Kama kuna kitu hakipo sawa, haukifahamu byema ni bora ufuatilie kwanza ukipata ukweli ndipo ulete humu, kama wewe binafsi huna uhakika dhidi ya kile unachokifanya utawezaje kuwaambia viongozi wako ya kwamba hawajui historia hiyo vizuri
Unàshangaa hilo wakati waziri wa mambo ya ndani ya nchi alicheza mziki wa kitaani na kina mama wa kanga moja. Bora huyo aliyefanya maagizo, maana amezingatia nidhamu, japo kwa hadhi yake hakupaswa kuyafanya hayo aliyofanya
Kwani waliamua kuondoa hiyo kesi bila kufuata taratibu za kisheria? Kama vigezo vyote vimezingatiwa, inashindikana kitu gani kurudi mahakamani na kukata rufaa ili haki ya kisheria iweze kutendeka. Mlalamikaji kuendelea kutoa shutuma wakati nafasi ya kurudi mahakamni anayo sidhani kama itakuwa...
Nakubaliana na mheshimiwa Lowasa kuhusu namna ya kutatua tatizo la ajira nchini, kwanza kabisa wanafunzi wafundishwe ujuzi na siyo kushindiliwa maarifa na nadharia ambayo katika maisha yao hayatawasaidia sana katika maisha yao na badala yake vijana wataendelea kumaliza na kurudi mtaani. Jambo...
Katika kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za kitaa, tutashudia mambo mengi ikiwa ni pamoja na kashifa na betrayal nyingi sana, watu wanatakiwa kuelewa ya kipindi hiki kina maana gani hasa katika maisha yao, wanatakiwa kutambua ya kwamba vyama vya upinzani vinapitia katika hali gani kwa sasa...
Binadamu wameumbwa kuwa wabinafsi katika maisha, wanataka mambo mazuri yawe upande wao peke yao hawataki upande wa pili, lakini pia hawako tayari kuruhusu kuumia kwa muda fulani ili baadae wacheke kwa pamoja, kwa sasa asilimia kubwa ya wawakilishi wetu bungeni wapo kwa ajili ya matumbo yao na...
Nafikiri ndugu Bernard Membe anatakiwa atulie tu amwache bwana mkubwa aendelee na mchakato wa kulivusha taifa, zama zake zimepita, kama hakupata nafasi ya kuwatumikia watanzania kwa namna ilivyokuwa inatakikana itoshe kwa kile alichoweza. Waswahili wanasema ya kwamba adui yako akikushinda ungana...
Hongera zao kwa wale walioteuliwa katika nyadhifa mbalimbali, kikubwa wanatakiwa kwenda kufanya kile ambacho rais amewaagiza na siyo vinginevyo, tumekuwa tukishuhùdia teuzi nyingi zikiwemo baadhi kuenguliwa kwenye nafasi zao, hii inadhihirisha wazi ya kwamba watu hawatendi sawasawa na...
Nahisi kuna kitu hujakielewa kutoka kwenye biblia, nijuavyo mimi ni kwamba, biblia haijaweka mipaka ya kusamehe, na ndio maana Raisi kasema ya kuwa tumeumbwa kusamehe kulingana na maandiko, na kakiri kwa kinywa chake kwamba, wakati mwingine ni vigumu sana lakini usipofanya hivyo unaenda kinyume...
Mwenyezi mungu anapotoa msamaha huwa haangalii kingine zaidi ya dhamira ya muomba msamaha, wewe ni nani hadi kumpa mheshimiwa raìsi tahadhari? Yeye kasema amesamehe kipi unachotaka akifanye?
Kikubwa amesamehewa, kama kuna mengine nje ya hapo wanajua wao, wakati mwingine siyo kila makofi yanayopigwa kwa ajili yako yana maana ya kwamba umefanya yaliyo mema mengine ni kejeli iliyojaa kashifa
Kesi za namna hii zimekuwa zikiigharimu serikali kiasi kikubwa sana cha pesa, wamekuwa wakifanya maamuzi ya kukurupuka bila kufanya upembuzi wa kina mwisho wake serikali imekuwa ikiishia kulipa pesa nyingi baada ya kushindwa kesi, kiukweli kwa namna ambavyo jamaa alifanyiwa, spika angekuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.