Tena bora fisadi tuliomzoea kuliko Fisadi mpya, we huoni ITV wamewashitukia CDM, ITV walikuwa watetezi wakubwa na CDM katika coverage zao ila inaonekana Dr. Mengi, kashitukia anaingia KING.
Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa CHADEMA alisema ARUMERU huku akimpigia debe mgombea wa chama chake kuwa mbunge 1 wa CDM ni sawa na wabunge 30 wa CCM , watu wengi hasa washabiki wa CDM wameanza kuitumia kauli hii bila kujua alitoa wapi vipimo hivyo hili limenisikitisha sana.
Kiufupi...
Ubungo gani unaishi mwenzangu maana ubungo kubwa! kazi gani mnyika anafanya sisi ndio tupo kwenye jimbo hatuoni chochote ila tunamuona kwenye kukiimarishs chama, kuwa mkweli ndugu yangu HALI SIO NZURI ubungo. nimewaambia nionesheni kafanya nini na ushahidi tuone, anawaambia wananchi tuandamane...
Nasikitika sana vijana wa CDM kujibu kwa hasira post ambayo haiwahusu, huu ni ushauri kwa CCM. vijana hao hawajui hata sera maana yake nini, CCM ingawa sio chama changu inajivunia watu wazima na wakina mama ambao ni nguzo imara na makini, hawarukupuki kufanya maamuzi wanachambua na kufanya...
Wana UBUNGO hatumtaki mnyika na tumeshafafanua kero zetu zote, kwanza hatujui kama anaishi dar na tunamuona kwenye TV tu, nitawaunga mkono hao watu na ikibidi uchaguzi uitishwe mara moja, UBUNGO tupo kama mayatima hatujui nani mbunge wetu, anasubiri magufuli aje afungue kituo cha daladala ndo...
Declaration of Conflict of Interest: Mimi sio mwanachama wa CCM na nilimpigia kura Peter kuga Mzirai 2010
Ninawaomba sana viongozi wa CCM na wa kiserikali mfanyie kazi hili wazo langu, kuna kila dalili ya kutokuaminiana imezuka CDM na huu ni wakati wa kukipeleka kaburini chama hiki, nawaomba...
Hujawa na taarifa bado,sio busara kupost jambo usio na uhakika nalo! ILA
Ninasuspect watakuwa CDM hao ila sina ushahidi ninashuku tu! nawaomba polisi waanze na hiki chama maana kinatupa shida sana mitaani.
Hali si nzuri hata kidogo UBUNGO, mbunge wangu Mh. Mnyika keshapoteza dira ingawa siipendi CDM ila nilimchangua yeye na anabakia kuwa muwakilishi wa jimbo langu, Hatumtaki hata kumsikia huku jimboni kwa sasa na ninakuhakikishia asijaribu kugombea 2015, ameimarisha chama akabomoa jimbo lake...
Zitto ni smart politician, hachafuliwi kwa gharama ndogo hata kidogo, yuko makini na hata crituque zake kwa serikali zina ushahidi wa kutosha, wanaomchukia Zitto ni sababu binafsi na si vinginevyo.
hamtafanikiwa
Namuunga mkono Peter kuga mzirai uraisi 2010.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.