CDM inahitaji kujipanga vizuri Monduli,kule kuna ugandamizaji wa Demokrasia,ukisikika unampinga kigogo wao unapewa vitisho sana.
  5. M

    How to use JamiiForums effectively

    Mimi niko tayari kusapport Chadema kwa kutoa elimu ya uraia vijijini.
  6. M

    How to use JamiiForums effectively

    Mimi niko tayari kusapport elimu ya uraia vijijini.
Back
Top Bottom