Wapambanaji wa hapo Kariakoo, naomba mtuambie business gani atleast ni rahisi kwa mtu mgeni anaweza akajitosa hapo, na kaanza biashara hata kwa mtaji mdogo.
Maana population ya hapo Kariakoo, inatia moyo kufanya business.
Mtupe business ideas za kuishi nazo, hapo Kariakoo.
Nawasilisha.
Wakuu habari,
Kampun gani nzuri ya ulinzi inayolipa atleast vizur kwa wafanyakazi wake.
Hali ya kimaisha imekuwa ngumu sana, Nataka nijitose huko kwenye ulinzi tukusanye mitaji.
Level yangu ya Elimu ni "Bachelor of insurance and risk management"
Cheti cha jkt ninacho.
Asante
Aisee hili swala la Tanesco kukata umeme mara kwa mara hasa huku Kimara linakera sana..
Yani umeme unakatwa asubuhi mpka jioni, hiyo.
Mambo yetu mengi yanaferi sana, hasa Kwa sisi wajasiriamali tunao tumia umeme..
Halafu mnataka maendeleo ya viwanda, sijui ushenzi gani
Tuonane tarehe 28
Wadogo zangu mnaotarajia kuingia vyuoni, mkasome kwa bidii zote ila kuna siku mtakuja kugundua, tunahitaji PESA na wala sio GPA , na mrundikano wa ma VYETI.
Ni hayo tu lakini.
Wakuu! Nategemea kupata kiajira fulani, hapa ni baada ya kukaa home 3 yrs baada ya kumaliza chuo,
Mshahara ni laki 2.
Mbaya zaidi nafikiria 15% ya loan bod.
Wakulungwa!
Hii huwa sielewi, kuna chemistry gani kati ya bia na bisi, ?
Maana huwa nikifika tu bar, utakuta mdada mrembo,ananiletea bisi, baada ya kuagiza vyombo.
Au ndio yale yale, siku hiz watu huwa nawaona wanakula mihogo na dagaa..
Huyu Chief cooker, anaye design hivi chakula , itabid...
Una ujumbe gani kwa wanafunzi wanao tarajia kuingia Vyuo Vikuu. Mimi ujumbe wangu " Mkasome, kwa bidii" huku mkijua maisha huko chuo, ni tofauti kabisa na ya huku mtaani.
Mtuhumiwa wangu hakuwasili mahakamani bila kutoa taarifa ya kuto kuja mahakamani, siku ya kusikilizwa kesi na kuja na mashahidi.
Tarehe Y nimeambiwa nirudi mahakaman, kwa kutolewa order ya kutafutwa yeye na mdhamini wake.
So what will be the last decisions from the court after them kukamatwa.??
Naomba kufahamishwa vitu gani vya muhimu sana kabla hujanunua kiwanja, ili kuepuka utaperi wa aina yoyote ule, au kuuziwa kiwanja ambacho teyari kimetengwa kwa ajili ya matumizi ya Serikali...
Wakuu mnatumia line gani zenye ma bundle nafuu?
Mimi natumia TTCL ila sasa, wamefanya utopolo wa kiwango chake, yani 3500 GB 2.5 kwa week. Wakati ilikuwa natumia 2500 GB 3 kwa week, yani sasa hiv natumia sana pesa kwa ajili ya bundle. Nyie mnatumia mtandao gani atleast nipate hizo gb 3 kwa bei...
Wakuu naomba kuuliza,
Hivi inapotokea mtuhumiwa kutofika Mahakamani bila kutoa taarifa kwa Mahakama, siku ambayo mahakama iliamuru mlalamikaji kuja na mashahidi mahakamani.
Je, Mahakama huwa inachukua hatua juu ya mtuhumiwa?
Pia, kwa mimi mlalamikaji, nitapataje haki yangu?
Nature ya mtaala wetu unatokana na Misingi ya kikoloni, kuwaandaa watu wachache watakaokuwa wanawasaidia Wakoloni katika shughuli za kiutawala. Hata Sasa kwa asilimia zaidi ya 80 mtaala wetu bado ni kwa ajili ya kuwaandaa vijana kwa ajili ya kufanya kazi Maofisini.
Ndio maana Kabla ya Ruge...
Wadau mambo vipi?
Nadhani kila mfanyabiashara anapenda kuona biashara yake inakuwa kila siku, au kila baada ya muda fulani, hapa nina maanisha kwamba , kama ulianza kuuza chapati 20 kwa siku, basi tuna tegemea baada ya muda fulani uweze kuuza chapati 50 kwa siku.
Sasa, wataalam wa biashara na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.