Acheni hasira wanayanga. Hata kipindi nyie mnatamba na kujiita wa kimataifa mlikuwa kila uchwao mnawaandama simba na kuwaita wamatopeni.
Huu upinzani wa simba na yanga kwa Tanzania ni jadi.
Inaonekana umeitafsiri vibaya hiyo habari. Sio kwamba shahada ya kwanza haina umuhimu tena, bali ni ule ufaulu wa kiwango cha juu katika shahada ya kwanza. Mwanzoni waomba ajira ambao hawakufikia kiwango flani kwenye ufaulu wa shahada zao walikuwa hawapati nafasi ya kuendelea na hatua nyingine...
Aisee nchi za Afrika zitatawaliwa na viongozi wa ajabu ajabu kwa miaka mingi sana. Hususani kama kuna watu wengi wenye mawazo kama haya. Yaani anaona ni sawa kabisa kiongozi wa nchi kubadilisha matumizi ya fedha za umma. Ndio maana hata Mobotu alikuwa na wafuasi. Nilitarajia ungeanisha udhaifu...
Kama walivyosema baadhi ya wengine kwamba tatizo labda ni jina la mtoa taarifa kujulikana. Ila kuhusu benki kuripoti muamala kama huo kwa vyombo husika ipo sahihi kabisa.
Nchi yetu pia ina sheria zinazohusu utakatishaji wa fedha.
Ni wajibu wa benki kutoa taarifa wakitilia shaka muamala wowote...
Hah hah! Wameandamana siku/saa ya kazi? Nani kawaruhusu? Wamepata mpaka mgeni rasmi? Sidhani kama hao wanawakilisha wafanyakazi wote. Hawajaandamana wakati sheria na kanuni zilipobadilishwa ili kuvipinga, ila wanaandamana kupongeza kwa kikokotozi kurudishwa kama kilivyokuwa awali. Hawataki...
Ni utamaduni mzuri. Kwanza unaendelea ukaribu na pia ni rahisi kugundua kama rafiki/ndugu yako hayupo sawa hata kama atajibu yupo sawa. Inapunguza isolation kwa watu wenye hatari ya kupata msongo wa mawazo. Ndio maana takwimu za watu kujiua kutokana na msongo wa mawazo kwa nchi kama TZ ni ndogo...
Pole wewe. Kwanza kwa kudhani naongelea kwa akili ya darasani tu. Nimekuambia source ili ukajisomee.
Ninachoongelea ni wewe kusema hiyo ni defined benefit plan na wakati ni contribution plan. Unadhani wale walioweka utaratibu wa fao la kujitoa hapo kabla walikuwa mazwazwa na hawajafanya...
Umeandika maneno mengi halafu umepotosha. Mfumo unaotumika Tanzania huo wa waajiri na waajiriwa kuchangia amount flani kwenye mfupo wa pension kama NSSF unaitwa defined contribution plan na sio defined benefit plan (kasome IAS 19 - Employees Benefits).
Na moja ya tofauti yake kubwa ni kwamba...
Ila huu mtindo wa kuteleleza majukumu na kujirusha kwenye media si mzuri. Hawa wanataka waonekane na wateuzi wao kwamba wanafanya kazi. Sasa huyo jamaa alichokifanya ni moja ya majukumu yake na sio habari hapo ni ipi. Itafikia siku tutaandika, 'xx amefika ofisini kwake saa moja kamili ikiwa ni...
Siku hizi humu ndani kila mtu anajua. Hivyo vitu ulivyofananisha hata haviendani. Marekani hawaishutymu Urusi kwa ku-hack mfumo wa uchaguzi . Wanachoishutumu ni kwa ku-hack emails za democrats na kuzivujisha wikileaks kitu ambacho wanadhani kime-influence uchaguzi wao. Usifikiri waliingia kwenye...
Mtoa post umeandika mengi kwa utaalam kabisa. Nakubaliana na wewe kwamba sekta ya fedha nchini haina hali mbaya ya kutisha ila pia ni ukweli usiopingika kwamba kwa mwaka huu sekta ya fedha itapata matokeo mabaya kulinganishwa na mwaka uliopita. Na pia kumbuka kama umetumia interim results za...
Naona kila mtu ameshakuwa mtaalamu wa fixed deposits za mabenki sasa. Kwanza mtoa mada unasema fixed deposits accounte ni current bank assets? Deposits zote za wateja kwa upande wa benki ni liabilities maana ni mali za watu. Kuwa current au non-current ni suala la maturity yake.
Pia hayo mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.