Search results

  1. matics

    Udahili wa vyuo vya ualimu

    Jamani napenda kuuliza hivi majibu ya maombi kwa waliomba awamu ya pili ambayo tangazo lilisema yataanza kutoka kuanzia tarehe 20/6/2022, tiari kwenye account za wengine maana yangu kila nikiingia inaniandika hivi, na tatizo ni nini?
  2. matics

    Kwa mwanamke anaetumia njia za uzazi wa mpango kwa mwanamke anaetumia njia za uzazi wa mpango

    Kwa mwanamke anaetumia njia za uzazi wa mpango mfano kijiti ni kawaida kuingia kwenye siku zake kila mwezi, Nawasilisha.
  3. matics

    Chuo gani bora

    Chuo gani bora kwa kozi ya bachelor of education special needs,,Kati ya Udom na amucta
  4. matics

    Bachelor of art with education vs Bachelor of education special needs.

    Dogo ananiuliza nimushauri aende wap,Kati ya hzo kozi mbili,wajuzi shaulini hap, utaje na faida ya kila moja.
  5. matics

    Mwanafunzi kufanya kosa la utapeli wa mtandao

    Kuna dogo lilikuwa na cm ya rafiki yake likapigiwa simuna matapeli wa mtandao kuwa katume pesa kwa wakala mwambie kaka ndo kanituma na hyo wakala tunafamiana, nae akatuma kumuomba dogo hela hana, jamaa kamuweka ndan,sasa nauliza hivi kosa hilo tukienda mahakamani anaweza fungwa, wanasheria...
  6. matics

    Kwa Division III ya mwanzo ya mwaka 2011, form six aombe chuo gani?

    Aombe vyuo gani ambavyo hatopata ushindani mkubwa, vyuo vikuu, hapa Tanzania.
  7. matics

    Nimelipia NACTE ili nipate award verification number, lakini mpka sasa sijaona chochote

    Nimelipia nacte ili nipate award verification number, lakini mpka sasa sijaona chochote, mwenye uelewa, tafadhali anisaidie, huwa wanamaliza siku ngapi kuituma.
  8. matics

    Msaada: Naomba kuelekezwa namna ya kutuma maombi ya kujiunga na Vyuo

    Leo dirisha la kuomba kusoma vyuo vikuu mbalimbali limefunguliwa, naomba mwenye ujuzi jinsi ya kuomba anisaidie. Pia tunaomba chuoni moja kwa moja ama TCU, ukiniwekea procedures utakuwa umenisaidia sana.
  9. matics

    Kumsomesha mwanamke ni kupotezea fedha au ni jambo sahihi?

    Kumekuwa na mitazamo mbalimbali juu ya suala la kuendelezana kimaisha Kati ya wanandoa, wengine wanasema ni kupotezea muda na mali, wengne husema ni jambo sahihi kabisa, Je eti kumsomesha mwanamke ni kupotezea fedha au ni jambo sahihi?
  10. matics

    Matumizi ya kondomu na maudhi yake

    Wadau kwa nini ukitumia kondomu, ukipiga bao la kwanza huwa jamaa anakufa tena huenda usipate kabisa hamu ya kurudia tena, nini kinasababisha, najua wahanga tuko wengi.
  11. matics

    Je, bikra ya mwanamke inaweza kutoka bila damu?

    Kumekuwa na maelezo mengi kutoka kwa wanawake kuhusu kutolewa bikra zao. Wengne husema bikra zao hutolewa kwa kuendesha baiskeli, wengne kwa kufanya kazi ngumu. Siku moja nikakutana na kidemu changu ndo ilikuwa siku ya kwanza baada ya kumaliza kanasema nimekatoa bikra wakati hata damu...
  12. matics

    Matumizi ya kinga (kondomu) katika tendo la ndoa

    Hivi ni kwanini wanawake huwa hawana maamuzi juu matumizi wa kingamaana akishaingizwa chumbani tu mwenye maamuzi huwa ni mwanaume? Mwanzon anaweza uliza ziko lakini baadaye haulizi tena au anaweza kuuliza ukajifanya kuivaa ila ukitaka kupenyeza tu unaitoa na anaendelea tu
  13. matics

    Kwanini wanaume huwa wakali wanaposalitiwa katika mapenzi hata kama nao wanachepuka?

    Hivi ni kwa nini mwanaume akigundua mke wake anachepuka, ama mpenzi wake anamsaliti huwa mkali na mwishowe kuvunjika kwa ndoa, ilihali na yeye huwa anachepuka? Wadau hebu tujadili hapo tuone tatizo ni nni hasa, kwa nini asichukulie kawaida?
  14. matics

    Course ipi nzuri Kati ya hizi, katika usomaji wake, na ajira

    1. Bed special needs 2. Bed psychology 3. Bed in policy planning & management,
  15. matics

    Ni course gani nzuri ya kusomea upande a education ngazi ya degree,

    Wadau Mimi ni mwalimu.mwaka huu wa masoma 2021/2022 nimepanga kwenda masomoni,naomba ushauri wenu kwa upande wa education Kuna course gani nyingne nzuri tofaut na hizi ,BAED art au BAED science,
Back
Top Bottom