Search results

  1. Verifier

    Uzi wa kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu

    Bwana Deceiver, uko wapi? Tukumbushane mambo ya Msange
  2. Verifier

    Nafikiria kumpiga chini huyu Mwanamke, hajui kuishi kwa bajeti

    Ul Ulirithi kwa nani tabia yako ya uchoyo?
  3. Verifier

    Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

    Mr. Analyse, hii hadith imeisha?
  4. Verifier

    Sintosahau nilivyoachwa park station

    Vipi Dada yako?
  5. Verifier

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nyambiri Kwetu
  6. Verifier

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Jambo humu! Nakumbuka miaka hiyo, nikiwa katika jiji la A. Makala. Katika eneo nililokuwa naishi, jirani yangu kulikuwa na binti mlimbwende sana. Nilimtamani kwa muda lakini bahati sikuwa na mazoea naye kivile. Siku ya siku, mida ya saa moja jioni, nikiwa katika pub jirani napata windhoek zangu...
  7. Verifier

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Uandishi wako unatisha!
  8. Verifier

    Yaliyonikuta na Basi la Kilimanjaro Express

    Tahmeed ndio basi zuri, siti unajiachia utadhani uko kwako!
  9. Verifier

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mbona hadithi yako haieleweki?
  10. Verifier

    Yaliyonikuta na Basi la Kilimanjaro Express

    BM nao hivyo hivyo.....Nilipanda Luxury yao, nilitaabika mno. Nilishindwa nyoosha miguu kwani siti zimebanana mno. Bahati mbaya siti ya mbele yangu ilikuwa haiwezi kuwa adjusted hivyo ikawa inanibana kishenzi!
  11. Verifier

    Umewahi fanya mapenzi na mtu ambaye hukumdhania?

    Nakumbuka kuna mfanyakazi mwenzangu aliinitaa sehemu ( ni mmama na alikuwa kanizidi san umri). Bila hiyana nilienda. Nilimkuta akiwa na mfanyakazi mwingine wa idara moja, huyu alikuwa mke wa mtu. Tulikunywa zetu hadi mida ya saa mbili usiku hivi. Basi yule Mmama akaniita pembeni akaniambia, hebu...
  12. Verifier

    Mapumziko ya Mwili na Akili, Lushoto

    Irente View ndio hotel ya hali ya juu kwa Lushoto japo gharama zake ziko juu na haziendani na uhalisia wake.
  13. Verifier

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    "Nimetoka job night mida ya sa tano............Nikafunga goli mbili za Mbappe mida ya saa Nne nikamwitia Bolt aksepa"!
  14. Verifier

    Hatimaye nipo huru

    Asante sana ka simulizi nzuri sana!
  15. Verifier

    Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

    Juzi kati, kuna rafiki yangu, alitoka kwao kusalimia na alikuwa kalewa chakari. Baada ya kufika mjini mida ya saa mbili usiku alinitafuta na nikamuelekeza nilipo. Baada ya kufika aliendelea kunywa na baada ya muda mfupi alienda chooni kujisaidia. Huko chooni alivua koti na kulitundika ukutani...
  16. Verifier

    Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Vipi, wewe unaendeleaje? Simulizi yako ni moja kati ya simulizi maridadi nilizozifuatilia! Kongole kwako! Hamida anaendeleaje?
  17. Verifier

    Iko hivi kuhusu James Mbatia na NCCR-Mageuzi!

    Acha uongo wako! Toka lini NCCR ikawa na nguvu?
Back
Top Bottom