Search results

  1. Eizyek

    INAITAJIKA TOYOTA CARINA NUMBER B AU NUMBER C

    Wadau habari natafuta carina number B au C kwa mawasiliano zaid 0675128093.
  2. Eizyek

    Inahitajika frem ya biashara Dar es Salaam

    Habari wapendwa. Kama kuna mtu anafremu au kuna dalali anayofrem dar es salam maeneo yafuatayo MBEZI,KIMARA, MAGOMENI, MAKUMBUSHO Anitafute tuweze kuwasiliana kwa number 0675128093
  3. Eizyek

    Dar es Salam na mikoani kimaisha wapi simple kufanikiwa kibiashara?

    WAKUU habari Kumekuwa kwa miaka mingi sana asa asa kwa vijana na watu mbali mbali, kwenda dar kufanya maisha biashara kuajiriwa etc. Mimi kama kijana nimekuwa naona kwa mda kidogo vijana wengi wakienda dar kupambana na maisha mjini Dar kumekuwa na wengine wanafanikiwa, Siku ya leo kuna mdogo...
  4. Eizyek

    Fix gani kubwa umewai pigwa 2020

    Merry Christmas and happy new year Katika maisha kama binadamu tunapitia mengi na changamoto nyingi sana kwangu mimi nimewai pigwa fixi na bint niliyekuwa na mahusiano nae kuwa amebeba ujauzito wangu nilipagawa sana maana nilikuwa sijajipanga ila mwisho wa siku alikuwa ananidanganya aikuwa kweli
  5. Eizyek

    Jiji la Dodoma kibiashara na kimaisha kwa ujumla

    Wapendwa habari ya mchana naomba kujua kuhusu jiji la Dodoma kibiashara na kimaisha. Je mtu kama unataka kuanza maisha kuna unafuu?
  6. Eizyek

    Mapenzi ni pesa, vijana tuendelee kusaka pesa kwa nguvu zote

    Wapendwa habari ya jioni ................ leo jion natoka zangu kwenye mizunguko yangu nikapigiwa simu na mpenzi wangu ambae tupo mbali yeye yupo mkoa mwengine na mimi mkoa mwengine baada ya salama mbili tatu na kusalimiana vizur akaniambia. anaumwa na uo mkoa yupo kufanya shuuli za wazazi wake...
  7. Eizyek

    Rasmi nimeamua kumwacha

    Wakuu habari ya jioni, kama mnakumbuka wiki chache nyuma nilileta uzi hapa jukwaani kuhusu mahusiano nilonayo na aliyekuwa mpenzi wangu baada ya kushindwa vituko vyake nimeamua sasa kumtamkia maisha mema japo inauma lakini sometimes lazima kuacha kung'ang'ania sehemu ambayo hupendwi
  8. Eizyek

    Ushauri juu ya mahusiano yangu

    Wakuu habari gani? Mimi nilikuwa na mahusiano na binti mmoja since 2014, nilirusha ndoano na mahusiano yetu yakaanzia hapo. Kutokana na harakati za maisha na nini, mimi nilitoka mkoa ule na kwenda mkoa mwengine kiutaftaji kwahiyo mawasiliano yakawa mtiahani kutoka mwaka 2016 adi 2020 tukawa...
  9. Eizyek

    Dawa gani ya kuongeza maumbile ya kiume?

    Amani iwe nanyi umu ndani nilikuwa naomba ushauri dawa ya kuongeza maumbile ya kiume aina matatizo labda kupunguza uwezo wa sex kitandani Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Eizyek

    Wapenzi wa gari aina ya Scania tukutane humu

    Katika gari ambazo lazima nije nimiliki ni pamoja na Scania, hizi gari hata zikipita mbele ya macho yangu naona fahari kweli afe kipa afe beki, SCANIA FOR LIFE. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Eizyek

    Ni kiasi gani cha pesa ukikipata unaweza kusema umetoboa kimaisha?

    Habari ya humu wanajukwaa, Kwangu mim kiasi ambacho nitaona nimetoboa kimaisha ni milioni 30 na kuendelea.
  12. Eizyek

    Ushauri kuhusu biashara ya simu na vifaa vyake

    Habari ya humu ndani wakuu naombeni mwenye uzoefu na hii biashara aweze kuelezea kuhusu biashara ya simu na vifaa vyake, mtaji milioni 10 maximum.
  13. Eizyek

    Msaada kuhusu leseni ya ku drive

    Habari ya humu Katika harakati za hapa na pale nikawa nimebahatika kupata ka usafiri kakunisogeza hapa na pale kwenye mitikasi ya kila siku shida ni moja sina leseni nimejalibu kudodosa wanasema inatakiwa niwe na namba za NIDA na mimi NIDA sijajisajili nakitambulisho cha mpiga kula tu je naweza...
  14. Eizyek

    Ushauri kuusu gari aina ya jeep

    Abar za um katika pitapita zangu za kutaka kununua kausafil kangu nimekutana na gar aina ya jeep naiman um mnawajuzi kuusu ii gar naombeni ushaur wenu
  15. Eizyek

    USHAURI KUUSU MKOPO YA BANK

    Abar wakuu me nikijana nimejikita sana kweny biashara na kupitia biashara nazo fanya nimefanikiwa kuwa na acount bank zifuatazo NMB CRDB BOA msaada wenu kwa walio wai kopa kweny benk tajwa apo juu benk gan inamasharti Rais kweny mikop na riba zao Asanteni
  16. Eizyek

    Kwenye cm yako una Aplications gan

    Me kwenye cm yangu kuna jf, watsap, teregram 'na opera news bac tuambizane wadau
  17. Eizyek

    NATAFUTA PATNA WA BUSINESS

    Abar wakuu natafta business partner ambae tutashilikiana kweny biashara na kugawana pacent
  18. Eizyek

    KERO ZA NDUGU ZETU TRA

    Habar ya wakuu Wafanyabiashala tuambiane kero za awa jamaa TRA juz niliagiza mzig wangu wa duka kutoka dar kweny aya makampun ya kusafilish mizigo mikoani pale yard wanaposhushia mizigo TRA wakawa wameenda kukagua wamekakuga wakakamat mizig ming ukiwepo na wangu nauliza tatizo nini wanasema...
  19. Eizyek

    Wanaume pesa tutafute

    Jaman vijana kwa wababa na watoto mnaosoma kila mtu apambane kwa nafasi aliyonayo pesa tutafute PESA PESA NDO KILA KITU
  20. Eizyek

    Changamoto gani ulikutananazo ulivyo feli shule

    Habari za asubuhi wakuu, uzi huu ni kwa ajili ya kupeana moyo kwamba kufeli shule sio kufeli maisha, Nakumbuka niligeuka house boy nyumbani kazi zote nilifanya mimi hadi kuosha vyombo huku madogo wamekaa tu kilikuwa kipindi kigumu kwangu, ila Mungu hakunyimi vyote mtaani kumenifaa sa hivi...
Back
Top Bottom