Search results

  1. S

    Kwa style hii msichana hapindui......lol

    duuuuh, hiyo nomaaaaaaa tena nzurii
  2. S

    Mpenzi

    Jamani hivi inakuaje mtu unakuwa na girlfriend wako afu inafika time anakwambia ye mambo mengi afu sometime anakuwa na jeuri, kiburi, then anapenda sana kukaa na wanaume wengine na si wewe? Waungwana toeni mawazo
  3. S

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    whaterer it can be, but the reality is that,chelsea is the best team in the farc europa
  4. S

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    whaterer it can be, but the reality is that,chelsea is the best team in the farc europa
  5. S

    Think louldy; Tunaamini kwa dhati CHADEMA itashinda Arumeru, au tunazuga?

    kaka inawezekana sana kushinda kwanin ni sisi chadema ambao tutafanya tushinde au tushinwe kwa kutopiga na kusimsmia kura kwa uhakika zaidi lakini uwezekano wa kushinda ni mkubwa sana kama tutasimamia hayo kwa umakini sana na hasa katika uhesabu wa kura
  6. S

    utafanyaje ukigundua hili

    namnyonga mwanamke huyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!! akome sana
  7. S

    Ajali ya Basi la Taqwa laua wanafunzi 6 wa UDSM

    Poleni sana jamani mungu awalaze mahala pema paponi amin
  8. S

    Habari muhimu kuhusu mgomo wa wanafunzi wote wa vyuo vikuu tanzania

    ni kweli kaka lakini jaribu kuangalia hata tukigoma kila kona kuna ffu,tutafika wapi?ata maandamano ya amani hawataki unadhani migomo itakuaje!! la msingi viongozi wetu walioko vyuoni wafanye harakati za kuwanusuru wenzetu hasa kwa kushinikiza bodi na serikali kutuangalia kwa jicho la pili...
  9. S

    Hivi fakat ya BACHELOR OF ARTS IN ECONOMICS ni MARKETABLE?

    yes ni marketable sana kuna kazi nyingi sana una kazi nyingi za kufanya kama kuwa mwanauchumi as lipumba mzee
  10. S

    Vipi bodi ya mikopo na wanavyuo wa mwaka wa pili walio kosa mkopo mwaka wa kwanza. . . . .??

    sema nini inatakiwa tu irekebishiwe bajeti ndo tutajua kama wanachakachua au vipi
  11. S

    Vipi bodi ya mikopo na wanavyuo wa mwaka wa pili walio kosa mkopo mwaka wa kwanza. . . . .??

    yaani we acha tu kaka mwaka huu tutakufa mungu mwenyew asaidi
Back
Top Bottom