Search results

  1. Mtundu wa Tech

    Wamiliki wa vituo vya TV tunaomba muwakumbuke na walemavu wa usikivu hafifu au hawasikii kabisa.

    Habari ndugu zangu! Binafsi naendelea vizuri Alhamdulillah! Nina ombi ama ushauri wangu kwa wadau wa matangazo kupitia vituo vya runinga pamoja na bodi nzima ya urushaji au wamiliki wenyewe wa hivi vituo wawafikirie zaidi walemavu wa kusikia(viziwi). Kama tujuavyo kuwa katika uziwi...
  2. Mtundu wa Tech

    Kuhusu kuanzisha Jamii forum sports FC

    Salaam wakuu! Nina wazo hapa, hivi founder na moderators hamuwezi kuanzisha Jamii forum sport FC ambayo tunaweza alika team yoyote na tukakiwasha hata mara moja kwa mwaka ikaanzishwa Jamii forum bonanza. Kisha baadhi yetu humu wakachaguana kisha tukasakata kabumbu ka miguu, netball, basketball...
  3. Mtundu wa Tech

    Natafuta mwanamke/mwanamama wa kuanza urafiki wa kubadilishana mawazo

    Waa asalaam. Mimi ni muislamu, rejea na kichwa cha habari hapo juu. Nahitaji mwanamke anaweza kuwa na urafiki nami aje PM. Sichagui kabila wala dini ninachotaka mimi ni kuheshimiana na pale atakapohitaji ukaribu zaidi kama ishu za tendo la ndoa awe tayari kupima HIV bila kuficha. Nafahamu...
  4. Mtundu wa Tech

    Kumwaga nje wakati wa kunyanduana ni hatari kwa baadhi ya watu wasioelewa

    Wa salaam wana JF! Nadhani mko salama salmin kwa wale wagonjwa naomba kwa Mwenyezi Mungu awape nguvu wapone Ngoja niende kwenye mada husika kana kwamba kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza... Hivi karibuni na hata miaka ya nyuma hiyo wengi sana hupenda kutumia njia ya uzazi ya kumwagia...
  5. Mtundu wa Tech

    Natafuta Mwalimu anayefundisha Lugha ya alama

    Mwalimu yeyote anayefundisha lugha ya alama yaani sign language. Awe mkaazi wa Dar, nahitaji mawasiliano nae ili nami nijifunze lugha ya alama. Aje inbox nimpe namba yangu tuwasiliane Whatsapp na tujue tutaonana wapi na muda ambao atakua free. Maana nahitaji sana nijifunze kwa mtu binafsi...
  6. Mtundu wa Tech

    Vigezo kutafuta mume/mke

    Hivi hii tabia ya kila mtu naetafuta mke au mume kutaja na vigezo vingi ilianza wapi? Kuna wengine wanasema wanataka mume au mke mcha Mungu ukiangalia mwenyewe hata Bible au Qur'an hasomi wala haijui vizuri Kuswali kwenyewe kwa manati[emoji23][emoji16][emoji1787][emoji1787]
  7. Mtundu wa Tech

    Hospital gani wanapima masikio?

    Habari! Kutokana na title inavyojieleza hapo juu, nahitaji kufahamu hospital ya masikio hapa jijini Dar ambayo inapima kwa usahihi na kugawa vifaa vya usikivu ili kuongeza uwezo wa kusikia. Maana kuna ndugu yangu alikuwa anaumwa sana enzi za nyuma na kupelekea kupoteza uwezo wake wa kusikia na...
  8. Mtundu wa Tech

    Nini maana ya uhujumu uchumi?

    Habari wa JF!! Kila nikipitia makala mbali mbali huwa nakutana sana na maneno haya "Uhujumu uchumi na Utakatishaji fedha". Naulizia haya maneno yanamaana gani na yanatumika kwa kitendo gani kibaya katika jamii yetu? Maana neno utakatishaji fedha yaani money laundering hili naona kama linaeleza...
  9. Mtundu wa Tech

    Nawakumbusha kwa chama cha waliooa

    Msikilize mwenza wako, narudia tena msikilize mwenza wako kwani huyu ni mtu anayekujua kwa undani kuliko watu wengine. Ndiye anayepaswa kuwa mshauri wako wa kwanza. Omba ushauri na maoni kutoka kwa mwenza wako na atakueleza ukweli ambao utakusaidia sana. Ndiyo maana kila siku mnashauriwa...
  10. Mtundu wa Tech

