Utuoapo sadaka, nia yako hukubaliwa kwanza kuliko wingi au ukubwa wa sadaka.
Utoaji ni tendo jema la kiimani na ni ibada. Siku zote ufanyapo ibada hiyo Nia njema ikutangulia na ufanye Kwa moyo wa kupendwa na Mungu atakubariki na kukutakabari.
Furaha ni hisia nzuri juu ya Jambo au Hali fulani. Furaha ni huja Kwa muda then utoweka. Hi hisia na vile vichocheo vya mwili vinakufanya ujisikie vizuri.
Kwenye maisha jambo la mhimu ni amani na sio furaha. Amani ni Hali ya akili kuamini Iko sababu njema ya wewe kuwa vile ulivyo. Kutafuta...
Hakuna watu wa ovyo kama walevi. Maisha ya kushinda unasikiliza miziki ya kilevi na kishetani ndo anaona ni maisha. Akiwa anatazama matako ya akina dada na miguu Yao anaona amefika kabisaa humwambii kitu. Sasa omba apate pesa ya kununua kigari kitachomeezesha kwenda vilabuni ndo najiona maisha...
Kutofikiri kwako tu ndo kunakusumbua. So unataka kuandamana kuwa why Simba ni dominant Kwa wanyama wengi mwituni ? Ukubari tu ukweli ngozi nyeusi ni inferior Kwa light skin
Watu wana maana tofauti kuhusu kazi na mifumo ya maisha waliochagua. Jinsi unavyotamani kuendesha maisha Yako is central katika kuhamua ufanye kazi gani na Kwa mfumo gani, kuajiriwa au kujiajiri.
Kuna ajira ndugu zangu zinalipa, ukizipata hutotamani kusikia hustle za watu waliojiajiri. Lakini...
Kuna maeneo ukipita Dar unasema Hawa wamiliki wa haya majengo na ofsi ni watanzania kweli? Masaki, Oestabey, Mikocheni, Mbezi Beach etc.. utajiri uliowekezwa kwenye maeneo hayo ni mkubwa sana .
Hizi ni stress za maisha zinawasumbua vijana. Dunia haijaanza Leo Ina Karne nyingi sana. Generations nyingi zimepita, maisha hayajawahi kusimama. Na ukweli ni kua generation ya Leo ni Bora sana kuliko iliyopita. Pambana, survive, zalisha wapambanaji wa next generation. Rest assured wanao watakua...
Ujinga tu na upumbafu. Kushindwa kutambua asilimia nyingi za watu kuwa masikini ni hila za uyo shetani huko ndo kupotea. Shetani hajawahi, sio , na hatokuja kuwa mwema .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.