Search results

  1. G_real

    Marioo achaguliawa tuzo za Soundcity kama Best Upcoming Artist

    Waandaaji wa Tuzo za Soundcity MVP wametangaza orodha ya wasanii wanaowania vipengele mbalimbali kwenye Tuzo hizo Watanzania @Diamondplatnumz @RayVanny @S2kizzy @OfficialNandy @Harmonize_tz na @Marioo_tz wametajwa . Diamond Platnumz anaongoza akiwa ametajwa kuwania vipengele 6 Ikiwemo Artist Of...
  2. G_real

    Harmonize tumekushtukia

    Huyu kijana naona anazidi kushuka mdogo mdogo yani yeye na management yake yoote Ni watu wa ovyo saaana.juzi kaiba clip ya dancer wa Nigeria ambayo walikua wanacheza nyimbo ya zlatan.yeye akaichukua na kuingizia nyimbo yake mpya ya kushoto kulia ili ionekani imepasua anga zaidi akajua watanzania...
  3. G_real

    Huyu ndo mshindi wangu bongostarsearch (BSS) 2019

    Habari za saizi wakuuu Kwa mtazamo wangu na kwanilivyo mskiza vizuri huyu kijana hamisi ndo mshindi wangu wa mwaka huu BSS. Anajua kupiga guitar na kuimba anajua. [emoji116][emoji116][emoji116]Video
  4. G_real

    IP MAN 4 The Finale

    Wakuu dude linatoka tarehe 25 December Kunawakali kibao Kama. DONNIE YEN SCOTT ADKINS VANESS WU JIM LIU KENT CHENG NICOLA STUART JASON REDSHAW YEU WU
  5. G_real

    Kwani kuna tatizo mwanaume kuvaa 'kacha' (Culture)?

    Wakuu mimi napenda sana kuvaaa 'kacha' (Culture) za shanga wanazovaa Wamasai na napenda kuvaa za bendera za Africa, ila kuna watu huwa wananiambia hizi kacha wanastaili wavae watoto wa kike. Je, ni kweli au?
  6. G_real

    Msaada: Flash haiingizi wala kutoa vitu

    Wakuu kuna jamaa nilimpatia flash 32 GB, baada ya kunirudisha ikawa haiingizi wala kutoa vitu. Mwenye kujua jinsi ya kuifungua naomba anielekeze.
  7. G_real

    Wakuu wale tuliokanwa na mabibie kwa watu wengi

    Habari za saizi wakuu Wale ambao tumewahi kukanwa na mpenzi mbele za watu tuambaiane ilikuaje. Mimi nilikuwa na bibie mmoja nilimpenda sana kipindi cha pasaka tulikuabaliana night tutatoka pamoja kwenda club.basi ilivyo fika saa mbili nikamshtua tuende akaniambia anajisikia vibaya so hawezi...
  8. G_real

    Diamond na Ommy Dimpoz tuzo za AFRIMMA

    Hongera sana Diamond [emoji119] kwa kunyakua tuzo umeendelea kuonesha umwamba wako kwenye muziki. Huyu jamaa inatakiwa aheshimiwe tu ametutoa mbalii saana kimuziki. Hongera na Ommy Dimpoz best East Africa Male [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji16]
  9. G_real

    Huyu bibie simuelewi

    Habari za saizi wakuuu? Mwezi uliopita nilikua na demu mahusiano yetu hayukudumu saaana sababu alikua anamambo mengi.alikua na rafiki yake wakaribu saaana mda woote wanashinda pamoja.huyo kwa kipindi hicho tulikia tunaitana shemeji but juu juu tu. Sasa siku moja niliazima chaji kwa huyo demu...
  10. G_real

    Mfahamu Fireboy DML

    Habari za saa hizi wakuu, Huyu kijana kutoka West Africa Nigeria. Kuzaliwa: 5 February 1996 Mahali alipozaliwa: Abeokuta Nigeria Nyimbo 1: Jealous 2019 2: King 2019 3: What if I say 2019 4: You 2019 5: Star 2019 Huyu ndio anaemsumbua Rema kule Nigeria kijana anaimba kweli unamsikia sio kama...
  11. G_real

    Anajijua yeye ni namba moja, hakuna wa kumshusha kipindi hiki lakini kitu kinachomuumiza kichwa ni uwepo wa Alikiba katika muziki wa Tanzania

    Ni usiku wa manane, Diamond yupo chumbani kwake, alikuwa amechoka, usingizi haumpati kwa sababu anaifikiria safari yake atakayoianza kesho kuelekea kwenye matamasha yake nchini Marekani. Kichwani mwake anafikiria mambo mengi ila kubwa zaidi ni upinzani wa muziki uliokuwa nchini Tanzania...
  12. G_real

    Hivi wakina Joyce mna matatizo gani?

