Search results

  1. Juakali jr

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Concept ya gravity haifanyi vizuri kwenye flat Earth kwa sababu gravity in pull kuelekea centre of mass, hiyo inamaanisha direction ya pull itatofautiana kati ya walio centre na walio pembeni kitu ambacho hakitokei duniani. Pili kwakua vector lines ni diagonal kwenye edges za sahani kuelekea...
  2. Juakali jr

    Nini faida ya kumiliki gari?

    Mkuu umemiss point ya msingi.
  3. Juakali jr

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Lol nyinyi watu hamuwezi kuwa mpo TZ.
  4. Juakali jr

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Kama hatuwezi kujaribu mawazo yetu na mawazo ya watu hatuwezi kufikia sehemu ambayo wote tunakubali wazo fulani linakaribia ukweli. Watu kupishana mawazo ni sawa na vema, kwa sababu inatengeneza nafasi ya kurekebisha fikara ambazo sio sahihi na pia kugundua vitu vipya.
  5. Juakali jr

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Nimepita comments za watu humu na leo nikasema ngoja nijaribu hizi nadharia, sijafanya kwenye perfect condition sababu za ukubwa wa space niliyonayo na fact kuwa nimeshindwa kufanya kuwe giza sana sababu ya uwepo wa taa zingine zilizo nje ya uweza wangu. 1. Nime taa fixed, nifanyazoezi...
  6. Juakali jr

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Binafsi sijaona sababu ya msingi wa wazungu kudanganya kuwa dunia ni tufe na sio tambarare ukizingatia uongo huu ili ufanikiwe unahitaji ushirikiano mkuu wa mataifa yasiopendana ikiwemo Marekani, Russia, China, India, nchi za uarabuni na europeans. Pia wanaosema dunia ni tufe wanakupa namba kwa...
  7. Juakali jr

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Mimi naona dunia ni hexagonal.
  8. Juakali jr

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Kuna uwezekano swali langu limejibiwa sehemu lakini ningependa kujua motive ya wazungu kutudanganya kuwa dunia ni duara hasa faida wanazozipata kuwaaminisha watu kuwa dunia ni duara angalia ni tambarare. Natanguliza shukrani kwa atakayeshare majibu
  9. Juakali jr

    INTERNET SPEED: Tuone internet speed Yako ya leo

    Kwa sababu ambazo Tigo wenyewe wanazijua leo 4G, 4G+ hawezi kustream lakini 3G,H,H+ zina stream vizuri tu :rolleyes:
  10. Juakali jr

    Usinunue vitu online kwa kutipia TIGO MASTERCARD!

    Shukrani sana. Bado nafanya majaribio ya mwisho.
  11. Juakali jr

    Usinunue vitu online kwa kutipia TIGO MASTERCARD!

    Mkuu ni kweli unachokisema, kuna uwezekano ni kweli wengi hatujui hizi sheria lakini pia nafikiri aina ya miamala tunayopigwa haitupi motisha ya kutumia hela zaidi kwenye kuajili wanasheria na kutumia muda mahakamani. Pia ukijaukasoma Terms and Conditions documents zao, zimekaa kwa design ya...
  12. Juakali jr

    Usinunue vitu online kwa kutipia TIGO MASTERCARD!

    Mkuu hongera sana kwa kukwepa huu mkuki. hapo ninachofuatia ni kuidelete hiyo kadi kabla ya kuja kupigwa tukio la kiukweli sasa.
  13. Juakali jr

    Usinunue vitu online kwa kutipia TIGO MASTERCARD!

    Mkuu kama ulisubscribe kwenye App au service ni ngumu sana hata kwa card provider wengine kuissue reversal. Changamoto nayoiona kwa Tigo na Airtel ni ujinga wao wakuchanganya card na wallet za Tigopesa au Airtel Money kwa hiyo mteja huna control ni kiasi gani kiwepo kwenye card.
  14. Juakali jr

    Usinunue vitu online kwa kutipia TIGO MASTERCARD!

    Kuna sehemu nilisoma ni 5% ya transaction, lakini pia kuna sehemu nyingine nilisoma ni 10%. Sasa sina uhakika ipi ni ipi
  15. Juakali jr

    Usinunue vitu online kwa kutipia TIGO MASTERCARD!

    Mkuu pole sana kwa hii changamoto, na mimi nimekuja kujifunza kuwa hawa watu hawajali na mara nyingi hawataki kubeba jukumu la kumsaidia mteja wao hata kutosupport ya documents pia ni shida kwao.
  16. Juakali jr

    Usinunue vitu online kwa kutipia TIGO MASTERCARD!

    Mkuu kuna kitu unakijua kuhusiana na hawa raia. Nashukuru kwa kutuonya tusije na sisi tukaingia kwenye hii mitego.
  17. Juakali jr

    Usinunue vitu online kwa kutipia TIGO MASTERCARD!

    Naunga mkono hoja, sijawahi kupata tatizo na Voda. Na saa nyingi transactions kweli zinafail na hela naona inarudi kwenye kadi yenyewe. Pia nilishakupata case ya refund aliexpress na hela ilirudi bila usumbufu wowote.
  18. Juakali jr

    Usinunue vitu online kwa kutipia TIGO MASTERCARD!

    Asante mkuu, Sidhani kama ipo kwenye priorities zao. Kuwa na mfumo wenye changamoto ni kimoja, kutokua professional hasa kwenye support pale mteja anapopata changamoto ni cha pili na kibaya zaidi. Naona hapa option ni kuwahama tu.
  19. Juakali jr

    Usinunue vitu online kwa kutipia TIGO MASTERCARD!

    Ni vyema kuzingatia ushauri wa Restless Hustler hapa chini angali unafanya majaribio yako.
  20. Juakali jr

    Usinunue vitu online kwa kutipia TIGO MASTERCARD!

    Mkuu na wewe unataka kujifunza kitu kipya???
Back
Top Bottom