Search results

  1. jphty

    Naombeni ushauri, kozi ya Automobile Engineering

    Kwa Mechanical ni koz changa pale Nit haina muda sana imeanzishwa mwaka 2013 kwahyo si ya muda sana. Unajuaa kitu chochote ambacho ni mwanzo hakikosi changamoto zake.. Watu wa form 6 wanasoma miaka 4 lakini wenye diploma ndo miaka 3 mkuu!!!!!
  2. jphty

    Naombeni ushauri, kozi ya Automobile Engineering

    Kama huyo dogo ndo anaingia mwaka wa kwanza atalipia hiyo NTA level 7 kaka!!!!
  3. jphty

    Naombeni ushauri, kozi ya Automobile Engineering

    Usijari kijana mie nipo hapo NIT naingia mwaka wa 3 sasa hapo!!! Ni koz nzuri kwasababu magari mengi ya sasa yanahama kutoka mechanical mpaka computerlized kwahyo gereji bubu zinatoweka taratibu kwahyo inafanya kuanzishwa kwa sekta rasmi kabisa katika eneo hili. kwahyo kuhusu ajira sio lazima...
  4. jphty

    Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

    Mkuuu Lumia 630 Dual Sim tayarii ishafika bongoo???? wapi patikana bhanaa??
  5. jphty

    Kuhusu Mtandao mpya wa SMART LET'S TALK

    yaah!! hata mm niliwapigia huduma kwa wateja wakasema hawana 3G hapa mjini Koz wanatakaa kuweka 4G lakini nilipowauliza kuhusu lini watakuwa wanapatikana kwa 4G hawakunipa muda sahihi zaidi ya hivi pundee..!!! ngoja tuwasikiliziee pengine wanawezaa kuwa msaada hapa mjinii..
  6. jphty

    Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

    hii itakuwa sawaa 354029036151257 bila shakaa...
  7. jphty

    Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

    IMEI-35402903651257-t mobile Network-UK
  8. jphty

    Kwa wale ambao bado hajaona majina yao heslb pdf hizi hapa unaweza download ili uwe na copy yako

    yaani katika wajanjaaa wotee wa humuuu we ndo mjanjaaa kulikooo wotee safiii sana mkuuu!!!:A S thumbs_up::A S thumbs_up:
  9. jphty

    mwenye uelewa kuhusu grants application

    mmmmmhhh kaz kweliiii kweliiiii!!!! sasa sijui hiyooo ndo lugha ganii maanakeee!!!!!!! labda mi peke yangu ndo siijui!!
  10. jphty

    UMECHAGULIWA PROGRAM IPI na NI CHUO GANI??

    kama kawaida walee wa hard stuffs Bs in AUTOMOBILE ENG Pale NATIONAL INSTITUTE OF TRANSPORT sio mbaya kujuanaa!!!!:car::car:
  11. jphty

    Msaada ku-unlock memory card(MICROSC) password z lost

    asante mkuu nimekupta sawia kabsa!!!!! mchezo umekwisha \theink yu!!!
  12. jphty

    Msaada ku-unlock memory card(MICROSC) password z lost

    mkuu!! nimepata nokia N70 HII itafaaa!!!
  13. jphty

    Msaada ku-unlock memory card(MICROSC) password z lost

    wanajamvi naomba mnisaidie memory card yangu(4GB) nataka kuifingua bahat mbaya nimesahau password yake nifanyeje!!!!!! ilikuwa lwenye simu yangu nokia 2700 classic,inamambo yangu muhimu sana!!! MSAADA WENU WAKUUU!!!!!:rolleyez::rolleyez:
  14. jphty

    Startimes na vingamuzi vyao

    khaaa!!!!sawa mkuu asante sanaa!!!nakubali!!!!!nakubalii!!!!
  15. jphty

    Free StarTV, ITV na Chanel 10 kwenye Star Time

    kaka naona kwa 530Mhz mzigo unapga kaz kama kawaida!!!! sasa tatizo ndo haka ka ujumbe "Non-Conax Program" kwenye screen tunakatoaje???????????:A S 39:
  16. jphty

    Usingizi waweza kukuumbua...

    mkuu umetisha kaka
Back
Top Bottom