Search results

  1. Verifier

    Mtu asiye Mbunge anaweza kuadhibiwa na Kamati ya Maadili ya Bunge?

    Naomba kuuliza! Mh. Spika anapomuita mtu kwenye ile kamati yake "Maadili na Hadhi Bunge", huwa ni adhabu gani inaweza tolewa kwa mtu ambaye siye mbunge?
  2. Verifier

    Tunakwama wapi?

    Kuna kijana mmoja, anatoka ktk familia maskini sana, baba alifariki kitambo hivyo yeye na wadogo zake wanne kulelewa na mama tu ambaye alikuwa akitwanga kokoto ili kujikimu. Huyu kijana kasaidiwa na wasamaria wema hadi kafanikiwa kumaliza kidato cha sita. Mwaka jana aliomba mkopo bodi ya Mikopo...
  3. Verifier

    Nazitafuta mada za Magoya2000

    Nazitafuta mada za Magoya2000
  4. Verifier

    Happy Birthday

    Hongera ndugu yangu kwa kumbukizi ya siku yako ya kuzaliwa! Mungu afanikishe ndoto zako na zaidi akujalie afya nzuri na maisha marefu yenye furaha na mafanikio! Furahia siku yako! Naikumbuka vema hadithi ya maisha yako ndugu yangu kwa hakika umepitia mengi. Historia ya maisha yako ilianzia...
  5. Verifier

    Huyu Anamaanisha nini?

    Wiki mbili zilizopita nilifahamiana na binti mmoja katika mtandao wa kijamii, hatujaonana bado na wala hatujawa wapenzi! Tumeendelea kuwasiliana vizuri lakini toka Jumatatu sikumsikia. Asubuhi hii namuuliza mbona yupo kimya? Kanijibu "NIMEISHIWA NA KODI"! Nikamuliza kodi ndio inakufanya uwe...
  6. Verifier

    Yuko njiapanda

    Habari za asubuhi wapendwa! Bila shaka mu buheri wa afya mkiwajibika kujitafutia mkate wa siku. Kisa hiki kimemtokea ndugu yangu, ila nitakiandika kama kimenitokea mimi. Nipo kwenye mahusiano na mrembo mmoja huu ni mwaka wa pili. Mahusiano yetu kwa muda huu wote ni mazuri, tunapendana na...
  7. Verifier

    Je, Watanzania hatuna jadi ya ukarabati na usafi?

    Bila shaka mmeamka salama na mko tayari kwa ujenzi wa taifa letu! Moja ya vitu ninavyovifurahia ni kusafiri sehemu mbalimbali kunakonifanya kuweza kuona vitu tofauti, kuona mila na desturi tofauti na pia kukutana na watu tofauti wenye mitizamo na fikra tofauti. Kutembea huko kunaniwezesha kujua...
  8. Verifier

    Tanzania Safari Channel inasikitisha!

    Kama sikosei hii channel ilianzishwa kwa juhudi za Waziri Mkuu ili kukuza utalii lakini ni ya hovyo isiyo na weredi wa aina yoyote. Jana nilikuwa naitazama haina mvuto kwani muda mwingi unapotezwa katika matukio yasiyo na tija wala mvuto. Ingependeza kama wizara ingetafuta watu wenye ujuzi na...
Back
Top Bottom