    Habari za saa hizi wakuu, Hivi hawa wenye wadada wakuitwa Joyce wana matatizo gani🙇? Nilikua na demu anaitwa Joyce alikua ana maringo sana halafu anapenda sana maisha ya juu na pesa sana. Na nilimpotezea baada ya kuja ghetto na kuninyima papuchi yaani ananipa masharti mengi eti nikimuoa...
  13. G_real

    Wakuu mnaosema mieleka ni maigizo

    Wakuu hivi mnaosema mieleka ni maigizo mmeichecki match ya hell in cell ya seth rollins? mkiiangalia ndio mlete na ushahidi kuwa ilipangwa
  14. G_real

    Kofi kanyang'anywa mkanda kizembe sana

    Wakuu nimeumia saana yaani hajapambana hata dakika kumi kaporwa mkanda. Lesnar mshenzi sana ======= Following a six-month dream reign as WWE Champion, Ghanaian-born wrestler Kofi Kingston saw it all come crashing down in 10 seconds on Friday Night Smackdown. The title fight against Brock...
  15. G_real

    Asante newcastle kwa kunipa ushindi..

    wakuu kwa mara ya kwanza leo toka nianze kubet ndo leo napata ushindi kwa kuwaua man u ingawa ni timu yangu ninayo ipenda kutoka kundumbula na wasipo mfukuza kocha lazima tushuke daraja,nimemuua.MAN U,MAN CITY,asrsenal win dr,chelsea win dir.roma1x na nimeshinda.M1 laki6 na 52 na kbla ya kuwin...
  16. G_real

    Ubishi na tamaa vilitaka kuniponza!

    habari za saizi wakuu kuna bidada mmoja anakaa mtaani kwetu amepanga nyumbani kwa mshikaji wangu anaishi kwao nyumba ya tatu kutoka ghetto na ni mgeni katokea kyela, bidada kaumbika hatari kila nguo akivaa ni majaribu kwa vijana na nimemuwinda wiki tatu mpaka nikapata namba yake ya simu...
  17. G_real

    Nilifundishwa mapenzi na mtoto wangu

    Habari za saizi wakuu, Mi nikijana Nina umri miaka 24 nakumbuka wakati mdogo kipindi hicho nyumbani tulikua tunakaa na mother,mzee,(kazi zake zilikua za kusafiri safiri)broo1 na mtoto wa broo wangu upande wa mamkubwa wa kike kipindi hicho alikua na miaka 21 namimi nilikua na miaka 12. Kipindi...
  18. G_real

    nimehama timu wazee..

    habari za saizi wakuu kuanzia leo tarehe 23 mwezi 9 mwaka 2019 kwa akili zangu timamu nimeamua kuhama manchester united na kuamia manchester city sijalazimishwa na mtu nimeamua mi mwenyewe na sababu zilizo nifanya nihame ni hizi 1.kocha hana mbinu na uwezo wa...
  19. G_real

    kubanja..

    Habari za saizi wakuu nikiongelea kubanja kila mtu anaelewa namaanisha nini. Kuna siku nilienda kwenye gradue ya form4 ya mdogo wangu mbeya pale soko matola kwenye ukumbi wa mkapa kipindi hicho nilikuwa na sumbuliwa saana na kifua ko nilikua na banja kinoma. Hiyo siku nilikaa na watoto wazuri...
  20. G_real

    Wazee wa games tujuzane games gani nzuri umewahi kucheza

    habari za saizi wakuu hapa nazungumzia games za pc ps xbox kuna games nyiingi saana na kali kiupande wangu game nilizowahi kucheza na ninzuri kwa mpira ni 1.fifa19 2. pes2020 za kivita 1.call of duty morden warfare zoote 2.call of duty ghost 3.protype 4.sniper elite 5.far cry zootee 6.god of war...
Back
Top Bottom