    Uwanja wa Fisi (Hyena Square)

    Siku hizi sioni watu wakiongelea sana huu uwanja wa fisi sijui kwa sababu saiv ushabadilishwa na kuwa uwanja wa michezo!!!! Wenyeji waishio karibu na uwanja wa fisi tupeni updates ili tufahamu kama ile michezo bado inaendelea au wakubwa washafumua mitambo yote. Nasubiri majibu yenu ili nijue...
  11. Mtundu wa Tech

    Tujifunze namna ya kuandaa file/folder bila ya kuweka jina

    Habari JF! Natumai mu wazima wa afya. Leo nataka kugusia kidogo jinsi ya kuandaa folder kwenye computer yako bila ya kuonekana jina la hilo folder. Huu ni kuendelezo wa Tech Tricks tu katika section hii. Twende hatua kwa hatua na kama mwenye swali atauliza hapo chini. Hatua kwa hatua -...
  12. Mtundu wa Tech

    Hakuna kitu ninachokichukia mimi kama Mchumba kuomba pesa

    Kitu ninachokichukia au kukisia au kukiona ni Mchumba kuomba pesa. Maana mnaweza kutana siku ya kwanza mkibadirishana tu namba hapo hapo anakuambua hana bando, mara anataka pesa ya saloon mara nini yaan mpaka kero. Kama kweli nikibahatika kumpata mchumba ambae hana tabia ya kuomba pesa nadhan...
  13. Mtundu wa Tech

    Rafiki wa kike anahitajika

    Mimi ni mwanaume mpenda mambo ya Teknolojia hasa hasa kwenye software. Napenda sana kumpata rafiki wa kike wa kuchat nae kama kupunguza stress tu za mizunguko. Kwa yeyote alie tayari ani-PM tu. Sichagui umri yeyote awe bint au mama mtu mzima sawa tu maana ninachopenda sana mimi ni kuchat huku...
  14. Mtundu wa Tech

    Whatsapp na messenger chats

    Mdada au mama mtu mzima anahitajika kwaajili ya messenger chats. Umri kuanzia mwaka 23 na kuendelea na awe tayari kutuma picha zake bila kizuizi[emoji848][emoji848][emoji848] Kama upo tayari PM na jina unalotumia messenger au namba ya simu.
  15. Mtundu wa Tech

    Tuongelee kuhusu mfumo endeshi(OS) wa Android

    Android ni mfumo endeshi ulioanzishwa na mtaalamu aitwaye Andy Ruben. Kwa kawaida neno Mfumo endeshi kizungu tunaitwa Operating System. Andy Ruben ndio mwanzilishi wa huu mfumo endeshi wa android na alianzisha for fun tu na baadae akatengeneza website ya android.com, baada ya kupata idea ndipo...
  16. Mtundu wa Tech

    Mada ya Leo

    Nasema hivi mchumba hasomeshwi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Japo kuna watu wengi tu humu wanasomesha wachumba zao na kuna wengine walisomesha na kipindi hiki wanajuuuta na wengine wanafurahia matunda ya kusomesha wachumba zao. Ila kwangu mimi narudia tena kwa herufi kubwa tu...
  17. Mtundu wa Tech

    Chakula cha Usiku

    Natumaini uko salama salama... Natamani nikukumbushe kitu .. Chukua CV yako kule mwisho kuna sehemu umeandika Referees ... Hebu tafuta vocha wapigie .. Wasalimie.. Uwajulie hali... Wengine Referees wenu hawana hata number zenu tena.. Wengine Ma Referee washahama hiyo address ,na wengine...
  18. Mtundu wa Tech

    Tuchangamshe akili kidogo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

    Mama mtu mzima aje PM chap tuyajenge hata kama ameolewa maana leo tu nataka Lunch wala sio mengine. Mwenye hela zake akuje me namsubiri PM[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
  19. Mtundu wa Tech

    Imekuja hivi punde!!!

    Hii tabia ya wadada/wamama kuanika nguo zenu za ndani hasa vyupi hovyo kwenye kamba mtaacha lini? Maana kunakua na kero kuviona vyupi vikielea tu kwenye kamba hasa hizi nyumba za kupanga yaan kero tu. Vyupi, taiti na vile vitambaa vya bleeding sijui[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
  20. Mtundu wa Tech

    Heloo

    Mimi ni mgeni humu hivyo naombeni ushirikiano wenu
Back
Top Bottom