Search results

  1. M

    Couples za JF ni hizi...!

    Humu ndani hamuwezani hata kidogo. Wote mnajua kutype!
  2. M

    tatizo wakati wa tendo la ndoa!!

    Kamuone Daktari.
  3. M

    lol....kumbe mkishaolewaga ndo mnakuwaga hivyo

    Anasikilizia uhondo! lol
  4. M

    Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

    Mpeleke kwenye maombi. Utacheka sana ninapokwambia hivi lakini take it serious. Ataacha.
  5. M

    Jinsi ya kuondoa madoa na mabaka mwilini

    Nenda kwa Kairuki kuna daktari mzuri wa ngozi, yuko siku za jumatatu kama sikosei.
  6. M

    Mgongo kuuma wakati wa "HEDHI"

    Wakuu, heshima zenu. Nina tatizo la kuuma mgongo kabla na baada ya kupata HEDHI. nina mwaka wa 2 na hili tatizo na sijawahi kwenda hospitali kwa kujua kwamba ni kawaida. Sasa naona ninakoelekea ni kubaya zaidi. Nina mtoto wa miaka 13. Mlawi.
  7. M

    Mgomo umeiva Mzumbe University: JK unahujumiwa?

    Great thinkers! hahahha nacheka sana mimi. Napita tu wandugu
  8. M

    Inatufundisha nini hii moviie ya "The Best Man"

    Kila mara ninapoangalia movie huwa najifunza mambo mengi. Kwa hii movie waliowahi kuiona,wake/waume, GF/BF/Nyumba ndogo etc inatufundisha nini? Muwe na siku njema. Mlawi.
  9. M

    "A Thin line Between Love & Hate.

    Point ya mwisho imenifurahisha. Nahisi kama ungekuwa mtihani umepata 100%. Wanaume kama hujaelewa kitu alichoandika AshaDii utakuwa una upungufu wa u bongo wahi kwa Dr.
  10. M

    Hawezi kunioa kwasababu hana "MSIMAMO WA MAISHA"

    Kama huna msimamo ya nini kuendelea nae? Chapa lapa utakutana asiye na msimamo mwenzio mtaishi. acheni kulalamika nyie wanaume.
  11. M

    Kulipa fadhila kunamkondesha

    viherehere vya wanaume sometimes vinacost. Hivi unasomesha mwanamke ni mwanao? Kama umeamua kumpeleka shule kaa kimya. wazazi kuwasomeshha watoto wao wanalalamika? Pole sana kijana, umengiea choo cha kike .
  12. M

    Wana jf nahitaji mtu wakushirikiana nae kwenye biashara awe na mtaji wa millioni 20

    Post yenyewe ya kimzaha ndiyo maana watu kama hao wanajibu kimzaha.
  13. M

    "A Thin line Between Love & Hate.

    Wadau wa JF, Kwa wale waliowahi kuangalia hii movie wake/waume mmejifunza nini? Nawasilisha.
Back
Top Bottom