Search results

  1. Kiwa

    Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

    Nasubiri kuona katuni za jamaa akitoka huko selo. Sidhani kama atatoka kipanya,anaweza kutoka kimjusi
  2. Kiwa

    Mambosasa: Kilichopelekea mwanafunzi wa UDSM akamatwe ni kusambaza uzushi mtandaoni

    Tatizo jina la hostel. Zingekuwa za mabibo wala kusingekuwa na shida.
  3. Kiwa

    Mugabe Agomea Mazungumzo Ya Kuachia Madaraka

    Mugabe kabakiza nguvu ya kukatia gogo tu. Mzee akapumzike sasa
  4. Kiwa

    Kurugenzi ya Fedha ya Acacia yasema haina kiasi cha dola milioni 300 za kuilipa Tanzania

    Hali ya mgonjwa imebadilika ghafla. Karudishwa chumba cha wagonjwa mahututi. Acacia Mungu anawaona
  5. Kiwa

    Nilichokiona kwenye simu ya mdogo wangu wa kike! So sad!

    Kusikia chuma mboga mawazo yangu yamehama,ngoja yakirudi ntatoa ushauri Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
  6. Kiwa

    Nimekuta hiki kitu kwenye sim ya mama watoto.nifanyeje?

    Kwani tamu kweli au kamsingizia?
  7. Kiwa

    Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

    Mkuu naomba uniongezamo humo, siwezi pitwa na hii kitu, ni zaidi ya movie
  8. Kiwa

    Hata yale makontena tuliyozuia bandarini tutawalipa ACACIA tu, huu ni ukweli mchungu ila ni ukweli

    Tutapata fidia yao kutoka kwenye makosa ya barabarani usihofu. Hata ukicheka tu ukiwa unaendesha faini yake 75,600/= caaash.
  9. Kiwa

    Mrisho Gambo awajibu wanauliza pesa ya rambirambi adai hayumbishwi la msingi tumewazika na wanatibiw

    Hawa wanajua kusoma na kuandika. Kuhesabu haipo kwenye vigezo vyao.
  10. Kiwa

    Baada ya kusambaratishwa Nape, Bashite hana mpinzani ndani ya CCM kuurithi Urais 2025

    Kupata vichekesho kama hivi tuma neno "KOLOMIJE " kwenda namba 15531.
  11. Kiwa

    Fatma Karume: How lack of checks and balances in CCM affects Tanzania

    Mwambie na makame mbarawa akome kufuatilia mipango ya miundombinu ya tanzania bara maana sio mambo ya muungano. Akome kabisa,atuachie wizara yetu.
  12. Kiwa

    Hili gazeti la Kenya limemdhalilisha Rais Magufuli

    Hatuna muda mchafu
  13. Kiwa

    Kumekucha: Wakili msomi Peter Kibatala na Tundu Lissu kumtetea Ney wa Mitego mahakamani

    Kwani kwenye kamusi yetu neno marinda lina maanisha nini?
  14. Kiwa

    Kurugenzi ya Habari Ikulu mwambieni Rais haya kabla ya kulaumu vyombo vya habari

    We baki na utaalamu wako wa korosho waachie wenzako na utaalamu wao wa habari. Yan kila kitu wewe ndo unajua bwanaaaa!!! Aaah ebu pita kule tusichoshane.
  15. Kiwa

    Kurugenzi ya Habari Ikulu mwambieni Rais haya kabla ya kulaumu vyombo vya habari

    Rinda la konda ndo limeleta yote haya
  16. Kiwa

    Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

    Wewe hupendi kupangiwa, leo unataka kuwapangia wenzio kwenye investments zao. Kwan ulikuwepo walivyokuwa wanafungua hizo media zao?
Back
Top Bottom