Search results

  1. INTROVERT MAN

    Historia ya maisha yangu

    HI THERE, MAISHA YANGU Mahusiano, Muziki, Depression, hustles, & Happiness. Habari wakuu wa jamiiforums, Heshima kwenu. Kuna msemo mmoja wa Kiingereza unasema " if a street performer make you stop walking, you owe him a buck" Basi kupitia hadithi za ukweli nilizozisoma humu basi nami...
  2. INTROVERT MAN

    Watanzania na mashindano ya shinda

    Hatuendelei kwa sababu ya kutaka kila mtu apitie yale magumu wewe ambayo uliyapitia. Inatokea mmekutana ndugu mfano wa tumbo moja basi mmoja ataanza kujieleza" we me nimepitia maisha magumu nyinyi sahivi mnakulia raha. " Baadae mwingine atasema Baba alikuwa mkali sahv nyinyi anawalegezea...
  3. INTROVERT MAN

    Solution ya majanga ya moto mashuleni ni hii hapa

    Majanga ya moto ni hatari sana hakuna asiyejua. Mali na rasilimali nyingi ikiwemo binadamu hupotea kimasihara tu. Ajali za moto mashuleni kama iliyotokea jana imeleta simanzi nchi nzima. Nimekaa na kufikiria kuwa dawa ya hili tatizo ni serikali kuamuru shule zote zenye mabweni ZIFUNGE UMEME WA...
  4. INTROVERT MAN

    Kijana wa Kihindi aliyesafiri maili 6000 hadi Sweden kumfuata na kumuoa kipenzi cha moyo wake

    Ni story iliyotokea kwa Kijana wa Kihindi aliyesafiri maili 6000 hadi Sweden kumfuata na kumuoa kipenzi cha moyo wake. je walidumu? Fuatilia picha na kisa hiki kifupi Mnamo 1977 mwanamume wa Kihindi aliyeitwa P. K. Mahanandia aliendesha baiskeli maili 6,000 kutoka India hadi Sweden kuoa...
  5. INTROVERT MAN

    Silaha namba moja Duniani ya kuchekesha iliyofanya yake

    Katika Vita vya Vietnam, Wavietnam wale wazee wa Dj Afro walitumia pinde kubwa kama hizi kuangushaa helikopta za Marekani. Ilitengenezwa kwa mianzi na mshale wenye urefu wa mita 2.5m. Wakati helikopta za Marekani zilikuwa zikiruka polepole na chinichini karibu na ardhi , basi, kawaida askari wa...
  6. INTROVERT MAN

    Yuko wapi Shukuru Kawambwa?

    Alikuwa ni waziri wa elimu kipindi cha JK .simsikii siku hizi anayejua anifahamishe yuko wapi
  7. INTROVERT MAN

    Hii imekaaje kwa mtandao wa Voda?

    Tangu jana usiku kwa watumiaji wa mtandao wa voda ikifika saa moja hivi ukitaka kutuma sms hazifiki na leo yena inajirudia. Tatizo ni kwangu tu au hata kwa nyie? Ninakereka kwa sababu 91% ya matumizi yangu ya simu ni kutuma SMS
  8. INTROVERT MAN

    Tunakumbuka nini Tuliosoma Igowole, Mdabulo, JJ Mungai au Malangali tukutane hapa

    Aisee mkoa wa Iringa kielimu nao si haba kwa nyanda za juu kusini Miaka hyo ilianzishwa Mufindi Education Trust (MET) ambayo ilikuwa chini ya marehemu Mbunge na Waziri wa zamani wa Elimu JJ Mungai So hizo shule zilikuwa chini ya MET kabla ya kubadilishwa mfumo na serikali. Me binafsi nmesoma...
  9. INTROVERT MAN

    Nitajie Brain game zuri

    Wakati mwingine baada ya kazi na shughuli huwa tunaketi na kutumia simu zetu kwa kuchati, kusikiliza music na vingne. Wakulu kwa nia ya dhati naomba msaada kujuzwa ni game lipi ni zuri kwa ajili ya kuchallenge akili na pia unambie ni lipi linafanya akili yakk ikae sawa na ku improve. kwani play...
  10. INTROVERT MAN

    valencia leo tuna usiku murua saana

    Tukiwa pale nyumbani nou mestalla leo saa tano usiku wale wenye nia mbaya na atletico madrid basi wasijali tunawaripia kisasi na bila kusahau kisasi chetu binafsi maana kanionea sana .. -all is well-
  11. INTROVERT MAN

