Search results

  1. Juakali jr

    Usinunue vitu online kwa kutipia TIGO MASTERCARD!

    NItakupa sababu mbili muhimu kwanini usitumie kadi yako ya TIGO mastercard kununua vitu online. 1. Hii kadi wameunganisha mojamoja na akaunti ya Tigopesa, hamna control ambayo mteja unakua nayo kudhibiti kiwango cha juu ya muamala pale ambapo akaunti yako inakiasi cha kutosha kufanya muamala...
  2. Juakali jr

    Madereva tuache tabia hizi

    madereva wa siku hizi wamekua wakuda sana yani hadi kero. Ngoja kwanza tutambue ukuda ni upi. 1. Upo barabara kuu hamna matuta wala kizuizi chochote lakini wewe unaamua kuendesha 30 kmph (sio kosa), nyuma yako kuna gari linataka kuovertake lakini haliwezi sababu upande wa pili upo busy, pale...
  3. Juakali jr

    Ushabiki wa siasa za nchi sio kama wa Simba na Yanga

    Wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapa juu, sitapenda kurudia kusema yaliyosemwa na wengine kwenye uchaguzi huu. Ila mwenye hekima ataweza kutofautisha madhara ya ushabiki wa timu za mpira na ushabiki wa siasa za nchi, tutakapoamua kushabikia siasa kama tunavyoshabikia Simba na Yanga tujue...
  4. Juakali jr

    Pancha kwenye upande wa tairi

    Wakuu nimefuatilia kwenye mtandao inasemekana tairi likipata pancha yeyote kwenye sidewall sio vizuri kuiziba. Wajuzi hebu tusaidie pancha ya kama kwenye picha hapo tunatupa tairi.
  5. Juakali jr

    redio ya gari inaomba sd card

    Habari wakuu, Naombi msaada wa jinsi au mtu anayeweza kuondoa error ya kwenye redio ya gari aina ya eclipse avn-g04. Ambayo inaonesha kama vile inataka sd card [UPDATE] Kulingana na mawazo ya wataalam mbalimbali nimegundua kuwa hizi redio zinakua na sd card yake (memory card kama ya camera au...
Back
Top Bottom