Search results

  1. A

    Mke wa mfanyabiashara maarufu Dar kortini deni la Mil. 20

    Dina Mgala, mke wa mfanyabiashara maarufu wa maduka ya kufua nguo kwa machine jijini Dar, Khalid Laundry amefikishwa katika kizimba cha Mahakama ya Mwanzo, Ilala Mtaa wa Pangani akidaiwa kuingia mitini na Shilingi Milioni 22 za mjasiriamali anayejulikana kwa jina la Zenna Kengera au maarufu Anti...
  2. A

    Shabiby yatajwa kuwa kampuni bora ya usafiri wa Mabasi nchini

    Wadau poleni kwa majukumu ya kila siku. Kwa mujibu wa utafiti wa kina, Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line ndiyo watoa huduma bora nchini. Shabiby Line yenye huduma ya usafiri kwa madaraja ya kawada hadi VVIP wamepewa Tuzo ya Watoa Huduma Bora Tanzania (kwa usafirishaji kwa njia ya mabasi) ikiwa...
  3. A

    Rafu mbaya uchaguzi CCM mkoa wa Morogoro

    Mkoa wa Morogoro ulifanya uchaguzi wake wa kumpata Mwenyekiti wa Mkoa ambapo rafu mbaya akichezewa mgombea Nasoro Duduma aliyekuwa mmoja wa wagombea. Baada ya uchaguzi huo uliyompa ushindi James Masunga, baadhi ya wajumbe walionekana kumwoneshea kidole Mbunge wa Morogoro Vijijini, Inocent...
  4. A

    Kupanda kwa bei ya mafuta nchini: Wasanii, Madaktari waiangukia Serikali na kuishauri

    Kupanda kwa bei ya mafuta nchini… WASANII, MADAKTARI ‘WAIANGUKIA’ SERIKALI, WAISHAURI JUZI, Serikali kupitia Ewura, imetangaza bei mpya ya mafuta ya Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa ambapo mbali na mikoa mingine, Mkoa wa Dar es Salaam, Lita 1 ya Petroli imekuwa Shilingi 3,400 (ongezeko la...
  5. A

    Tenda ya kuingiza mafuta nchini yadaiwa kutolewa kwa 'uswahiba', mmiliki wa Super Markets za TSN atajwa

    Wadau habari zenu? Poleni na majukumu ya siku. Zipo habari kwamba, tenda ya kuingiza mafuta nchini ambayo wamepewa baadhi ya wafanyabiashara wachache nchini ambao wana uswahiba na kigogo wa wizara hiyo. Kwa mujibu wa mtoa habari mmoja wa ndani ya wizara hiyo, kigogo huyo amewapa tenda...
  6. A

    Mchungaji TAG amshauri Rais Samia, amuunga mkono Mbunge Shabiby

    Mchungaji wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Mbagala-Dar, Arist Bukombe amesema endapo serikali chini ya Rais Samia itaruhusu mfanyabiashara yeyote mwenye uwezo wa kuagiza mafuta toka nje, afanye hivyo itapunguza bei ya bidhaa hiyo ambayo kwa sasa imefikia Tsh. 3000 kwa Lita...
  7. A

    Wolper 'amsapraiz' baba mtoto wake kwa dhahabu ya Tsh. Milioni 25! Leo Birthday ya Rich Mitindo

    Nyota wa Sinema za Bongo, mjasiriamali na mwanamitindo anayepanda kwa kasi nchini, Jacqueline Wolper 'amevunja kibubu' kwa kumnunulia baba wa mtoto wake, Richi Mitindo zawadi ya cheni mbili, pete moja, vyote vya madini ya dhahabu (gold) kwa thamani ya Shilingi Milioni 25 ikiwa ni 'sapraizi'...
  8. A

    Sintofahamu KKKT siyo Kanisani tu, Benki ya Maendeleo nako kuna mambo

    Wadau salamu. Hivi karibuni Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania (KKKT) limekumbwa na migogoro ya kiuongozi na waumini wao, hususan Dayosisi ya Konde, lakini ukweli ni kwamba, hata Benki ya Maendeleo ambayo inatajwa kuwa mmiliki wake ni KKKT pia ina sintofahamu Kifupi, hii benki, imefungua...
  9. A

    Sakata la bei ya mafuta kupanda. Serikali imekosa washauri sahihi

    Wadau, tayari Serikali kupitia Latra imetangaza bei mpya ya nauli nchini ikipanda kwa asilimia karibia 20-22 tukio linalokwenda sambamba na ongezeko la bei ya mafuta iliyotangazwa na Ewura. Kupanda kwa bei ya mafuta kunatajwa kuwa chanzo kikuu ni kushuka kwa uchumi wa dunia uliyosababishwa na...
  10. A

    Balile wa Gazeti la Jamhuri tuhuma hizi ni zako, jikague ndugu!

    Wadau salama? Hoja yangu iko juu ya mhariri mkuu wa Gazeti la Jamhuri, ndugu Deodatus Balile. Yapo madai kwamba, wewe ndugu mhariri huwa unaandika habari kulingana na maslahi yako binafsi, isiyo na maslahi huandiki. Madai yapo. Amini madai yapo siyo kwamba unachafuliwa. Kuna madai kwamba, hoja...
  11. A

    Ishu ya mafuta; baadhi ya wabunge wana hoja nyepesi sana! Sisi Watanzania siyo wajinga!

