Search results

  1. N

    Ushauri kwa Serikali, wakristo juu ya nabii Tito

    WAKLISTO ni akina nani hao?au ulimaanisha Wakristo?
  2. N

    Kesi ya Mary Kay LeTourneau: Mwalimu aliyembaka mwanafunzi wake wa miaka 13 na kuzaa naye…!

    Mtambuzi, asante kwa habari zako za kila ijumaa.Hii ya leo imenipa kufikiria kidogo kuhusu sheria hizi za kujamiiana.Ingawa sizijui kabisa lakini napata kuzihisi kila ninaposoma habari zake na huwa napata maswali mengi ajabu halafu sijui wa kumuuliza.Kwa mfano huyu mtoto alionesha ushirikiano...
  3. N

    Suala la kuwa na imani tofauti linapotatiza taasisi ya ndoa

    nafikiri babake ni mdini ndio mana akaoa mkristo kwa sababu ninavyojua waislamu wanaruhusiwa kuoa wanawake wa vitabu
  4. N

    Kuuawa kwa mwanae Ennis – Ulikuwa ni mwaka wa mikosi wa mwigizaji Bill Cosby

    same here, nafurahi siko peke yangu.Thanks Mtambuzi.
  5. N

    Kisa cha Nelson Chisale na Simba wa Mokwalo…!

    na mie nasema Hongea sana
  6. N

    Utando Mweupe Wakati wa Kujamiiana....(Ishara ya Uaminifu ndani ya mahusiano)

    kaka Zubeda, kwa kweli hoja yako sio kweli kabisa, huo utando unaousema ni uchafu kwa maana kwamba huyo wifi yetu hajajua kujisafisha bado, nakushauri umwambie akamuulize shangazi yake au bibi yake namna mwanamke anavyotakiwa kujisafisha.
  7. N

    "CRAZY Things We Do For Love"...

    Ashadii, natamani ningekuwa kama wewe kwamba ukishafanya hujutii, kusema ukweli mie kuna kitu nilikifanya yani najuuuutaa, kila nikikumbuka natamani siku zingekuwa zinarudi nikarekebisha ile hali, mana hata siamini ilikuwaje nikaruhusu hali kama hiyo itokee yani natamani kujitia makwenzi kama...
  8. N

    mtafaruku kati ya mila na desturi.

    Mkuu, nafikiri sio swala la nyege ila huyo ndiye mumewe wa ndoa
  9. N

    mtafaruku kati ya mila na desturi.

    Habarini za leo wana MMU Jana nikiwa nimepumzika baada ya siku ndefu nilipata simu toka kwa shogangu(ameolewa na mzungu) ambaye tunatofautiana masaa matatu toka anapokaa yeye na mie.Wao wakiwa mbele masaa matatu.Shogangu huyu alinipigia simu saa nne usiku ikiwa na maana kwao ilikuwa ni saaa saba...
  10. N

    Tanzania refuses to sign -then signs-proposal for EAC political federation

    What were you waiting for:yawn: not to agree with Museven until now?
  11. N

    Nimechoka kudanganywa na vijana natafuta jibaba

    sasa wewe mpemba asilia, huo ni ushauri au masimango?
  12. N

    Haya ni mapenzi au huruma?

    Unajua for sure siwaelewi nyie watu nisimnyime nini ambacho nilikieleza kwenye shida yangu hapo mwanzo?
  13. N

    Haya ni mapenzi au huruma?

    kha!we Sgaga nikupe nini ambacho nimeahidi!
  14. N

    Haya ni mapenzi au huruma?

    Bosi Michembe your wish is granted
  15. N

    Haya ni mapenzi au huruma?

    Asante mpendwa, na kadegree kenyewe sio ka kwanza ni ka pili na mkaka anapiga ka tatu
  16. N

    Haya ni mapenzi au huruma?

    Namwogopa kuliko unavyofikiria ndio mana najisikia huruma kwa kiumbe wake huyo
  17. N

    Haya ni mapenzi au huruma?

    hata sijui ndugu yangu mana ningekuwa najua ningejifanyia sherehe japo niende MCDonald ninunue burger
  18. N

    Haya ni mapenzi au huruma?

    kama umesoma na kuelewa vizuri utata niliona dadako ni kwamba sijakijua kilicho moyoni mwangu ni huruma au ni mapenzi hilo ni moja mbili, mbona umekimbilia uzinzi? ina maana kumpenda mtu ni uzinzi? au mie ndio sijui maana ya uzinzi! mwisho, nitajuaje kama kaka huyu yupo au hayupo serious na mie
  19. N

    Haya ni mapenzi au huruma?

    Hodi humu ndani mie sio mwenyeji sana, ni mgeni kiasi Nimekuja na shida yangu tafadhali naomba msaada wenu Mie ni dada wa makamo, niko nje ya nchi kwa masomo.Tangu nifike hapa nimekuwa mtu wa kujiepusha sana na mambo ya mapenzi na kujitahidi kujikita zaidi kwenye masomo nisije nikakosa degree...
Back
Top Bottom