Search results

  1. Wakipekee

    Ukweli Mchungu: Simba atapigwa nje ndani na Al ahly

    Siku kama ya Leo wiki ijayo ndipo kutakapokua vilio na kusaga meno katika dimba la Mkapa kwani Kolozidad atapigwa na kitu kizito. Baada ya hapo ataenda tena Cairo kufanyiwa mambo mabaya sana na waarabu. Utabiri utakua hivi game ya nyumbani Simba atapigwa 3 na Kule Cairo atapigwa Bao 4 Kwa...
  2. Wakipekee

    Siasa Za Mpira Zipo Tangu Zama Za Kina Juma Kaseja, Dickson Job Piga Kazi Achana Na Matapeli

    "Kuna Maisha baada ya uchaguzi" Hii ilikua kauli ya Mzee jakaya kikwete akiwaasa watanzania wasichanganyikiwe na mambo ya uchaguzi wakasahau kua kuna Maisha mengine ambayo ndio halisi baada ya hicho kipindi kidogo chenye hulka na mambo mengi ya ajabu.. Jana ilitoka list ya wachezaji...
  3. Wakipekee

    Ukweli usemwe, Yanga siyo bora kama tunavyo aminishwa

    Kuanzia Kule mapinduzi Zanzibar, Yanga walicheza soka la hovyo Sana wakasingizia kina Pacome hawapo lakini leo wote walikuepo hadi forward jipya la mchongo. Ila ni upuuuuuzi mtupu. Naitabiria Simba msimu mzuri na wanachukua makombe yote muhimu kuanzia FA hadi la Ligi kama walivobeba Ngao ya...
  4. Wakipekee

    Tahadhari Kwa Viongozi Wa Yanga, Mwenzako akinyolewa...

    Habari wananchi wenzangu... Jumamosi hii ya tarehe Mbili December tuna game ya CAF champions League dhidi ya Mabingwa watetezi National Al ahly. Hii itakua game ya pili kwenye kundi letu.. ikumbukwe game ya Kwanza tulikandwa Goli tatu bila. Msifikiri kua hatukuumia, tuliumia Sana kilichozima...
  5. Wakipekee

    Waandishi Wa Habari Huzitukuza Sana Timu Za Uarabuni..

    Hello wadau... Kwa Miaka ya karibuni soka la Tanzania limekua na mvuto mkubwa kiasi kwa sasa ni rahisi tu Kwa shabiki hata wa shule ya msingi kukutajia kikosi cha kwanza cha Simba au Yanga bila kufikiria sana. Hongera Sana Kwa Azam Media Kwa kuifanya hii ligi kua mubashara hivo imekua rahisi...
  6. Wakipekee

    Africa football league iwe somo kwa tamasha la simba day na siku ya mwanachi

    Hi everyone... Jana ilikua uzinduzi wa michuano mipya na mikubwa zaidi kwa sasa barani Afrika yaani Africa football league... Sherehe zilifana sana, watu walijitokeza Kwa wingi Sana tena mapema ili waweze kushuhudia burudani mbalimbali. Mageti yalifunguliwa mapema kabisa na watu kuzama ndani...
  7. Wakipekee

    Nini kifanyike ili Mashabiki wa Simba wasije kung'oa tena viti wakifungwa?

    Habari wadau, niende kwenye mada moja kwa moja... Tunajua Simba wana matarajio makubwa msimu huu baada ya kuongoza ligi ya NBC Premier league huku wakijiandaa na michuano ya African Football league maarufu kama super League, lakini ukitazama kwa jicho la mwewe Simba ametangulia na baskeli ya...
  8. Wakipekee

    Mtanzania Benard Kamungo Aitwa Timu ya Taifa ya Marekani Kuelekea Michuano ya Olympics Paris 2024

    Kwema wadau.... Nimeiona habari ya mtanzania Benard Kamungo anayecheza ligi kuu ya marekani "Major league soccer" yaani MLS Kule alipo mtaalamu wa kucheza soka duniani Leonel Messi kuitwa kwenye kambi ya timu ya Taifa ya marekani Kwa ajili ya maandilizi ya michuano ya Olympics itakayofanyika...
  9. Wakipekee

    FT: Geita Gold FC 0 - 3 Yanga SC | NBC League | CCM Kirumba Mwanza | Oktoba 7, 2023

    Hello wanamichezo wote Jf!? I hope mko poa mkiendelea na majukumu yenu mbalimbali.... Najua wengine hawapo poa kutokana na magonjwa au matatizo mbalimbali ya dunia hii, usife moyo Bali mtangulize Mungu Kwa kila Jambo. Leo bingwa mtetezi wa ligi namba tano Kwa Ubora barani Afrika namaanisha NBC...
  10. Wakipekee

    Kuna namna Yanga inahujumiwa, ni ngumu kushinda ubingwa msimu huu

    Kila mtu ameona kilichotokea pale mbalali mbeya. Maamuzi ya kijinga yameikosti Yanga na hamna hatua zitakazichukiliwa. Wananchi jiandaeni kisaikolojia.. kama mshindi wa Ngao ya jamii alivopatikana kimauza uza ndivo atakavopewa ubingwa na "Rais wa Maisha..." Tupambane Tu club bingwa msimu huu...
  11. Wakipekee

    FT: NBC Premier League | Young Africans 5-0 JKT Tanzania | Azam Complex Stadium, Chamazi | 29/08/2023