    Wadau poleni kwa kazi. Nijikite kwenye mada yangu kuhusu matamko ya baadhi ya wawakilishi wetu bungeni (narudia tena ni baadhi). Hivi karibuni, Mbunge wa Gairo, mheshimiwa Ahmed Shabiby alitoa hoja kuntu kabisa kwamba, ili kupunguza kupanda mara kwa mara kwa bei ya mafuta nchini, muarobaini...
  12. A

    Riwaya: Mpelelezi toka kuzimu

    MPELELEZI TOKA KUZIMU UTANGULIZI Poaba Wilabo, ni mfanyakazi kwenye taasisi nyeti ya upelelezi nchini inayoitwa Self Investigation Unit au kwa kifupi SIU akiwa ni shushu anayetegemewa sana. Taasisi hii ni ya binafsi na imekuwa ikitumiwa na Jeshi la Askari nchini kuchunguza matukio...
  13. A

    Tamasha kubwa la Wavuvi laja

    Tamasha kubwa litakalojulikana kwa jina la Wavuvi Festival &Culture Tourism Tanzania liko njiani kufanyika kwa siku mfululizo jijini Dar es Salaam likiwa ni la kwanza katika historia ya nchi. Kwa mujibu wa mratibu wa tamasha hilo, Alphone Mkama, Wavuvi Festival litafanyika kwenye Ufukwe wa Coco...
  14. A

    Kampuni ya Afromark inavyowawazungusha malipo warembo

    Salaam wakuu. Hii kampuni ni kubwa, inaitwa Afromark Communication (T) Ltd. Miongoni mwa shughuli zake ni kusimamia mauzo ya vinywaji, zikiwemo bia kwenye baa mbalimbali. Shughuli yao hii huifanya na warembo ambao huvaa sare. Lakini wapo warembo wanaidai hii kampuni toka mwaka jana, Desemba...
  15. A

    Mkurugenzi wa Grace Products atwaa tuzo ya Super Woman kutoka Wasafi Media

    Mkurugenzi wa Kampuni ya Grace Products, Dk. Elizabeth Nyamizi Kilili, jana Jumanne, Machi 8, 2022 alitwaa tuzo ya Super Women katika hafla kubwa iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam. Dk. Elizabeth ametwaa tuzo hiyo iliyotolewa na waandaaji, Wasafi Media katika Siku ya...
  16. A

    'Uhuni' unaofanywa na Mawakala wa Kampuni za Bia unashangaza

    Wadau, salaam Kuna Mawakala wa kutangaza (promotion) bia za kampuni za bia nchini kama Tanzania Breweries Ltd na Serengeti Breweries. Yaani iko hivi, hawa Mawakala wao kazi yao ni kutafuta wasichana warembo na kwenda nao kwenye baa kubwa ambapo huwapa bia ili wazitembeze kwa wateja wa baa...
  17. A

    Rich Mitindo ataja mambo matano aliyopatia kumzalisha Wolper, mtoto wao amiliki bodaboda tatu

    Mfanyabiashara Rich Mitindo ambaye anajulikana kuwa, ndiye baba wa mtoto Paschal 'P' aliyezaa na msanii nyota wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper Masawe, anatajwa kuwa, mbali na kumzalisha nyota huyo, pia amembadilisha tabia. Kauli kutoka kwenye kinywa cha msanii nguli wa kiume, amesema...
  18. A

    Mahojiano maalum na mkurugenzi wa Zoa Zoa, Dkt. Elizabeth

    MAHOJIANO MAALUM NA MKURUGENZI WA ZOA ZOA, DK. ELIZABETH Mwishoni mwa wiki, wana habari walifanya mazungumzo ya dakika arobaini na tano (45) na Mkurugenzi Mtendaji wa Grace Product Limited, watoaji wa bidhaa za Zoa Zoa, Dk. Elizabeth Kilili. Katika mahojiano hayo yaliyolenga kujua ukuaji wa...
  19. A

    Grace Products (Zoa Zoa) yaja na Dawa ya Meno

    Grace Products (Zoa Zoa) yaja na Dawa ya Meno Ile kampuni maarufu Bongo kwa utengenezaji wa bidhaa mbalimbali za vipodozi, maarufu kwa jina la Zoa Zoa imepiga hatua nyingine mbele kwa kutoa dawa ya Meno iitwayo Zoa Zoa ya Meno. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam...
  20. A

    Mabasi ya mikoani yaigomea Serikali kuingia Stendi ya Magufuli

    Wadau, habari za Jumapili? Kuna ugomvi wa mara kwa mara au kila siku, kati ya abiria na wahusika wa baadhi ya mabasi kutoka mikoani kuja Dar kuhusu mabasi hayo kugoma kuingia Stendi Kuu ya Magufuli, Mbezi. Nimewahi kusikia mara kadhaa, lakini jana Tarehe 27/11/2021 nimeshuhudia mwenyewe abiria...
Back
Top Bottom