Search results

  1. N

    Maandamano makubwa kupinga ujio wa Dk Slaa Kigoma Mjini

    hayo maandamano yanaonekana ni ya kukodi waangalie tu hao waandamanaji walivyo utapata jibu.
  2. N

    Tuwe wakweli, tatizo la nchi hii ni Mawaziri au Rais wa nchi?

    serikali nzima ni mzigo kuanzia Raisi na wengine wote.
  3. N

    SADC vs EAC

    twende zetu SADC
  4. N

    Muhimbili: Mwandishi ajifanya mgonjwa, nusura apasuliwe tumbo

    madakitari kama wanganga wa kienyeji waende zao huko wanaendekeza rushwa tuu kila kitu kanunue pale. Acheni kucheza za maisha ya watu.
  5. N

    Kwanini Zitto anashambuliwa kwa kufuatilia matumizi ya fedha za umma?

    vyama vikaguliwe tu maana ruzuku ni fedha za walipa kodi hivyo naunga mkono wakaguliwe
  6. N

    Mh. Lema aandika historia mpya

    kila lakheri ndugu Lema
  7. N

    Kweli kamanda Mandago anastahili kuwa mbunge

    kila lakheri kamanda kaza boot mpaka kieleweke
  8. N

    Ahadi nyingine za wanasiasa ni changamoto kwelikweli! Embu ichekini hii

    jimbo kama hilo ni la kuweka kwenye target ili 2015 lichukuliwe na mwakilishi wa maana.
  9. N

    Lwakatare kwenda Arusha Kumalizia Kampein ili kumuumbua Mwigulu?

    Kweli kabisa kamanda yupo gado siyo mbaya akienda kuongeza nguvu maana chemba limefuka vyakutosha.
  10. N

    Je, Zanzibar ni koloni la Tanganyika?

    hapana zanzibar sio koloni la tanganyika.
  11. N

    Mayage S. Mayage amfundisha siasa Zitto Kabwe.

    Ni ushauli mzuli kwa zzk
  12. N

    Zitto: Sitagombea ubunge 2015, Nitagombea Urais kupitia CHADEMA...

    hayo ni maoni yake mwache aseme.
  13. N

    Nafasi za kazi mpya

    poaaaaaaaaaaaaaaa
  14. N

    CUF Arusha ngoma nzito, operation V4M yakwama

    weka picha mkuu pia asante kwa taarifa
  15. N

    Kipengele cha 'DINI' ktk vitambulisho vya taifa

    ponda kahesabiwa sensa halafu wengine kawadanganya wagome nimeamini kweli wajinga ndo waliwao.
  16. N

    Kwanini CHADEMA na wafuasi wake wanakuwa kitu kimoja na serikali kwenye suala la sensa?

    actuary the freedom is coming tomorrow. stay tuned
  17. N

    Malipo ya makarani wa sensa yapo hivi.

    waliogoma naona walipata kwa halali ila waliopata kwa magumashi kama kutoa rushwa ndo waliochukua.
  18. N

    Wamalawi washitukia Tanzania na maandalizi ya vita!!

    tuilinde mipaka yetu kwa gharama yoyote
  19. N

    Warioba: CCM ijiandae kuwa chama cha Upinzani

    kitakuwa chama cha upinzani lakini legelege maana atabaki nape peke yake
  20. N

    Nafasi za Kazi - Wanahitajika haraka

    haya!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Back
Top Bottom