Search results

  1. Magwangala

    Angalia jinsi Kagame anavyoionesha duniani kuwa nchi yake ina watu wenye akili, elimu na uwezo mkubwa wa kufikiri kushinda waisrael

    Kama unaamini Rwanda inajitegemea bila msaada wa wazungu na hao wazungu hawana mkono kwenye mauaji ya kimbari na wako nyuma ya PK kwenye machafuko anayoendeleza nchini Kongo utakuwa una uelewa mdogo sana juu ya siasa za maziwa makuu. Kwanza huyo Kagame bila baba yake Museveni ni takataka...
  2. Magwangala

    Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

    Ndio maana umeambiwa level yako ya uelewa wa propaganda za kivita ni ndogo mno, lengo la Israel sio kushambulia vinu vya nuclear bali kutuma ujumbe kuwa vinu hivyo vinafikika iwapo ataamua kuvishambulia, vivyo hivyo lengo la Iran kutuma drones 300 lilikuwa si kushambulia bali onyo
  3. Magwangala

    TANZIA Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (KDF) Jenerali Francis Ogolla afariki katika ajali ya Helikopta ya Jeshi

    Hata chini ya hapo, mwaka 1964 Mirisho Sarakikya alipandishwa kutoka Captain hadi Brigedier na kupewa U CDF, Abdallah Twalipo mwaka 1978 alikuwa Major General
  4. Magwangala

    Tetesi: Salim Abdallah ‘Try Again’ katika jaribio la kumng’oa Mo Dewj Simba!

    Mie ninayo katiba ya Simba, nimeiona pia ya Yanga na taasisi mbalimbali ambapo wadhamini ndio wamiliki wa taasisi kwa niaba ya wanachama wao
  5. Magwangala

    Tetesi: Salim Abdallah ‘Try Again’ katika jaribio la kumng’oa Mo Dewj Simba!

    Huelewi jamaa anachozungumzia, Mwigulu ni mjumbe wa Baraza la Udhamini la Yanga ambalo kisheria ndio wamiliki wa timu kwa niaba ya wanachama hivyo Mwigulu, Mama Fatma Karume, George Mkuchika na wengine hao ndio wamiliki wa Yanga
  6. Magwangala

    Kocha wa Mamelodi amfollow Eng Hersi Said

    Hoja ni kujulikana kwa Simba ndio maana imeshiriki, timu Utopolo kwa vile haijulikani ilimtuma Mwana FA akawaombee nafasi ya kushiriki, walipokataliwa wakadai ni mashindano ya upinde. Tuone kama msimu ujao hawatashiriki mashindano ya " upinde"
  7. Magwangala

    Kocha wa Mamelodi amfollow Eng Hersi Said

    Timu ya 5 kwa ubora Afrika inaachaje kujulikana? Timu yenu ingejulikana si ingecheza AFL toleo la kwanza?
  8. Magwangala

    Kocha wa Mamelodi amfollow Eng Hersi Said

    Mangungu na Try Again wasipofahamika inafanya goli la Yanga kuwa halali?
  9. Magwangala

    CAF Confederation Cup yafutwa. Msimu ujao kutakuwa na mashindano mawili tu

    Hao watacheza Champions League, Simba na Yanga ndio watacheza AFL
  10. Magwangala

    Wydad kutoshiriki Club Bingwa msimu ujao

    Mashindano makubwa kuliko yote kuanzia msimu ujao ni AFL na Simba itashiriki hata ikishuka daraja.
  11. Magwangala

    Kwanini RC Makonda amekinzana hadharani na msimamo wa Rais Samia?

    Siamini kama ule ndio msimamo wa Rais kutoka moyoni, Makonda ni "mtoto" wa Rais hata kama hajatamka hadharani, ni vigumu sana pamoja na makandokando yote yanayojulikana wazi Rais amemrudisha enzini, haiwezekani Rais pamoja na vyombo vyake asijue rekodi nzuri ya bwana Makonda ya kutuhumu watu...
  12. Magwangala

    Klabu Yanga yafungiwa kusajili na Shirikisho la soka Duniani (FIFA)

    Barua inaeleza kuwa Yanga walikumbushwa lakini wakashupaza shingo
  13. Magwangala

    Nitawahadithia watoto wangu na wajukuu kuwa Yanga ilifika hatua ya nusu fainali baada ya kuitoa Mamelod Sundowns lakini ikafanyiwa hila

    Uko sahihi, ni mara ya pili kufika nusu fainali, mara ya kwanza walifika mwaka 1969 pale walipotoka sare na Asante Kotoko na matokeo kuamuliwa kwa kurusha shilingi, baada ys shilingi kurushwa nahodha wa Asante Kotoko aliwahi kwenda kangalia na kukimbia huku akishangilia, nahodha wa Yanga wala...
  14. Magwangala

    Baada ya kumjua kuwa kumbe Adui Mkubwa wa Simba SC ni Mwekezaji Mo Dewji nawaomba Msamaha 'Mangungu' na 'Try Again'

    Wewe ndio unachanganya Kasim Dewj na Mo haziivi, wao ndio walikuwa wanamuwekea Zengwe ili asichukue timu,yeye na kundi lao la Friends of Simba na pia Barbara (mtu wa Mo) alimnyima tenda ya jezi na kumpa Vunjabei. Labda umemchanganya na Azim
  15. Magwangala

    Simba hii inakufa kama zilivyokufa African Lyon

    Hujiulizi kwa nini GSM asiende kuwekez a Lipuli au Majimaji?
  16. Magwangala

    Benchika kocha jina, muda utaongea

    Nyie ndio mnafanya Manara aonekane mkweli kuhusu JK na baba yake, kwa hiyo wewe mechi ya CAF umeona dhidi ya Al Ahly tu? ya Wydad, Asec na Jwaneng hukutazama ndugu Mwakarobo first year class of 2024?
  17. Magwangala

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe

    Umewahi kumsoma nabii Mikaya jinsi alivyomtabiria mfalme Ahabu kifo? nenda kasome 1 Wafalme 22:2-40
Back
Top Bottom