Search results

  1. K

    Malipo ya maegesho ya magari jijini Mwanza sio haki

    Sasa hii kinachotafutwa ni nini? Yaani from 1500 to elfu 20 to laki 2, daaah kunawatu wanapata pesa kirahisi sana na hapo hakuna ulinzi wa gari ukipaki. Au tuwe tunagonga daladala tu
  2. K

    Malipo ya maegesho ya magari jijini Mwanza sio haki

    Nimebahatika kutembelea jijini Mwanza mwisho wa mwaka huu na nimekutana na kitu cha ajabu ambacho sijawahi kukiona duniani kokote kuhusu jinsi ya kulipia maegesho ya gari. Mtu anakuja kuscan plate number yako bila hata wewe kujua, hivyo ni wajibu wako kujua hata kama ni mgeni kuwa unatakiwa...
  3. K

    TBC, hamjapata habari kuwa Mbowe kapata dhamana?

    Hehehehehehehe, this is nice one
  4. K

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Asante sana kwa taarifa... Nzuri. Hivi mimewashinda nini kuautomate payment mtu akilipa umeme uwake palepale badala ya kuingiza kwenye meter zenu na nyingi mbovu?
  5. K

    Musiba Cyprian kwa njia hii haumtetei Rais ila unamuaibisha, na kuwadhalilisha wanaomtetea kwa hoja

    I advice you hakuna haja ya kupost this expression here... Mjinga muache na uninga wake.... Ni busara sana kumjua mtu kwa maana hata kusumbua.... Anatuzalilisha sana watanzania huyu jamaa...... Anaichafua hadi Serikali indirectly
  6. K

    Musiba Cyprian kwa njia hii haumtetei Rais ila unamuaibisha, na kuwadhalilisha wanaomtetea kwa hoja

    This is a big pig in our lovely country. He don't think even we have tomorrow
  7. K

    Alichofanya anakijua na ndo maana hatarudi Tanzania

    Where are getting the gtts to write-up something u can't confirm... And why are u relating this to our government....
  8. K

    Freeman Mbowe na Esther Matiko watimiza miezi miwili jela Segerea

    Katika kitu ambacho ningewashauri wakubwa ni kufanya kosa kama hili... Basically kosa lao ni lipi hasa....??
  9. K

    Polisi kama ndio hivi hamna intelejensia

    Hopefully ata wa PM wakuu
  10. K

    Vibao vya 50km\hr vinachelewesha uwajibikaji, vinakera na ni sheria ya kizamani.

    Wewe si bure utakuwa umepiga kitu from Himo wewe na si cha Tarime
  11. K

    Vibao vya 50km\hr vinachelewesha uwajibikaji, vinakera na ni sheria ya kizamani.

    Kusimama kwenye Tuta? Sheria mpya hii au unamaanisha kwenye Zebra?? Hapo mimi wangenipeleka hadi kwa RPC sitoi fine.... Police wachache kwa sasa ni wanaforce makosa baada ya watu kuwa wanafuata sheria vilivyo, hata makosa ya toch yamekuwa yakuviziwa sana siyo kama zamani. Na police mikoa mingi...
  12. K

    Vibao vya 50km\hr vinachelewesha uwajibikaji, vinakera na ni sheria ya kizamani.

    Is very unfair Tanzania kuiringanisha na Rwanda, umisoma historia vizuri isingekuwa Vita ya kwanza ya Dunia possibly Rwanda na Burundi ingekuwa mikoa ya Tanganyika, sema baada ya Germany kushindwa vita alinyang'anywa sehemu hizo na wakapewa wafaransa kuzihold kwa mda and then Tanganyika...
  13. K

    Vibao vya 50km\hr vinachelewesha uwajibikaji, vinakera na ni sheria ya kizamani.

    Kapime kibao cha Impala secondary pale Chalinze, na ile sehemu ya ukikaribia Kibaigwa ukiwa unatokea Mbande ndo ulaumu, hizi hamsini na mistari ya kuovertake mingi imewekwa kimakosa.... 50 ziwepo ila ziwe kama zile za kama Mkoa wa Mwanza, penye shule na centers za vijiji na miji tu, na pia...
  14. K

    SPIKA: Tumesitisha kufanya kazi na CAG. Panga pangua Kamati za Bunge yaanza

    I ALWAYS GET TIRED WHEN I GET TO THE POINT OF BEING RULED BY THE PEOPLE WHO ARE NOT WORKING IN A SYNCHRONIZED MODE
  15. K

    Wale ambao hatutawapigia kura wagombea wa CCM kwenye uchaguzi wowote tukutane hapa

    Mimi for sure kama nikupiga, nitampigia Magufuri tu na wale wa zee wa ndiyooooo kila kitu sipigi... Kila kitu ndiyooooo
Back
Top Bottom