    Habari wanamichezo wa JF? Bila Shaka mpo poa mkiendelea na majukumu yenu ya kulijenga Taifa. Leo bingwa mtetezi wa ligi namba tano Kwa Ubora barani Afrika namaanisha NBC PREMIER LEAGUE, Dar Young Africans maarufu kama Yanga SC watakua wenyeji wa JKT Tanzania. Mchezo utakaanza mishale ya saa...
  12. Wakipekee

    FT: Azam Sports Frederation Cup(FA): Azam Fc 0-1 Young Africans Sc | 12/06/2023 Mkwakwani Stadium Tanga

    Salute Wana JF... Naaaaam habari zenu wapenda soka ni matumaini yangu kua mpo Sawa mnaendelea kulipambania Taifa. Leo ndo ile siku litapigwa pira kukamiana, pira Fainali Kati ya wanalambalamba Azam Fc na Wataalamu wa kutambaza soka Safi ukanda huu wa Afrika mashariki na Kati Dar Young Africans...
  13. Wakipekee

    FT: NBC PREMIER LEAGUE: Tanzania Prisons 0-2 Young Africans | 09/06/2023

    Saluuuuuute Wana JF.. Leo ndo Leo asemae kesho muongo.... Kila lenye mwanzo halikosi kua na mwisho. Safari ilianza August mwaka jana na sasa tunafika tamati. Kama kawaida Leo Mabingwa wa kihisitoria Dar Young Africans yaani wananchiiiiiiiiiiiiiiiii [emoji172][emoji169][emoji28] wanaingia...
  14. Wakipekee

    FT: NBC PREMIER LEAGUE: Mbeya City 3-3 Young Africans | 06/06/2023

    Haya haya tukiwa kwenye dakika za lala salama Leo wanafainali wa kombe la shirikisho watavaana na Mbeya city pale jijini mbeya. Mechi itaanza saa 10 kamili. Mechi hii ni muhimu zaidi Kwa upande wa Mbeya City kwani wakishinda itawanusuru na kushuka daraja. Lakini Kwa upande wa Yanga itatoa...
  15. Wakipekee

    Kwa Wanayanga: Nini Kifanyike ili Yanga icheze Fainali ya CAF Champions League msimu ujao

    "Yanga hawajafa KIUME wala hawajafa KISHUJAA. Vita inapofika MWISHO wanajeshi wote—walioshinda na walioshindwa—hurudi nyumbani wakiwa HAI. Waliokufa ni wale ambao hawakufika mwisho wa mpambano. Yanga HAWAJAFA kabisa. Wamefika mwisho wa mpambano na sasa wanarudi nyumbani wakiwa HAI." Maundu...
  16. Wakipekee

    Fei Toto: Nilifanyiwa hujuma kwakua sijui kiingereza

    𝗗𝗢𝗡𝗗𝗢𝗢 𝗭𝗔 𝗙𝗘𝗜𝗦𝗔𝗟 𝗣𝗢𝗪𝗘𝗥 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗙𝗔𝗦𝗧 𝗖𝗟𝗢𝗨𝗗𝗦 -Nilikuja bara na timu yangu ya JKU kwenye mashindano ya kagame cup na ndipo Yanga na Simba waliniona,Ila timu ya kwanza kunitaka walikuwa Simba ambao walinipa ofa ya 25m ila Mimi nilikuwa nataka 60m na Haji manara ndio alinipeleka kwa Viongozi wa Simba...
  17. Wakipekee

    Kuna Dunia Ya Mayele Ambayo Huenda Hujawahi Kuisikia...

    Habari Wana JF... Najua mko poa Leo nataka kuwasimulia kidogo kuhusu mtaalamu Fistoni Kalala Mayele.... Huenda yapo mengi ambayo unayajua lakini na Mimi pia mtaandika kile ambacho huenda hukuwahi kusikia kuhusu Mayele. Mayele alivunja rekodi nyingi huko Congo kabla hajacheza ligi kuu ya nchini...
  18. Wakipekee

    FT: ASFC: Singida Big Stars FC 0-1 Young Africans | LITI Stadium | 21-05-2023

    Mtanange wa kumtafuta mwanafainali atakayecheza na Azam pale mkwakwani Tanga. Game itaanza itaanza saa Tisa na nusu. Kikosi cha Singida Kikosi cha Yanga Mchezo huu ni wa Nusu Fainali Mchezo umeanza 4' Bado kasi ya mchezo haijawa kubwa 8' Yanga wanamiliki mpira muda mwingi 15' Kasi ya mchezo...
  19. Wakipekee

    Tuzo Za Shirikisho La Mpira Wa Miguu Tanzania (TFF ) 2022/2023

    Salute Wana JF.. Ama baada ya salamu twende kwenye mada moja Kwa moja Leo TFF imetoa baadhi ya majina na categories ambazo wachezaji watawania tuzo mbalimbali kutokana na viwango walivovionesha msimu huu wa 2022/23. Hapa tutaangalia kila kategori na washindani kisha tutatoa maoni nani...
  20. Wakipekee

    FT: Young Africans 4-2 Dodoma Jiji | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | Chamazi | 13/5/2023. Yanga yatangaza ubingwa

    Kumekucha tena wakuu, habari zenu wapenda soka? Ni imani yangu kua mko poa.! Leo ndo ile siku ambayo wananchi wamekua wakiisubiri Kwa hamu kubwa. Si mlisikia kua kutesa Kwa zamu? Naam Yao imepita sasa ni zamu ya watoto wa Jangwani kula Utawala. Leo jumamosi ya May 13 2023 kuna mtanange mkali...
Back
Top Bottom