Search results

  1. S

    Botswana imefanyaje kufikia hatua hii?

    Huyu ni Serestse khama?
  2. S

    Gari yako ya kwanza ulinunua ukiwa na umri gani?

    Kama kipato chako kwa mwezi kiko chini ya 5m achana na magari
  3. S

    Ushauri kwa vijana: Kijana fanya juu chini hakikisha una check number

    Laki 8 tarehe kama hii unajikuta una buku 70 tu ndo zimebaki.
  4. S

    Ushauri kwa vijana: Kijana fanya juu chini hakikisha una check number

    Tupeane mawazo ya Kujiajiri, hizo check number ni ngumu
  5. S

    Ushauri kwa vijana: Kijana fanya juu chini hakikisha una check number

    Madereva wananapata hela kuliko maofisa hii ni kweli Ila posho ya dereva na ofisa zinatifautiana ofisa daraja la II ni 150,000/-, dereva ni 100,000/-
  6. S

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    - inaonekana unapenda sana Tanroads
  7. S

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Take home yako ni 1.05+m Bado ni ndogo na Wala sio ya kutupigia kelele sisi tulip kwenye mashirika ya umma
  8. S

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    1,600,000/- Take home ni sh ngap mkuu?
  9. S

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Salary scale yako ndogo sana kulinganisha na huku Tanroads,
  10. S

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ungepata kazi TANROADS kama Civil Engineer II kama Mimi nahisi ungetafuta bango kabisa
  11. S

    Mtu kauza kiwanja. baada ya kupokea hela kagoma kutransfer umiliki wa kiwanja chake kwenda kwa mnunuzi

    Wapima ardhi tunasoma sheria za ardhi zote, Kama ulikuwa unajua kuwa manispaa kuna idara ya upimaji ardhi kwa nini hamkwenda kwa wakati ili mfanye subdivision ya ardhi?
  12. S

    Mtu kauza kiwanja. baada ya kupokea hela kagoma kutransfer umiliki wa kiwanja chake kwenda kwa mnunuzi

    Aisee mwasibu, umeandika kitu cha maana Sana, hawa watu huwa hawataki kutushirikisha Land surveyors kwenye ununuzi wa ardhi, wakipata majanga ndio wanakumbuka umuhimu wa Land surveyors, na hapo unaweza kukuta diwani kamlipa 10% halafu mkataba wenyewe batili
  13. S

    Mtu kauza kiwanja. baada ya kupokea hela kagoma kutransfer umiliki wa kiwanja chake kwenda kwa mnunuzi

    Nilipe milioni 5 nikupe majibu Majibu yanapatikana kwenye Sheria ya Usajili wa ardhi, na Sheria ya ardhi, land survey act -ukinunua ardhi jaribu kuonana na Wakili,au mpima ardhi, hayo mauzo ni batili 100%, na anaweza kukosa haki yake unajua utaratibu wa kugawanya ardhi?
  14. S

    Mtu kauza kiwanja. baada ya kupokea hela kagoma kutransfer umiliki wa kiwanja chake kwenda kwa mnunuzi

    Sharia za Tanzania haziruhusu diwani kusimamia mauziano ya ardhi, huo mkataba ni batili
Back
Top Bottom