Search results

  1. R

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    Suala la msongamano wa magari Dar es salaam lishughulikiwe harka iwezekanavyo kwa vitendo.
  2. R

    Hivi Luhanjo,Jairo, Ngereja na Malima Wanasubiri nini kujiuzuru?

    Kama system ingekuwa inafanya kazi sawasawa, polisi wangetakiwa kuwakamata na kuwafungulia mashtaka! Maana ushahidi wa kutosha upo, tena wakutolewa na taasisi ya kuaminika(bunge).
  3. R

    Rushwa iondolewe, maendeleo yatapatikana.

    Jamani watanzania kama kweli tunataka maendeleo na kufaidi utajiri wa nchi yetu kwa kila mmoja wetu. Tunapaswa kuacha kutoa na kupokea rushwa.
Back
Top Bottom