Search results

  1. Mgongo wa paka

    prof lipumba amgaragaza bernad membe

    Bakari Nzimano 16 hrs MATOKEO YA KURA YA MAONI ZILIZOPIGWA HAPA HAPA BARAZA VIJANA CUF GROUP KATI YA BENARD MEMBE NA PROF IBRAHIM LIPUMBA. KURA ZILIZOPIGWA NI 294 KURA ZILIZO HALIBIKA NI 19 KURA HALALI NI 275Bakari Nzimano's photo. Bakari Nzimano's photo. Unlike · Comment · Share...
  2. Mgongo wa paka

    Kwanini Meli nyingi zina sajiliwa Panama kuliko Marekani na China kwa pamoja?

    The Panama Canal features prominently in Panamanian life Panama, a small nation of just three million, has the largest shipping fleet in the world, greater than those of the US and China combined. Aliyya Swaby investigates how this tiny Central American country came to rule the waves. Thanks to...
  3. Mgongo wa paka

    Ifahamu Paypal

    Leo tunazungumzia mtandao maarufu wa kutuma pesa. kupokea pesa mtandaoni, na unaokuwezesha kuwa kufanya biashara za kieletroki kupitia mitandao yakijamii. hapa napenda uelimike zaidi ina wezekana hukuwahi sikia ama uliwahi sikia neno pay pal.Tambua jinsi paypal inavyo fanya kazi, kama mawazo...
  4. Mgongo wa paka

    chadema msiwahadae watanzania juu kifo cha daudi na wengine

    chadema mipango yenu ya makusudi na mnyayo iita ya kimkakati ikiwamo na mipango ya siri, kwa kushirikiana na baadhi ya maaskari polisi ili kufanikisha maslahi yakisiasa kama tuonavyo sasa, chadema wanajitia kutofaham lolote na kuliangushia lawama tele jeshi la polisi kwa ujumla pamoja na...
  5. Mgongo wa paka

    Gari la mbowe bado laleta mjadala facebook

    ukifungua link hiyo chini utaona wachangiaji wanavyo funguka wakisema live mbowe ni dhaifu ameshindwa kusimamia pale alipo simama ni kinyonga na ndumila kuwili ane badilika hawa wanasiasa waina hii ni hatari sana hii ni kwa mujibu wa mchangiaji kwenye fb
  6. Mgongo wa paka

    CUF yaanza ujenzi wa ofisi yake ya wilaya ya Kinondoni

    cuf imeanza ujenzi wa ofisi ya wilaya ya kinondoni katika kata ya makumbusho barabara ya mwinjuma. Ofisi inajengwa kwa mchango wa matawi yake. Hii imekuwa nitofauti na vyama vinavyo milikiwa na mafisadi kwani wao fisadi moja hujitolea kujenga ofisi.
  7. Mgongo wa paka

    Bvc,kundi la vijana cuf kwenye fb waipongeza clouds fm

    Bvc au baraza la vijana cuf(vuguvuvugu la vijana) limepokipongeza kituo cha redio clouds fm kwa kujali kauli zitolewazo na wabunge wa wakiwa katika mijadala ya bunge.jana clouds fm imeripoti habari za mbunge wa cuf bi magdalena sakaya katika kipindi chake cha kumi kali .nakuipa nafasi ya...
  8. Mgongo wa paka

    Taha Taslima (CUF) aongoza kuungwa mkono na wabunge wa CCM

    uchaguzi wa kuchagua wabunge wa afrika mashariki uliofanyika jana tarehe 18/04/2012 bungeni dodoma, umeonesha mengi. Kubwa ni hili la mgombea wa cuf kushinda ushindi wa kishindo. Akiungwa mkono na karibu nusu ya wa bunge wote wa ccm. Taha Taslima uliiwapa nini wabunge wa ccm.huku prof...
  9. Mgongo wa paka

    Ujio mpya wa cuf

    ujio mpya wa cuf baada ya kujigambua. Umekuwa gumzo kila kona mwa jiji la dar es salaam wengi wakisifu. Nawengine kuponda basi yote kwa yote ni gumzo mtaani sijui vilomo wahumu especialy wale wenye hasira na cuf sijui watapasuka. Nakesho kwa mapokezi ya lipumba sijui vilimilimi watatokwa roho
  10. Mgongo wa paka

    vuguvugu la vijana wa CUF (BVC/VVC) lajadili Muungano serikali tatu

    Kundi vijana wa cuf maarufu kwa vuguvugu la vijana wa cuf(BVC).linalofanya harakati zake kwenye mtandao wa facebook.sio jumuiya ya vijana cuf(juvicuf) limekuwa likiendelea ama endesha mjadala wa muuungano wa serikali tatu.habari zaidi kwenye fb ktk group hilo la baraza la vijana...
  11. Mgongo wa paka

    Watanzania wekeni uzalendo mbele tarehe 11/03/2011 mkampokee Prof Lipumba

    watanzania mnahimizwa na kuombwa kwenda kumpokea profesa ibrahimu lipumba alieiwakilisha vyema tanzania.katika maswala ya uchumi wakidunia akiongoza zaidi ya maprofesa 100 nitunu ya watanzania
  12. Mgongo wa paka

    Juma duni haji wa cuf aunguruma viwanja vya mwembe yanga temeke

    Waziri wa afya wa zanzinzibar mh juma duni haji leo hi saa kumi jioni ana unguruma viwanja vya mwembe yanga. Akiongoza wanachama wa cuf na wananchi wa temeke ambao kwakawaida ni wa fuasi nguli wa cuf. Vijana wa kiume na wakike na akina mama na akina baba tayari wamefurika uwanjani.
  13. Mgongo wa paka

    Nyumba zinauzwa, vyumba vinapatika makumbusho dsm

    KWA MNAO HITAJI KUNUNUA NYUMBA ZINAPATIKA UTARATIBU UNAZINGATIWA. PIA WANAOHITAJI VYUMBA AMA NYUMBA ZA KUPANGA VINAPATIKANA, MAENEO YA MAKUMBUSHO, KIJITONYAMA,TANDALE,MAGOMENI MWANANYAMA NA KINONDONI. JUST CALL ME 0745537580 AU . In GOD I TRUST. WELCOME TO MOLD OUR SOCIETY TO HAVE REAL PLACE TO...
  14. Mgongo wa paka

    Pato la mtanzania mmoja mmoja la ongezeka baada ya miaka 50 ya uhuru

    Kwa mujibu wa waziri lukuvi alipoongea ktk moja ya sherehe zina zokaribisha sherehe kuu ya kutimiza miaka 50 ya uhuru. Anasema wakati tukipata uhuru mtanzania alipata shilingi 770 kwa mwaka huyo mtanzania wa chini. Leo mtanzania anapata anapata shilingi laki saba na sabini elfu. Kwa kujiamini na...
Back
Top Bottom