Search results

  1. Tajiri wa Magomeni

    Mafuta gani ya kujipaka yana gharama zaidi?

    Ni cerave moisturizing Cream Bei yake ni 70,000/= anayejua yenye gharama zaidi atujuze Uzi tayari.
  2. Tajiri wa Magomeni

    Mafuta gani ya Kujipaka ya gharama Kubwa Zaidi?

    Cerave moisturizing Cream gharama yake 70,000/= anayejua mengine yenye gharama zaidi atujuze...Uzi tayari
  3. Tajiri wa Magomeni

    Biashara ya kuingiza 5000 per day Masasi Mtwara

    Biashara gani inaweza ukaingiza 5000 kwa siku Mtwara mtaji ni 200,000/= Uzi tayari
  4. Tajiri wa Magomeni

    Yupo Wapi Vengu wa Ze Comedy?

    Kuna habari kwamba alikuwa anaumwa. Ni muda mrefu sana, mwenye taarifa zake tafadhali
  5. Tajiri wa Magomeni

    Mambo gani yamegunduliwa na Wasomi wa Tanzania?

    Kuna maprofesa na madaktari kibao katika kila sekta.Je Ni Mambo gani yamegunduliwa na na Wasomi wa hapa Bongo? Uzi tayari
  6. Tajiri wa Magomeni

    Inawezekana kuagiza nje engine mpya ya Scania 113 & Land Cruiser V8

    Nataka kuagiza Engine mpya ya Scania 113 Pamoja na ya Toyota Cruiser. Wadau mnaojua wapi wanashughulika na hii issue ikiwezekana mnijuze na bei kabisa. Uzi tayari
  7. Tajiri wa Magomeni

    Nini Kipo Nyuma ya Lady Jay Dee na Salama Jabir?

    Nimeona kwenye interview ya Salama na Jay Dee Salama na Jay Dee wote wamekiri kuwa hawana watoto. Najua hawa wote wameshafika 40+. wanaume wa Darisalama mnafeli wapi?? Uzi tayari.
  8. Tajiri wa Magomeni

    Jinsi Unafiki katika ndoa unavyofanya kazi

    mwanamke anamuacha mtu mwenye six parts anaenda kuolewa na mtu tajiri mwenye six cars.akishaolewa anakuja kuchepuka na yule mwenye six parts Mwanaume anamuacha slay queen anaoa binti wife material mwenye heshima na tabia nzuri then anaenda kuchepuka na slay queens a.k.a malaya wa mjini Siku...
  9. Tajiri wa Magomeni

    Kwa waliooa tu: Je, ni kweli ndoa bila michepuko haiendi?

    Kuna mwanandoa mmoja anasema "oa ili ujue kwanini unahitaji mchepuko" hakuna watu malaya kama waliooa, kama kabla ya ndoa ulikuwa una wanawake wawili basi ukioa utakuwa na wanawake wanne.Mliooa mnafeli wapi? Uzi tayari
  10. Tajiri wa Magomeni

    Hii ndo Raha ya Kuwa na Mahusiano na Mwanamke mwenye Pesa

    Unakuta wewe una pesa nyingi...mke wako naye ana pesa nyingi unamnunulia zawadi ya million nne naye week ijayo anakusurprise na zawadi ya million tatu.It feels so good kwa upande wangu. Kuwa na hela Raha Sana.Life without money is life that hasn't lived.Uzi tayari
  11. Tajiri wa Magomeni

    Changamoto za malezi ya watoto wa kike

    Kuna mzee alikuwa mkali sana kwa binti yake now kazeeka anaumwa basi binti yake kawa malaya mtaa mzima.binti anamuongezea stress tu mzee wake wenye watoto wa kike/wadogo za kike tupeni changamoto zake kuna jamaa yangu shuleni ilikuwa ni ugomvi tu na watu wanaowatongoza dada zake.basi akawa...
  12. Tajiri wa Magomeni

    Kwanini Landrover Defender zinapendwa sana?

    wajuzi wengi wa magari wamekuwa wakisifia kwamba Landrover Defender engine ya TDI ni gari nzuri yenye engine bora sana.wajuzi hebu mnijuze sifa za hii engine pamoja na engine capacity yake
  13. Tajiri wa Magomeni

    Official Instagram ya Jay Z

    wadau naomba kujua official Instagram ya Jay Z
  14. Tajiri wa Magomeni

    Msaada : Nimesahau password ya Dell laptop

    Msaada jamani kwenye tuta
Back
Top Bottom