Search results

  1. F

    Tahadhari: Hii ni hatari sana kwenye simu

    Reputable Physist. Really !!!!!!!! I can assume your reputation in physics is not associated with anything to do with Radio or Electromagnetic waves.
  2. F

    Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

    ni Pension Na kusoma magazeti. Unajua hata ubunge wengine kwao ni sehemu ya kupatia pesion sio kuwajibika.
  3. F

    Msaada jamani naombeni link ya kudownload how i met your mother

    Naona hili Jukwaa sasa linapoteza dira.tartibu linaaza kuwa jukwaa la movie.
  4. F

    Mustafa Sabodo atinga Baraza kuu la CHADEMA na kuahidi makubwa

    Na unapondondoka uwajani je? Kama serkali na raisi wake aliye madarakani haijali afya sembuse vyama vidogo vya upinzani ? Au tukubaliane kuwa kwa CCM kuomba kura ni muihumu kuliko afya
  5. F

    London marathon. Je tanzania tumo hata ushiriki kama si kushindana

    Huyu MKenya kashinda kwa kutumia Masaa 2: Dak 4 na sekunde kama 50. So nadhani analamba $100,000 . Hata washindiwa pili na watatu nao wamo ndani ya masaamawili ina dk 6
  6. F

    London marathon. Je tanzania tumo hata ushiriki kama si kushindana

    Hizi ndio zawadi na bonus Awards for place Men Women 1 $55,000 $55,000 2 $30,000 $30,000 3 $22,500 $22,500 4 $15,000 $15,000 5 $10,000 $10,000 6 $7,500 $7,500 7 $5,000 $5,000 8 $4,000 $4,000 9 $3,000 $3,000 10 $2,000 $2,000 11 $1,500 $1,500 12 $1,000...
  7. F

    London marathon. Je tanzania tumo hata ushiriki kama si kushindana

    Hata ukiwapa uraia badosiasa zitawavuruga labda tungesema wenye vipaji vyak ukimbia tanzania tuwatafutie uraia wa Nchi kama Norway, sweeden Qatar . Tubinafsishe kitengocha mchezo wa riadha utaona. Kuna wakenya wengi wanapeperusha benderaza mataifaya nje
  8. F

    London marathon. Je tanzania tumo hata ushiriki kama si kushindana

    wanaume 1st and second ni wakenya 3 rd to Ethiopia. watangazaji wanasema East africa continue to dominate!!!!!
  9. F

    London marathon. Je tanzania tumo hata ushiriki kama si kushindana

    Son of Alaska Mbona ingekuwa London marathon ni kwa ajili ya wabuge wote duniani basi nina hakika Taanzania tungekuwa tuna hata washiriki 10 . Sababu siasa ndiyo tumeipa kipaumbele kuliko mambo mengine.
  10. F

    Hoja ya Zitto sio ya CHADEMA

    Tusubiri j3 sijui kitaachoamauliwa kitakuwa ni Hoja ya J.M.Kikwete au ni hoja ya M.K. PInda au ni hojo ya CCM? Ebu saidia ufafanuzi.
  11. F

    London marathon. Je tanzania tumo hata ushiriki kama si kushindana

    Hivi jamani hakuna wameru,waarusha, Wairak au watanzania wowowte wanakidhi vigezo vya kushiriki marathon. Kigezo nimesikia mtangazaji akisema ni uwezo wa kukimbia kwa muda wa masaa mawili na dakika 18.Sasa hapa nimekabaki na maswali Watanzania hatuna afya ya kukimbia marathon ...
  12. F

    Domain name hii ya nani?

    wala huitaji kufanya kwa CMD unatumia Whois tu utaanza kupata taarifa za muhusika domain: shopping.co.tz registrant: OG1-TZNIC admin-c: OG1-TZNIC nsset: NS-SHOPPING registrar: REG-TZNIC status: paid and in zone registered: 23.03.2012 17:47:31 expire...
  13. F

    JK ziarani Brazil kwa siku tano (Source TBC1 habari)

    Rais JK angfenya maamuzi ya busara kama yeye mwenyewe ndio angekuwa ni waziri wa mambo ya nje .Membe akawa naibu wake.
  14. F

    Tembo wa TANAPA watishia maisha ya watu Mang'ula

    Poeni sana labda tembo wanafanya land reclamation ya mababu zao .
  15. F

    Tanzania's CAG Report; March 2012

    Mimi nachojua hata bajeti yaTanzania huwa inasowa kukamiisha ratiba tu.Hakuna financial discpline Ndioa maana Hata bunge lenyewe liliomba nyongeza ya posho katikati ya mwaka wa fedha ....... Wanaotakiwa kusimamia Finacial dscpine ya serikali (Bunge ) ndio wanaonyesha kutokuwa na hiyo...
  16. F

    Wabunge Halima Mdee na Esther Bulaya wamefurahi Kanumba kufa?

    Jitahidi kulewa japo sheria zinavyofanya kazi . labda ungehoji kwa nini Lulu sio kuwanausa mabnti wengine? Lakini kutuhumiwa tu haina maana niMkosaji nahata kama niMkosaji bado hata wauwaji wana haki ya utetezi.
  17. F

    Sakata la Lulu na Kifo cha Kanumba, what does the Law say?

    Mbona kwa yaliyomtokea EL huandiki haya .Au hii doctrine yako ni ya Kifo tu.
  18. F

    Do You Support Gay Rights In Tanzania?

    Rais mseven wa uganda alibwan na BBC kuhusu U gay . Akasema tatizo nchi za ulaya zinataka kuimpose tamaduni zao africa.Akasema magay africa wamekuwepo na wapo lakini maisha yao kwa tamaduni (zetu )africa ni private . Mseven akasema Tatizo linakuja pale tunalazimishwa tuupromote...
  19. F

    Wakuu mwenye format ya resaerch proposal ya kiswahili naomba anisaidie pls

    Reaserch proposal ya kiswahii ni tungo tata. Una maana research propasal ya subject/mada ya kiswahili au ni reserch propsal ya siasa au Historia ya sayansi ya magonjwa au ya mada yoyote ile iliyoanadikwa kwa ugha ya kiswahili. Wahtaver the case just google proposa template/samples ya mada...
Back
Top Bottom