Search results

  1. S

    Majambazi Yateka Magari kadhaa; wakwapua Sadaka toka Kwa Padri - Utimule!

    Poleni Mapadre lkn hawatafika mbali lzm warudishe sadaka zetu
  2. S

    Haya tena watu weusi kwa kuiga? Wanajifanya wachina kula chura kazi ipo

    Hizi kampeni za malaria hakuzielewa kbs na hakufundishwa vizuri
  3. S

    Wakuu wa Wilaya hawa hapa!

    Yuko kapelekwa wilaya ya Bahi
  4. S

    M aandamano makubwa yaandaliwa kumpokea mbunge cecilia palesso wa chadema

    tuko pamoja kwa sana na tunahitaji wengine kama wao wengi
  5. S

    Kabila la "WAIRAQ" kutoka "ARUSHA"

    na wewe ni kabila gani wacha ujinga wa kutokufikiri ww
  6. S

    Ukweli kuhusu CHADEMA Iringa na uongo wa TUNTEMEKE

    UWAZI,UMAKINI,NI JAMBO ZURI KWA VIONGOZI WETU TUNAKUSHUKURU KATIBU KWA UFAFANUZI MZURI NA UMAKINI WA KUJIBU HOJA KWA WAKATI UNAOTAKIWA BIG UP KUBWA CHADEMA NGUVU YA UMMA Thanks
  7. S

    Tamko la Serikali

    Opps pole
  8. S

    Tamko la Serikali

    Wadau tunaomba mwongozo kuhusu Kauli ya serikali kuhusu uwajibikaji wa mawaziri kujihuzulu je Pinda keshatoa mwongozo
  9. S

    Bungeni leo: Martha Mlata; Kanumba alitakiwa awe na Bodigadi na hakustaili kuishi Sinza

    viti maalumu magamba kweli hili nalo zuzu kanumba anakampuni kwa nini hakuajiri mabody guard wake km alikuwa anahitaji hilo,kwa hiyo tutumie hela za walipa kodi kuwalipia wasanii mabody guard siyo hana point kabisa na je watu wa sinza hawahitaji usalama kweli mazuzu wako wengi lkn eti sisi...
  10. S

    Sakata la malipo ya korosho sehemu ya pili, Tandahimba kimenuka..!

    Nakumbuka Jana waziri mkuu aliulizwa pesa za Korosho akawa anajibu kama hazijui na kila kitu kiko kwenye mchakato sasa Tanda himba poleni fedha ziko kwenye mchakato sasa amua mwenyewe chukua hatu CCM HOYEEEEEEEEE
  11. S

    Tbc1 wakata matangazo bungeni, wanarusha mazishi ya kanumba live

    Haya ni mambo ya kushangaza sana lkn TBC nimewazoea sana si chombo cha umma kabisa ni chombo cha Tabaka fulani watueleze TV hiyo ya umma imeingiza kiasi gani cha hela kwenye urushaji wa matangazo ya mazishi haya na je kunaumuhimu gani wa kurusha matangazo haya mchakato wa uchaguzi na mambo...
  12. S

    Mbona simuelewi Mwenyekiti Mbowe?

    Unapowasilisha hoja jaribu kuitafakari kabla hujaiwasilisha je hao wafanyakazi hawajui CMA iko wapi mbona hatujasikia wamegomea mishahara
  13. S

    Ofisi ya bunge yapokea rasmi Nyumba mpya ya Spika

    Sio tu nchi maskini ni nchi ya wajinga walio wengi + maskini wa kufikiri hv tangia 1961 mpaka leo spika alikuwa nakaa wapi na hii nyumba ni kwa ajili ya akiwa kikao kwa vikao vingi vya kamati vinafanyika Dar na huko ajengewe nyumba tena kidumu chama cha magamba
  14. S

    Nape na Tendwa wanena kuhusu Kafulila

    Posho hizo wadau inaonekana jamaa hakujipanga wakati ana deliver hoja yake sasa akavue samaki ziwa Tanganyika na akivua samaki wadogo tutamchukulia sheria mjengoni Bye Bye
  15. S

    Nape na Tendwa wanena kuhusu Kafulila

    Aeleze ni kwa sheria ipi anakuwa Mbunge halali
  16. S

    Mh. Beatrice Shelukindo aeleza ukweli kuhusu posho

    Kuna dalili za kiushabiki na kuteteana kwenye Bunge letu Mh Shekilindo anaongea tofauti na wengine ,katibu wa bunge naye anaongea luwake ,spika anongea vingine pia unashindwa kuelewa nani yuko sahihi ,Shelukindo anadai posho rais kazikataa ,spika anakubali zimepitishwa,katibu anaeleza...
  17. S

    Nape Nnauye sasa atisha vyombo vya habari

    Jambo naloshindwa kumwelewa huyu bwana ni mipaka ya nafasi yake kama katibu mwenezi wa chama wadau si kwamba anatakiwa awe beneti sana na kina Kapten Komba kuhakikisha nyimbo za kukisifu chama zinatungwa na kuimbwa vizuri pia kuunda vikundi vingine vya burudani nao mwisho wake ni hapo km...
  18. S

    Ramani za nyumba

    Tumia number hizi hapa 0754-987848 kumbuka mtaala anatakiwa aone eneo na vipimo vya eneo kwanza na kushauriana na ww kalba ya yeye kukuchorea
  19. S

    Samwel Sitta ashangiliwa sana UDSM

    Ni kweli kashangiliwa lkn ni kati ya watu hawana msimamo anauchu na ikulu pia ni kati ya watu wanafiki ambao wanatoa hoja nzito lkn kuitetea hawawezi kumbukeni Bunge lililopita na akiwa anamsidia waziri mkuu kujibu maswali alivyokuwa anajaribu kuzizima hoja za msingi kwa taifa letu kweli mgema...
  20. S

    NAPE: Watu wameshindwa kujitokeza kupiga kura wakiohofia kumwagiwa Tindikali

    Wana Jamii forums nachokiona hiki si cha kushangaza sana nilichokigundua Makatibu wengi wa Chama Cha Mafisadi (ccm) ni waropokaji ambao uwezo wao wa kufikiri uko below 0 negative kwa mstakabali wa nchi yetu ni waropokaji,wazushi,wazunguza pumba na ukiwabana hawana cha kujitetea sidhanai kama...
Back
Top Bottom