    Tujuzane: Ni mbinu ipi ulitumia au huwa unatumia kumsukuma mtu akulipe deni

    Hali ya sasa ni ngumu sana wakubwa Mwezi november kuna mtu wa karibu (mpangaji mwenzang) alikopa kwangu kiasi fulani cha fedha kwa makubaliano ya kwamba atanipa mwisho wa mwezi akiwekewa mshahara. Lakin tangu mwaka jana hadi leo hii holaa ,na me akiba yangu imekata kabisa. Nimemuambia mara...
  12. INTROVERT MAN

    Unakumbuka vioja vipi siku unatahiriwa?

    kipindi hiko mimi binafsi ndio nimekuwa mkubwa (darasa la sita) nilikuwa namng'ang'ania mzee anipeleke baada ya kuona washikaji zangu wote wameshakatwa.. Basi siku tu mzee akanambia twende hospital moja hv binafsi ambayo daktari mkuu ni rafiki ake.Basi mzee akawasha baiskeli yake phoneix...
  13. INTROVERT MAN

    Chris Brown special thread

    Habari wapenzi wa muziki mzuri Aisee anaitwa Chris Brown ni msanii namkubali sana tena. Jamaa alizaliwa katika mji unaitwa Virginia miaka ya 80 mwishoni.Alianza carrier ya muziki tangu akiwa junk junk tu Ana vipaji vingi,ana rap,anaimba hiphop, ni actor, na zaidi anajua kudance hatari pia...
  14. INTROVERT MAN

    Nielewesheni kuhusu Vikwazo vya kiuchumi

    Mara kibao huwa nasikia kupitia vyombo vya habari hasahasa vya kimataifa kama BBC,V.O.A nk kuwa umoja wa mataifa au nchi kubwa hasahasa marekani imeiwekea nchi fulani vikwazo vya kiuchumi Sasa me huwa sielewi kabisa hv VIKWAZO VYA KIUCHUMI ni nini na inakuwaje mpk taifa fulani linawekewa...
  15. INTROVERT MAN

    Kipi kilikupelekea uwe mnazi kwa timu yako unayoishabikia sasa?

    Mimi ni shabiki wa Man U kwa pale EPL na Spain ni Valencia CF. Man U Nilianza kuwa shabiki wake nikiwa shule ya msingi. Kuna rafiki yangu alikuwa kanunua gazeti jipya la michezo, basi katikati ya gazeti au page ya katikati mara nyingi huwa na picha za rangi na mara nyingi hubeba makala moja...
  16. INTROVERT MAN

    nahitaji jezi

    wakuu mimi ni shabiki wa valencia cf ya palee spain tatizo kubwa nalopata ni wapi nitapata jezi yake ..kama kuna mtu anajua duka coz kwa hapa mwanza nimekosa
  17. INTROVERT MAN

    FAMILIA ZETU ZAENDA WAPI

    Habari za weekend wana jf..... kifupi ni kuwa nikitazama kwa umakini hii dunia pabaya inapoelekea na mabaya yake nimegundua kuwa ni yote yanasababishwa na upenyo mdogo ambao ni mbovu ambao ni malezi mabovu ya siku hizi Kiufupi FAMILIA ndio msingi wa jamii yoyote ile na ndiyo jamii ya kwanza...
  18. INTROVERT MAN

    Hata liwe ndinga la babycare

    Kuanzia leo hii hata nikiona gari la babycare limeangua ni kufungua miguu yangu kwa speed ya ajabu...................Watanzania wenzangu mafuta ni mafuta tu.... ninasikika au niongeze sauti? au nichomoe betry
  19. INTROVERT MAN

    Anaitwa khalid: My best new soul singer

    aisee nianze kwa kuwasalimu wanajukwaa Khalid Robinson ni msanii wa kimarekani ambaye anaujua muziki kwa kweli...Kipaji chake anakithibitisha ndani ya tungo zake mujarabu kabisa hadi sichoki kuzisikiliza Ngoma yake iliyofanya nimtambue ni 'location' aliyoiachia june 2016 then vibao vikali hv...
  20. INTROVERT MAN

    nipokeeni wananzengo

    habari za wakti huu wapendwa.... kiufupi nimekuwa guest visitor wa jamii forums kwa kitambo kirefu tangu nimeijua sep.2017...kiukweli ni sehemu murua ambayo imenijuza mengi sana ambayo ni adimu kupata sehemu nyingine..natumaini nitazidi pata ushirikiano ksenu na kupanua zaidi mawanda ya ubongo...
Back
Top Bottom