Search results

  1. MANIAJE

    Makao Makuu ya Wilaya yaunganishwe kwa barabara za lami

    Mh. Waziri pole na kazi. Sisi wakazi wa wilaya ya Mpwapwa tuna kilio kikubwa Sana. Mpwapwa ni moja Kati ya wilaya Kongwe kabisa katika nchi hi. Ni wilaya yenye umri was zaidi ya miaka 60 ila kilio chetu kikubwa . Tena kikubwa sana ni barabara ya lami . Tunaomba usome dm yangu kwa niaba ya...
  2. MANIAJE

    Wanawake kujeni hapa niwaambie

    1. Abrahamu alizaa na mjakazi wake Hajira, bado anaitwa Baba wa mataifa. 2. Yakobo alimwoa Lea na mdogo wake Raheli isitoshe akazaa na wajakazi wake wawili, Zilpa na Bilha, na akabarikiwa kuwa taifa teule la Israel. 3. Mfalme Suleiman alikuwa na wake 700 na masuria (michepuko ) 300, lakini...
  3. MANIAJE

    Nina milioni mbili tu. Natafuta kiwanja Msalato au Veyula, Dodoma

    Wanabodi habari... Kichwa Cha habari chahusika Nina milion 2 tu natafuta kiwanja Dodoma eneo la Msalato au Veyula. Kiwe na ukubwa was nusu heka na kuendelea. Umbali kutoka barabara ya Dom arusha hata ikiwa km 3 sio mbaya ilimradi maji na umeme viwe karibu. Asanteni
  4. MANIAJE

    Nina milioni 2 tu natafuta kiwanja msalato au veyula dodoma

    Wanabodi habari... Kichwa Cha habari chahusika Nina milion 2 tuu natafuta kiwanja dodoma eneo la msalato au veyula. Kiwe na ukubwa was nusu heka na kuendelea. Umbali kutoka barabara ya Dom arusha hata ikiwa km 3 sio mbaya ilimradi maji na umeme viwe karibu. Asanteni
  5. MANIAJE

    Namkataa beberu na mambo yake yote, na fahari zake zote

    Mimi Mtanzania, nikiwa na na akili timamu, naahidi; 1. Kujitoa kwenye media za mabeberu (facebook, insta, twita na whatsapp). 2. Kuacha kutumia intaneti 3. Kuvunjavunja televisheni yangu 4. Kuchoma nguo zangu zote na viatu ambavyo havijazalishwa hapa nchini. 5. Kupinga mtaala unaofundishwa...
  6. MANIAJE

    Hadithi ya mwanafunzi wa std 6

    Baaasi buana, Jana ile nimekaa na wadogo zangu katika ku-stay home. Mdogo wangu mmoja umri wake ni kama miaka sita hivi. Akaanza kunipigia hadithi moja hivi. Hadithi hadithi, Hadithi njoo uongo utamu koleaaaa. Hapo zamani za kale alikuwepo baba mmoja, mke wake na watoto wake watano. Huyo...
  7. MANIAJE

    Wizara ya afya mizaha mtaacha lini?

    CORONA VIRUS ITALY: Lockdown CHINA: Lockdown DENMARK: Lockdown NORWAY: Lockdown IRELAND:close all school and cancel mass gathering USA: close all school and ban European plane TANZANIA : osha mikono yako kwa maji safi yanayo tiririka [emoji848][emoji1787][emoji124]...
  8. MANIAJE

    Ushauri wenu juu ya Nissan extrail

    Wadau kuna kitu mnitoe Tutani..... Hivi Nissan Extrail injin zake zote ni sawa au zingine zinatofautiana??? Na pia kama zinatofautiana ni model IPI na IPI???? Nafahamu Nissan zina ugonjwa wa kuzima zima injin, Kingine Dosari yake yake nini???? Naombeni wataalam wote tutiririke Na kuna...
  9. MANIAJE

    Jambo pekee linaloweza kuwaunganisha wabunge wa CCM na upinzani ni hili tu

    Kwasasa wabunge wa ccm na wabunge waupinzani hawapikiki chungu kimoja, lkn kama kuna hoja inayoweza kuwaleta pamoja na wakaungana kwa nguvu zao zote ni hoja ya kuweka ukomo wa ubunge kutoka ubunge wa milele na kuwa ubunge wa miaka 10,hapo ndipo utajua kuwa hakuna mtetezi wa wananchi bali...
  10. MANIAJE

    Uandikishaji Wapiga Kura 2019: Baadhi ya hoja za wasio tayari kujiandikisha ni hizi...

    Kama thamani ya kura yangu sintoitambua sijiandikishi wala sipigi kura Kama kuna watu walioandaliwa kuwa viongozi kwa nguvu kura yangu ya nini? Kama nsimamizi atashangaza kumtangaza mshindi halali ili hali anapewa mshahara, gari,nyumba na ulinzi akamtangaze tofauti na anaependwa na anaemlipa...
  11. MANIAJE

    Je ujasiri wa kufanya maandamano haramu yasiyo na baraka walipata kwa nani?

    WACHAWI WA GAMBOSHI WAMEANZA KUFANYA MAAJABU YAO, WAANDAA MAANDAMANO KIMYA KIMYA. Ivi maandalizi ya maandamano haya yalifanyikia lini? Je maandalizi haya yalifanywa/kuhamasishwa kwa njia gani, je ni kwa njia ya mikutano ya hadhara au njia ya mitandao? Kama jibu ni kwa njia ya mikutano ya...
Back
Top Bottom