Search results

  1. Kabaizer

    MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

    wakuu kwema polen na majukum pikipiki yangu ni boxer 125 nikiweka oil inatoa moshi mweupe oil ikiisha inatoa moshi mweusi ringpiston ziko sawa naomba ufumbuz wa tatizo hili.
  2. Kabaizer

    Computer4Sale pc samsung R439

    processor i5 @2.67GHz RAM 4GB HDD 500GB INVIDIA GRAPHICS 4GB(gaming pc) BATTERY 2HRS (ni gaming pc na ndani ina games 2 fifa na need for sepeed) pc haina tatizo ila nnashida na kodi bei 250000 cont: 0653957095 loc: DSM
  3. Kabaizer

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    igunga je?? maana pale ni karibu karibu tusaidiane jaman
  4. Kabaizer

    Simu aina ya iPhone inahitajika

    nna iphone nimeitumia mwez mmoja mpya inakilakitu chake ni 6s ukinipa 9laki nakupa na nakupeleka mpaka dukani niliponunulia.
  5. Kabaizer

    Naomba kujuzwa kuhusu hizi ajira

    Wakuu naomba kuuliza hivi zile ajira 10000 zilizotangazwa na serikali wiki iliyopita katika kada mbalimbali ikiwemo ualim wa shule za msingi na secondary,mahakama,wauguzi n.k, tunasubiri watoe post au ndio tunaenda wilayani na kuomba? taarifa zinasema wataanza kuripot mwez wa 8 sasa naomba...
  6. Kabaizer

    Msaada kuhusu PES kwny PC

    now inafunguka pes lakin haijai screen nzima inafunguka nusu
  7. Kabaizer

    Ninunue HP au dell

    kama bado hujapata nna HP 8440 i5 m520 @ 2.40 ghz hdd 500 chaji 1hr.......fixed 380
  8. Kabaizer

    Msaada kuhusu PES kwny PC

    cha ajabu zinagoma
  9. Kabaizer

    Msaada kuhusu PES kwny PC

    i5 cpu M520 @2.40ghz
  10. Kabaizer

    Msaada kuhusu PES kwny PC

    ubarikiwe pc yangu ni hp 8440 ram 4gb processor i5 na hdd 500 with intel inside fifa ipi au pes ipi naweza kucheza?
  11. Kabaizer

    Msaada kuhusu PES kwny PC

    samahan wakuu kuna vitu vinanichanganya kama vile ukisema repack,patch au cpy naomben msaada jamani
  12. Kabaizer

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Picture plz na inamuda gan tokea uitumie? 0653957095
  13. Kabaizer

    Wauza smartphone tukutane hapa

    nauza s6 edge+(64gb) gold colour....used for 1month! for 800k.....note.negotiate if ur serious buyer
  14. Kabaizer

    Mashuka mazuri ya cotton

    pea moja??
  15. Kabaizer

    Mashuka mazuri ya cotton

    65000 ipo hata sasa
  16. Kabaizer

    INAUZWA Ninauza PlayStation 4 used kwa bei nafuu

    mtu anakuambia kwa bei nafuu ukiingia unakutana na milion moja point something......achen dharau paka nyie
  17. Kabaizer

    Exchange deal s6 edge plus(64GB) gold... With iPhone 6s plus(64GB).

    Inahali Gan hiyo cm used for how long?
Back
Top Bottom