Search results

  1. Mac Alpho

    Tuijadili Simba Sc kiundani, maoni, mapendekezo, na changamoto zilizopo kuelekea msimu mpya

    Uzi huu ni maalum kwaajili ya kuichambua team yetu ya Simba Sc kwa kuzungumzia mendeleo yaliyopo, changamoto zilizopo na nini kifanyike ili ipige hatua. Kelele na maneno yasiyo na mantiki havina nafasi, badala yake yanatakiwa mawazo chanya ya wana Simba Sc pamoja na wale wapenda mpira. Tujadili...
  2. Mac Alpho

    UTABIRI: Muda si mrefu hapatashikika hapo Yanga SC

    Mechi za marudiano ya michuano ya CAFCL na CAFCC ni week ijayo tu ambapo Simba SC na Yanga kwa pamoja zitazitupa karata zao za mwisho kuwania nafasi za kuingia hatua ya makundi, katika hiyo michezo Simba SC kwa kiasi fulani wanayo matumaini huku Yanga SC ikionekana kuwa na mlima mrefu sana...
  3. Mac Alpho

    Unenepeshaji wa ng'ombe

    Habari za jioni wana JF, nimejaribu kusearch kama kuna mada yoyote humu ndani inazungumzia project ya unenepeshaji wa ng'ombe wa asili kisha kuwauza, ili nipitie maoni lakini hakuna popote. Nakaribisha maoni ya watu mbalimbali wenye uzoefu na hii project, nimekuwa nikitamani sana kujihusisha na...
  4. Mac Alpho

    Nilivyoingiza 17.6M ndani ya mwaka mmoja na nusu, kwa biashara ya Mgahawa kwa mtaji wa kawaida kabisa

    Habari zenu humu ndani? si muandishi mzuri sana wa nyuzi humu jf ila leo nimejisikia kushare kitu kidogo na nyinyi juu ya biashara, nikiamini kwamba naweza kubadili fikira za baadhi ya vijana na wazee humu juu ya biashara. Kwa taaluma mimi ni Civil Engineer na huwa napata vikazikazi ambavyo...
  5. Mac Alpho

    Je, tendo baada ya ndoa inawezekana kwa nyakati za sasa?

    Hahaaa kwamba ni lazima uto.mbw
  6. Mac Alpho

    Kwa wenyeji wa Kahama, nahitaji kujua vitu kutoka kwenu

    Wakuu kwema? Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, nahitaji kujua vitu mbalimbali kuhusu Kahama. Nimewahi kufika hapo miaka ya 2017 ila sikukaa sana licha ya kwamba niliona mji umechangamka kiasi chake. Hivi karibuni nimekuwa na mawazo ya kufungua biashara ya Hardware hapo Kahama, kwahiyo...
  7. Mac Alpho

    Nahitaji msaada wa mawazo juu ya biashara ya mifugo (ngombe & mbuzi)

    Habari zenu wana JamiiForums, mimi kama kijana mtafutaji na mwenye kiu ya mafanikio, nimeamua kuja kwenu Ili nipate ABC juu ya mada tajwa hapo juu. Nimejaribu kupitia maada mbalimbali za zamani juu ya hii maada ila sikufanikiwa kupata data nilizokuwa nazihitaji, hasa ukizingatia taarifa za...
  8. Mac Alpho

    Tuhuma za kufanyika kwa ‘madudu’ dhidi ya fedha za kujikimu(Meals and accommodation) kutoka HESLB ndani ya Chuo Kikuu St. Augustine Mwanza

    Nimegundua kuna madudu na ubabaishaji mkubwa sana wa malipo ya fedha za Kijikimu(Meals and Accomodations) kwa wanafunzi wa Chuo kikuu cha ST. AUGUSTINE MWANZA, ambazo kimsingi ni fedha wanazokopeshwa wanafunzi Ili baadae wazilipe. Serikali inaingiza hela kwenye account ya chuo mapema tu, alafu...
Back
Top Bottom