Search results

  1. D

    nisaidien jaman....

    Pole sana, Mungu akupe ujasiri na umuombe akupatie kama huyo au zaidi.
  2. D

    Inaniuma saana

    Da! Pole sana kaka, ila hawa wa2 cyo. Au unaingia kwa mkwara mzito baadae unashindwa kuhimili mapigo? (gharama). Utakae mpata mhoneshe maisha ya kawaida saaana. Na huconeshe kama unampenda kivile den husimhadisie kuhusu wale X-machangu yako
  3. D

    Jamani na hili je!

    Hapo umesema ndugu! make madem wamezidi kulaumu juu yetu, mi cijawai kurtongoza dem akakataa inamaana waho hao hawana mabwana? wakome kututeta siye.
  4. D

    Alaumiwe nani kati yao hawa

    Mpelekee Kanumba aitungie movie make ni tamu japokuwa haukuimalizia. Bt R alikuwa na mapenziya dhati mpaka hapo ulipofikia.
  5. D

    Nafasi ya kaz yenye mshahara mnono

    we unamatatizo au ndo mala ya kwanza kupata boon nini!!!
  6. D

    Jamani na hili je!

    Hivi ni kwa nini akina dada na mama ndo wanalalamika hasa kuhusu kusalitiwa, lakini wao hawajioni. Mi nshafanya uchunguzi utakuta boy akikutana na dem hata km hamjui anahapa kuwa atampata na kweli baada ya mda anakula na anasepa na unakuta si mmoja. J e hao wanakuwa awana mabwana au!,? Na hasa...
  7. D

    Nifanye nini ili mpenzi wangu aniamini.....

    Ana7bu huyo kuna kitu kutoka kwakokinampa wasi wasi ndo mana anahisi unamdanganya.
  8. D

    Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

    Mda wote mlikiwa wapi jamani! Big up.
  9. D

    Facebook imekuwa sumu kwa wapenzi wengi, muwe makini inavunja mahusiano ya wapendanao

    Do yani hapo umenena cz evem mi nimempiga marufuku my lover kuingia face bubu na thanx amenielewa. YAni hasa ma Do wamezidi bwana ua ndo wanajiuza kwa njia hiyo ili jamii hisiwagundue?
  10. D

    ...Love inaweza kusurvive bila cash?

    Pesa inayoongelea ni hipi hasa! ya kujikim na maisha ya kila siku au ya kipedesheee,? Mi nadhani inabidi umuzoheshe mpz mazingira yote ukiwa na nacho na husipokuwa nacho ili akuelewe .
  11. D

    Ebu saidia kwa hili

    we umeombwa ushauri ci kubwatuka tu.
  12. D

    Ebu saidia kwa hili

    Thanx much ngoja ntatest hilo. make jana ckumgusa kabisa
  13. D

    Nahitaji marafiki wa kuchat nao

    ano_banker@yahoo.com
  14. D

    Nahitaji marafiki wa kuchat nao

    UNadhani wa2 wote wanafagilia facebubu,
  15. D

    Ebu saidia kwa hili

    Nna dem wangu yapata mwaka sasa. Bt nimeshangaa tangu juzi nikisex nae baada ya bao la kwanza nguvu zinaisha kabisaa wkt ye anakuwa bado anaitaji. Analalamika eti either na mtu mwingine wkt sina. Sababu nini na sina mawazo wala nn
  16. D

    Ungekuwa wewe ungefanya nini ??????

    Ebu tafutaneni kwanza den mengine yatafuata
  17. D

    Ungekuwa wewe ungefanya nini ??????

    Hivi kama kweli unampenda kwa nini husimtafute walau umuone kwanza den mengine yatafuata. NA mlijuliana wapi?
Back
Top Bottom